Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,655
- 55,916
Inaitwa closing loose ends ili case isiwwfikie wahusikaKama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na na kutubu kabla nao hawajauliwa.
Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa . Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa. Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu