gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
Tatizo kubwa la maskini ni wivu na unafiki. Mara zote utataka aliyepata asipate na kama akipata lazima uweke majungu na fitina.Umeandika point mkuu,masikini siku zote huwaza kushindwa tuu,masikin hutaka kila mtu afanane na yeye,masikin ni kiumbe hatar katika dunia hii,wachawi wengi ni masikin,masikin humchukia tajir,mtaji wa tajir ni masikin.
Nakumbuka hata hapa jf mtu akitaka akianzisha biashara yake kama yule wa ulaya aliyekuwa ana supply vitu, kelvin nani sijui watu walimsema sana kuwa ni tapeli and the like lkn mwisho wa siku ni uongo tu hakuna hata mmoja àliye tapeliwa. Hapa ndio ujue roho ya kimaskin ikoje
Haya mtazamo tena Ontario ama bold wa humu jf watu wanawaponda kwa jitihada zao za kutaka kupambana na maisha na kuwazushia maneno ya uongo.
Tizama mtu kama tYusufu manji yaan watu wanataka Adi awe anapanda nao daladala yaani.ni.roho mbaya mbaya na unafiki tu.
Lkn nasema ukweli utajiri ni Karama, kipaji na sio Kila mtu kaandikiwa kuwa tajiri.
Kuna watu wana mponda Adi Bushiri kwa kumnunulia mwanae Maserati nkajiuliza kwann kituume sisi wakati hayo ni yake na mwanae?
Ukweli maskini ni laana tena mbaya sana, na siku zote kinywa cha maskini hakineni baraka zaid ya laana