CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
We nawe!!? Bado unaendeleza umbea wakati ushaambiwa ni ndoto!?
Kumbe ni ndoto!? Umenishtua!!!? Huyu lara 1 hawezi akapigwa mimba hivihivi kabla sijaniniliu nae! Mambo ya kuongeza masikio nani anataka?
Wadau habari zenyu binafsi!!!!!!!
nami leo nimemuota Madame B.... Ati tulikuwa mahali tunamteta lara 1 tukiulizana kwanini hajainekana kwenye "Kumbukumbuku ya marehemu Regia" Ndiposa tukapata fununu kuwa lara 1 yu mjamzito wa miezi kama nane ndo sababu hakuweza kuhudhuria kwani anaona aibu!!!!!!!! Duh hii kali..........
Heheheee...msimu wa ndoto tena...
"Another Silly session-Source Tundu Lissu.
shemeji ivi na wanaume twaruhusiwa kuwa wambea? Natamani nikuambie jambo ila naogopa kusutwa japo ni sunna
wewe ongeza masikio afu na nani vile!? Nae aongeze kucha na pua pamoja na dimpozi mtoto akitoko ni full mkorogo.
Mwanaume kusutwa noma.... We Ni Prime Minister tu!!!
haya ngoja nihepe
Utabaki kushika mapembe wenzio wanakamua maziwa lolest!!!!!!!!!