Umafia: Polisi walio mteka Mdude nao watapotezwa

Umafia: Polisi walio mteka Mdude nao watapotezwa

Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na kutubu kabla nao hawajauliwa.

Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .

Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.

Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Na watakao waua hao police nao watakuwa na nani?
 
Ok.
Lakini enzi za Nyerere, enzi za uajibikaji, kiongozi wa umma hatakiwi hata kule kuhisiwa kutenda jinai.

Tuhuma pekee inamwondolea sifa za kuendelea kukalia kiti cha enzi.

Potelea kwa mbali hata mhusika asipofikishwa mahakamani, lakini la uwajibikaji lilichukuliwa kwa uzito mkubwa sana.

(Ref to: kashifa ya mauaji ya Shinyanga mwaka 1976) wakati Ally Hassan Mwinyi akiwa Waziri wa mambo ya ndani.

Mwinyi hakuhusika na mauaji hayo lakini aliwajibika kwayo.
Kuna sheria na utashi wa kiongozi.
Mfano binadamu husutwa na nafsi na kutubu, lakini hakuna sheria inalazimisha kutubu, hiyo ni hiyari ya mhusika.

Leo hii hata mamlaka zikimtaka ajiuzuru, swali nani wa kuthibitisha kosa lake? Anaweza jiuzuru kwa utashi wake tu ila sheria haitamlazimisha eti kwa kuwa katuhumiwa bila ushahidi.

Watu wanajificha kwenye ushabiki na chuki za kisiasa wakitamani mawzo yao yawe sahihi, lakini haki ni sheria.

Hii ni wake up call wa Tz tunatakiwa kudai haki zetu sio kushabikia tu na kuropoka kisa tuna uhuru nyuma ya keyboard.
 
Naona umerithi chuki ya babu yako...Nyerere huyu huyu alietaifisha taasisi za elimu za kanisa akataka watu wote wasome ndio aliua ndoto za wasomi?

Nyerere huyu tunaambiwa Chuo kikuu watu walikuwa wanakunywa mpaka maziwa?

Nadhani wewe ni walee wa mkataba wa MoU😁
Mbona wasomi kina Mkapa hawajauawa inamaana intelligence ya Nyerere ilishindwa kumnasa mtu aliyejificha kijijini?
 
Umenikumbusha Uchaguzi mwaka 1995 maeneo ya Yombo Kilakala karibu na Kanisa Katoliki kuna mzee mmoja alikuwa akigombea Udiwani kwa tiketi ya NCCR-Magauni alimtorosha mwanaye akaenda kumficha kwao Morogoro, huku wakatengeneza stori kuwa katekwa na baada ya Uchaguzi ndo wakasema kapatikana. Siri ilikuja kufuja miaka mingi baadae..
huenda chadema wamemueliminate hyo muungwana kwasababu alikua ameanza kwenda kinyume na malengo ya chadema ya lisu na kusingizia wengine:NoGodNo:
 
Nakumbuka nyeyere alipenda sana kuangalia sana television ili kujua kilichokuwa kinaendelea duniani huku akiwa amepiga marufuku umiliki wa TV kwa wananchi wa kawaida kwa kisingizio cha kulinda utamaduni wa watanzania.

Kumbe akiona kinachendela duniani anakuja kuwahadithia wananchi katika hotuba zake hali iliyowafanya watu kudhani kuwa yeye ni mtu mwenye maono makali au hata mchawi.

Hii ndiyo sababu watanganyika tuliitwa 'wadanganyika' na kwa hakika hadi leo watanzania ni 'wadanganyika'
Wewe siasa hujui, kula mbususu tu
 
Na hapa haizungumzwi Sheria nenda mahakamani, Ben Saanane alitwangwa risasi na dikteta Mwendazake hatukuisikia mahakamani bali kwa mwandishi wa habari za uchunguzi Eric Kabendera kwenye kitabu chake.

Usituhamishie goli wauaji nyie
Kwani kila analosema kabendera ndo ukweli?
 
Damu ya huyu mtu ni hatari sana, naiona effect yake Sasa kwa taifa Zima, hakika Kuna watu siyo wa kuchezea kabisa.
Hatari Wapi ????? Jana waandishi wa habari walihongwa milioni Tano tano, hakuna Tena wa kupaza sauti kupitia vyombo vya hbr Yani ni mwendo wa kusif na kuabudu tuu, upinzani kwisha habari
 
Ndugu yangu
Kipindi cha Nyerere wasomi walikuwa wachache na alikuwa anahisi atapinduliwa. Babu yetu alikuwa sio muongeaji sana. Ila waliosoma naye ndiye walikuwa wanawaeleza baba zetu.

Yaani babu aliishi kama njiwa aliogopa akitoa siri watu wataongea japo watu walijua mtu fulani anafundisha Makerere. Walikuwa wanajua ataondoka leo kesho.

Na Nyerere aliuwa ndoto za wasomi kutokana na vitisho vyake vya kuona watanzania ni wajinga. Nilisikia Nyerere aliwarudisha wasomi wengi vijijini na akawaambia wasitoke kwenda popote ndiyo ilikuwa magereza yake.
Babu yako alikusimulia story za jaba
 
Kwani kila analosema kabendera ndo ukweli?
Kwa mpumbavu Kila analosema Magufuli na Samia ndio kweli. Amini utakacho hainihusu mimi Namuamini Kabendera mpaka mtakapotuambia Ben Saanane yuko wapi.
 
Back
Top Bottom