Umasikini na aibu

Sema mdada kuwa makini sana , hawa watu weupe awe mzungu, mwarabu , mchina, muhindi , mturuki na race nyingine sio wa kuwategemea . Wanawake kuja Tz kukaa hata miaka 10 , kumbe wako kwenye mission maalum na huko walikotoka wana familia zao .

Ukitaka ushahidi njia ya horohoro huko mpaka Kenya , unaweza kukuta vitoto vya kichina vinaongea kidigo , wamezalishwa na jamaa walivyomaliza kazi zao wakaondoka na kuacha watoto . Wewe umri wako ni mkubwa kimawazo ila sio mkubwa kwa kuishi duniani , angalau ungekuwa na miaka 45 na kuendelea ungekata tamaa , kwahata serikalini bado unaweza kuajiwa kwa entry level .

Achana na mambo ya mitandao , watakuumiza kichwa ; mambo mengine wanakurusha roho . Mimi sina kisa na mtu ila nina kawaida siweki namba za watu nilikutana nao mjini wala sina marafiki ila ninajuana na watu wengi ..Nimefanya kazi Mbeya , Dar, Moro kwa taasisi tofauti ila sina namba za watu wa huko hata moja baada ya kusepa .

 
Mwaya.

Maisha ya mwanamke hayatakiwi kusimama sababu ana mpenzi, sijui kwanini hii mistake ni rahisi sana kumuangusha mwanamke. Hautakiwi kuacha kuishi maisha yako ukaanza kuishi maisha ya mwanaume ambaye hajakuoa based on promises. Tujifunze kwa watu ambao yalishawatokea sio lazima kila kitu kitutokee sisi wenyewe ndio tujifunze.

Nimeona unajua sana kuandika, naomba ufungue account kwenye mitandao ya kijamii (pie jina lolote) anza kupost ushauri kwa mabinti kupitia mistake zako, by sharing utaheal part of your soul iliyovunjika, utakuta a na mamia ya wanawake wenye eksipiriensi kama yako utagundua umefanya mistake ambayo majoriti wanafanya inaweza kukupa motivation uinuke tena.

Kuhusu kazi, kama bado unatafuta na kama unaishi Dar nenda kariakoo anza uwinga, post bidhaa za watu tumia account za kijamii kutangaza, sio rahisi ila huna option mwenetu inuka hapo we mkubwa mzima usipoinuka hakuna wa kukuinua.

Usianze kutafuta mpenzi mpya, mapenzi yamekuharibu, hutomtendea haki huyo mpenzi mpya we unahitaji kazi, biashara na si mapenzi kwa sasa.

Uamuzi ni wako uanze au uendelee kusikilizia stress za mapenzi.
 
Vipi ulikubali akuingilie kinyume na maumbile? Kama ulikubali utakua ni mpumbavu samahani kwa kusema ivyo wanawake wengi mnapenda kuuziwa matumaini fake sana. Umesoma nini chuo nione kama naweza kutoa msaada.
 
Pole sana mara nyingi mwenyezi mungu hutupa mitihani kwa kutujaribu ili tuujue ukuu wake nenda kafanye toba na umrudie yeye kwa kujikurubisha kwake hakika yeye ndio mfanyaji na alitakalo litatimia kubadili status yako ni sekunde tu kuwa mvumilivu
 
Tatizo lenu ni umalaya ,wazungu hawatakagi Huo upuuzi , mademu wa kibongo Malaya sana
 
Tafuta mateja wenzako hao akina Juma mnaoendana akili ,Acha umalaya wako we lizee
 
Simuombi radhi dada yako..!

Labda kama una upande wa pili wa story yako na aliitikiaje hapo unaweza nishawishi nisimuhukumu

Na hata nikihukumu bado ni hisia zangu sio zako hazikuhusu

Hiyo tabia yako ya kuamini watu na kuwakingia kifua hujajifunza kuiacha.! Utajua mwenye

Ila kama utaendelea hivi kuruhusu upumbavu wako uweke mazigawa kwenye akili yako upo karibu na stroke.!

Na itakukutandika pindi unapoanza kuhisi ubaridi kwenye viungo ujue umeyumba

Ila vizuri bado hujui Gambe ni nini iyo nayo ahueni

Ungekuwa unalewa mpaka wanakubaka. 🤭

Siopendi kusema hivi ila sema gari yako ilikua nyeupe sana na nyepesi watu wakapima Aura wakakushushia Zigo.!

Jifunze kujidhalilisha ndio funguo ya zigo lako

Sisemi ukauze mchicha kwenye beseni

Ushasema ulianza kwa pato 100k na posho.!

Ukaja 500k na posho zaidi ya 200% ya pato

Ukapata mtu anakupa zaidi ya hiyo.! Maana yake wewe huwezi kuishi maisha ya kawaida ya beseni kichwani unatafuta 10k all along a day

Huyo mtu kakupoteza na kavyonza aura yako yote kakuachia gundu seuze msodoma

Msahau haraka sana kwa afya ya akili yako

Nenda kasafishe viti kanisani na vyoo vyake jifunze kusema Sina kitu nisaidie ili kuua kuburi chako cha zamani

Kisha kuwa wewe uta elevet kwa kasi ya kimbunga
 
Na ushenzi wa kufirana ,huu ni udumavu wa akili Kabisa ,yaani nikikukuta unamfira au nikisikia hivyo unamfanyia Dada yangu nakumwaga mavi
 
One of them raw, honest bitchez that I admire in here. Umempatia kile anapaswa kusikia na sio kufurahisha
 
Mkuu weee ni narcissist kabisa😂 unampa mtu makavu aka jinyonge🤣
 
One of them raw, honest bitchez that I admire in here. Umempatia kile anapaswa kusikia na sio kufurahisha
That’s so brutal but i take it! 🤣

I appreciate champ!

Tuambiane ukweli tutasaidia sana, watu wamefanya makosa mengi duniani na dunia imewapa second chance tunawaona wanapambana na wanaendelea mbele. Kama tu wataamua kufanya hivyo. Dunia haitaki uzembe.
 
Huyu Tatizo lake kubwa ni la kiakili, akipata suluhisho anainuka na anaweza kupambana...kuna Hali Fulani ni zaidi ya Severe Depression, unajihisi mwili kama vile sio wako, yaani akili na mwili vimetengana Kila kimoja Kipo peke Yake, hakuna connection baina ya hivyo vitu viwili... unatakiwa uamue na kupata wataalamu wazuri.

Ndugu zetu sijui mna shida gani, unakubali vipi kuacha kazi na kuingiliwa kinyume na maumbile na mpuuzi mmoja Kisa anatoka Australia na zaidi ya yote ulikuwa tayari ushajua kuwa uko na shoga still unaendelea naye, yaani ulikubali kabisa kuwa na shoga, insane!...Ulichopanda ndio ulichovuna, second chance ipo ni juu yako kuifukuzia...
 
That's not brutal it's a compliment 👌

So welcome heroine

Mwambie afwatilie historian za kina Oprah whinfrey huko. Ila sometimes ukiwa ndani ya dark moment huwezi ona nje na ndo situation ya mleta mada. Na kiendelea kukaa hivyoo atamkumbuka shuka uzeeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…