cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,102
- 181,128
Njaa, ogopa sana hii kitu. LolIla waafrika bongo zetu zitakuwa zimechanganywa na makamasi.
Yaani mijitu haijifunzi kabisa kwa yaliyotokea huko nyuma!
Njaa, ogopa sana hii kitu. LolIla waafrika bongo zetu zitakuwa zimechanganywa na makamasi.
Yaani mijitu haijifunzi kabisa kwa yaliyotokea huko nyuma!
Nadhani shida kuu ni tamaa ya shortcut. Shughuli salama bado zipo tele licha ya magumu tuliyonayo, ila kwakuwa tunapenda hela za shortcut (kitonga) tutaendelea kuuumia na majanga kama hayo ya moto, utapeli, kamari nk.Njaa, ogopa sana hii kitu. Lol
Naunga mkono hojaNadhani shida kuu ni tamaa ya shortcut. Shughuli salama bado zipo tele licha ya magumu tuliyonayo, ila kwakuwa tunapenda hela za shortcut (kitonga) tutaendelea kuuumia na majanga kama hayo ya moto, utapeli, kamari nk.
Kwa kweli atulegezeeAliyeturoga imefikia wakati atuonee huruma
Wanachokijua vizuri ni kushughulika na wapinzani ili ndugu zao waendelee kuneemeka huko juuSasa huyu polisi hajui madhara ya mafuta? Tatizo Jeshi la polisi limeacha kuajili vijana kutoka Jkt wao wanaokota ndugu zao Mitaani
😁Au sio...Oya Muacheni mke wangu basi ajipatie hela ya matumizi🥶mnasema sana
Moderators uzi ufutwe
Hata kama milioni 10 huwezi ukarisk mkuu hapo wote waliopo shida si umasikini Bali ujinga.Hi kauli yako nayo ni ishara ya umaskini...
How can you risk your life kwa hela si chini ya 20k
Kudadadeki! Umaskini wa Mtanzania huwa unasababisha ujasiri wa kijinga kweli! Moto ulishaua sana! Au inawezekana pia walikubaliana hakuna wa kuwasha sigara!Tazama jinsi lori la mafuta lilivyopata ajali Igunga mkoani Tabora kisha bila woga wananchi wakaanza kuchota mafuta. Na miongoni mwao yupo trafiki naye akichota mafuta kwenye gari lililopata ajali
Ndio maana nasisitiza nchi yetu ni maskini sanaHata kama milioni 10 huwezi ukarisk mkuu hapo wote waliopo shida si umasikini Bali ujinga.
Umasikini ni tatizo kubwa kuliko tulivyoaminishwa hapo mwanzongoja waungulie maana hawasikii