Umafia: Polisi walio mteka Mdude nao watapotezwa

Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na kutubu kabla nao hawajauliwa.

Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .

Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.

Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Iweke vizuri hapo kiongozi. Sema mapolisi waliomuua Mdude, hajatekwa huyo bali aliuwawa pale pale kwake na kisha hao washenzi wakatokomea na maiti yake kwenda kulisha mamba wao wa kazi maalum.
 
Naona umerithi chuki ya babu yako...Nyerere huyu huyu alietaifisha taasisi za elimu za kanisa akataka watu wote wasome ndio aliua ndoto za wasomi?

Nyerere huyu tunaambiwa Chuo kikuu watu walikuwa wanakunywa mpaka maziwa?

Nadhani wewe ni walee wa mkataba wa MoU😁

Ukweli mchungu, Nyerere alikuwa DIkteta. Alionea watu sana
 
Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na kutubu kabla nao hawajauliwa.

Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .

Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.

Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
1. Tutaaminije kwamba waliomshambulia Lisu washakufa?
2. Huyo muuaji wa lisu unayesema alikufa ajali ya kupanga, alipata ajali mwaka gani, eneo lipi anaitwa nani?

3. Je walikuwa walikuwa usalama (Askari) au Uvccm?
4. Mafyele je yuko hai au naye hayupo?
5. Vipi mshukukiwa mkuu Zero Brain a.k.a Mkolomije mtuhumiwa namba moja yupo hayupo?
 
Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na kutubu kabla nao hawajauliwa.

Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .

Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.

Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Amang'ana Gasarikile
 
Yaan wewe una taarifa ila wabongo kwa kujihisi majasusi kumbe mende wa chooni yu
 
Hivi kwanini huyo RC aliyesuka njama hadi leo bado yupo kwenye ofisi za umma?

RCO ambaye anawaficha wahusika, kwa nini naye bado anatanga tanga kwenye ofisi za umma pia?

Huu utawala unawachukuliaje wananchi linapokuja suala la uwajibikaji?
 
Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na kutubu kabla nao hawajauliwa.

Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .

Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.

Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Ndio maana Askari au kitengo wakiona mossion zenye utata Huwa wanatafuta excuse, wanajua kitachotokea baada mission kukamilika na kusanuka!!
 
Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na kutubu kabla nao hawajauliwa.

Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .

Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.

Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Yaani mi nomba Mungu walio injection nia ule mpango pia waondoke
 
Back
Top Bottom