Umbea Bwana Mtamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umbea Bwana Mtamu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by ANKOJEI, Sep 4, 2012.

 1. ANKOJEI

  ANKOJEI JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Sasa umbea ni mtamu hasa unaposikia jamaa anatoa umbea wa mwenzio. ukisikia wewe ulikuwa unapigiwa umbea na mtu mwingine unachukia kwa nini.
  Sasa dawa imepatikana, kila mmbea ataota nundu.
  Just imagine, Ikulu watu wana nundu, bungeni wana nundu woote, jamaa zako wa karibu wana nundu.
  Ili upone,
  Utaitajika useme ukweli tena hadharani umbea uliousema.
  Jamani hii ni hodi pande hizi!!
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Wewe ungekuwa una nundu ngapi, je wazaramo na watu wote wa pwani wangekuwa na nundu ngapi?
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wangekuwa kama nungunungu
   
Loading...