binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,304
- 41,430
Kweli kina Ophrah wana historia hadi za kubakwa…That's not brutal it's a compliment 👌
So welcome heroine
Mwambie afwatilie historian za kina Oprah whinfrey huko. Ila sometimes ukiwa ndani ya dark moment huwezi ona nje na ndo situation ya mleta mada. Na kiendelea kukaa hivyoo atamkumbuka shuka uzeeni
Mimi huwa naona predicament ndio kama mlango wa kufungua purpose yako, most heros journeys huwa ni ngumu kumeza.Kweli kina Ophrah wana historia hadi za kubakwa…
Anyways anahitaji msaada wa kuamini na kukubali kuwa anaweza kuanza upya.
Msaidie basi, nimesoma maelezo yake marefu marefu, ni mtu ambaye anaelewa mambo mengi kuhusu yeye ila hayuko tayari kufanyia kazi.
Sitaki kuminimize matatizo yake, maana tunatofautiana namna ya kurespond katika matatizo.
Her great loss ni hiyo misiba, ila kuachana na huyo mwanaume mshenzi wala hajapoteza kitu.
Wewe jamaa ulivojibu kirahisi utafikiiri huko serikalini kazi zinawasubiri watu.Pole sana mkuu. Kwa nini usiombe ajira serikalini maana umesema umemaliza chuo..na kinacho kutesa kwa sasa ni kutokuwa na kipato
Achaana na mitandao ya kijamii.
Jitoe huko Kwa muda,futa acc zako deactivate
Tafuta kazi ya kufanya ikuweke bize
Utasahau yote
mwambie aandike hivi km mm humu jamii forum…Pole sana Liana N nilisoma historia yako ijumaa. Jumamosi usiku napokea voice not tooookaaa mbali huko jamaa kammwaga bibie. Bint m Tanganyika men ni M Congo aisee.
Teena jamaa kachukua dogodogo kweli wa miaka 22 up 26 hapo anamrusha roho huko status balaa.
Baasi vulu vulu tunaongea mpk asubuhi tumefikiq muafaka tumuache tuu ila anasema hawezi nimemwambia jiatqhidi pole pole yataisha ni mapenzi yanaingia polepole na kutoka polepole.
Ntamshauri afanye km atakubali itakuwa nzuri sanamwambie aandike hivi km mm humu jamii forum…
Apate comments zote mbaya na nzuri….
Mm kwangu imenifanyia tulizo kwa kiasi kizuri… nimepata uwafuane na watu wamenifuata Dm na kunishauri wngn wananipa ushuhuda……
itamsaidia nafikili….na pia kama ameamua kufanya hivi aiandae akili yake kua sio comments zote zitakua nzuri….mm nilijipanga kua ntakutana na comments ambazo sio nzuri na nilitegemea zote zitakua mbaya…
niliitaji mawazo ya watu tofauti maana nilikua najiona nalemewa mwnyw…..niliona niwe tu muazi maana hayupo anaenijua…
usije kumshauri mtu mwenye depression kumeza amitriptylin hii dawa inaweza kumpelekea apate maruweruwe na hata hisia za kujiua huongezeka...naongea nikiwa na experience ya kutosha juu ya hizi dawaKwa siku unalala masaaa mangapi? Unatkiwa unywe Azuma na amitriptiline angalau mwezi mmoja. Upate muda wa kulala mzuri baada ya kula vizuri!
Sasa unajishughulisha na nn
Kweli kabisa.Maisha haya, kila mtu ana lake
Asante ndugu yangu…. Ntajitaidi kuomba kwa iman yangu…Mungu akinisamehe na akiamua kunibariki ntarudi kutoa ushuhuda…Pole sana sister, situation ya kupoteza kila kitu naielewa nmepitia kila mtu anakuona hufai…lakini naomba nikushauri kitu na kwa dhati kabisa ya moyo wangu nasema hivi kama shuhuda…wengi huwa tukikosea au kufanya dhambi kubwa tunakua mbali sana kiimani, ila Mungu ukifanya toba kwa dhati kabisa anasamehe…anza upya jipe muda kuwa karibu na maombi kwa imani yako, Muombe sana Mungu yan sana aisee…toa sadaka, Funga omba hitaji lako…ukifanya hivi vitu kwa imani njoo utoe ushuhuda humu…nimejifunza matatizo Mungu anaruhusu sisi tupitie ili tujifunze na kuwa imara mbeleni…kila la heri 🙏🏽
Pole sana, nina uzi humu una kazi za kila aina unaweza kuutafuta in case ukihitaji!Asanteni nyote kwa mawazo yenu na ushauri…
Mabadiliko kwnye nafsi yangu ninayaona sana baada yakuandika hivi…na kupati maoni tofauti…
saivi nalala, moyo wangu haupapuki tena pale nikiwaoni awo watu kwny mitandao..nilifata ushauri wenu wakufuta account zangu zote nimefanya ivyo
ila nimepatwa shauku yakujua km bado moyo wangu utaweweseka nikiwaona nmegoogle nikaona maendeleo yao na uyo binti kajifungua… lkn moyo wangu hausumubuki tena kama apo zaman umetulia sana…..
Hii yote ni kwa watu walionifata inbox na wengn waliotoa maoni yao….
Lakini pia sasa nipo tayari kufanya na kazi.. naona km nimeupata uafueni nakukubali kuishi maisha yangu..
Asanteni sana na
Mbarikiwe sana……
Serikali ipi ndugu yangu?Pole sana mkuu. Kwa nini usiombe ajira serikalini maana umesema umemaliza chuo..na kinacho kutesa kwa sasa ni kutokuwa na kipato