Umafia: Polisi walio mteka Mdude nao watapotezwa

Hao ndo wanaofanya upinzani uonekane ni uropokaji
Kosa kwao ni kuwa challenge tu kinyume na mawazo yao basi wewe ni adui.
Hata hawezi kuwaza nje ya box aone uhalisia, anakurupuka na kuropoka.
Mbona kuropoka na matamko ya kimbea hayajawahi badilisha magumu tunayopitia?
 
Police mliotumwa kumpoteza Mdude mmeacha traces nyingi sana - hamfai kuishi mmefanya tech error.
.kazi kwenu - mrudisheni fasta afu mjikabishinkwa wenyewe Islael mtoa roho
 
Hao ndo wanaofanya upinzani uonekane ni uropokaji
Nyinyi ndio wapumbavu ushahidi wangu ni kitabu cha Eric Kabendera, wewe nipe information kukanusha na utuambie yuko wapi na nini kilimsibu.

Nitolee uchawa wenu wa CCM bastard
 
Hatari Wapi ????? Jana waandishi wa habari walihongwa milioni Tano tano, hakuna Tena wa kupaza sauti kupitia vyombo vya hbr Yani ni mwendo wa kusif na kuabudu tuu, upinzani kwisha habari
Kipi hujaelewa mkuu?
 
Kosa kwao ni kuwa challenge tu kinyume na mawazo yao basi wewe ni adui.
Hata hawezi kuwaza nje ya box aone uhalisia, anakurupuka na kuropoka.
Mbona kuropoka na matamko ya kimbea hayajawahi badilisha magumu tunayopitia?
Nimekupa reference ya kitabu cha mwandishi wa habari za uchunguzi Eric Kabendera, tafiti hupingwa kwa tafiti mprove wrong Kabendera kwa kutueleza what happened to Ben!

You are not smart but another fool, wewe hupendezwi na criticism kwa walio madarakani, ni uamuzi wako
 
Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na kutubu kabla nao hawajauliwa.

Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .

Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.

Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
umesema ukweli au uongo.si mlisema aliyempiga TL lisasi ni makonda? mbona umesema boss aliuawa .kwa hiyo ni dhahiri sasa ulimsingizia MKNDA
 
Nyinyi ndio wapumbavu ushahidi wangu ni kitabu cha Eric Kabendera, wewe nipe information kukanusha na utuambie yuko wapi na nini kilimsibu.

Nitolee uchawa wenu wa CCM bastard
Mtu yeyote anaweza andika kitabu kama kabendera hata wewe unaweza andika na kesho ukasema ni ushahidi
 
Nimekupa reference ya kitabu cha mwandishi wa habari za uchunguzi Eric Kabendera, tafiti hupingwa kwa tafiti improve wrong Kabendera kwa kutueleza what happened to Ben!

You are not smart but another fool, wewe hupendezwi na criticism kwa walio madarakani, ni uamuzi wako
Sasa hapa nani fool 😂😂
 
Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na kutubu kabla nao hawajauliwa.

Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .

Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.

Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Tumbomzee
 
Back
Top Bottom