Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,562
- 3,558
Wahenga wengi ndio Masikini wenyewe...!!Maneno yako nimazuri kuliko hata Yale yawahenga .maana wao walisema aliyejuu msubiri chini .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hupenda kunena wasiyo tenda, na wanayo tenda kwao, hufanya kificho (siri)
Sent using Jamii Forums mobile app