Umafia: Polisi walio mteka Mdude nao watapotezwa

Umafia: Polisi walio mteka Mdude nao watapotezwa

Mtu yeyote anaweza andika kitabu kama kabendera hata wewe unaweza andika na kesho ukasema ni ushahidi
Wewe unayejua tuambie nini kilichotokea na kumsibu Ben Saanane? Kama kuandika habari za uchunguzi ni rahisi andika na wewe halafu uwe tayari kutetea hoja zako
 
Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na kutubu kabla nao hawajauliwa.

Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .

Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.

Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Mbona hii kama senema flani umeileta humu?
 
Hapana bado wawili:
1. John bado yupo lakini alivunjwa vunjwa miguu
2. Daudi B ------, kila siku anaweweseka kuokoka akifikiri ile dhambi atasamehewa-
Daudi B mbona ni mlokole miaka mingi kabla hajashiriki lile jaribio la kumuua TAL.
 
Wewe unayejua tuambie nini kilichotokea na kumsibu Ben Saanane? Kama kuandika habari za uchunguzi ni rahisi andika na wewe halafu uwe tayari kutetea hoja zako
Kwa watu tunaojua habari za uchunguzi ule ni udaku kama wa shigongo Kwa sababu hakuna uchunguzi wowote
 
Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na kutubu kabla nao hawajauliwa.

Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .

Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.

Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Huwa iko hivi, ukipewa mission A ya kwenda kuua. hatari kubwa iko kwa anayepewa mission kwenda kuua.

kwanza kipindi anapewa mission akikataa hilo ni kosa kubwa anaweza akauliwa yeye kabla mission A kufanyika, sababu ni moja tu, hakuna guarantee huyo anayekataa mission ya kwenda kuua ataongea nini akisogezewa mic na camera hivyo solution ni kumuua kabla hajaongea chochote.

Anayepewa mission akikubali kufanya hivyo bado mambo sio shwari kwake, sababu baada mission kukamilika muuaji atabaki kama loose end hivyo na yeye lazima auliwe in order to tie that loose end.

wengi wa wanaotumwa kuua, huwa anakuwepo mtu mwingine analitumwa kumuua muuaji baada tu ya mission kukamilika au hata kama missions haikukamilika.
 
Spelling mistakes ni kawaida bado kama una chembe ya akili jadili hoja yangu mtetea askari wauaji
Hivi ukiacha kukurupuka unaweza rudiwa na akili na ukanionyesha nilipowatete? Au umeamua tu kupambana na mtu alie tofauti na mawazo yako?
Nakupa mfano.
Kuna siku mtu akianzisha uzi na kusema mdude ameshauliwa kwa nyundo.
Mwingine akaanzisha uzi kusema hajauliwa ila ana hali mbaya sana.

Mimi nikauliza mbona mnatuchanganya, nani anaesema kweli kati yenu, akaja nutshell mmoja akanishambukia kama ukivyofanya wewe. Je hapo nilikosea wapi?

Leo nimeuliza tena ni nani ana ushahidi wa hao watekaji maana wanawataja na majina kabisa, leteni ushahidi nguvu ya umma ifanye kazi, ukanivaa na matusi etu nawatetea askari.

Kama mnataka watu manaofanana akili, basi wengine tupotezeeni sio lazima kuni quote.

simpleton
 
Kwa watu tunaojua habari za uchunguzi ule ni udaku kama wa shigongo Kwa sababu hakuna uchunguzi wowote
Another fool.
Don't argue with a fool
He'll pull you down to his level
And beat you with experience
I have noticed you are an experienced fool:
BEAT IT SCUM
 
Hivi ukiacha kukurupuka unaweza rudiwa na akili na ukanionyesha nilipowatete? Au umeamua tu kupambana na mtu alie tofauti na mawazo yako?
Nakupa mfano.
Kuna siku mtu akianzisha uzi na kusema mdude ameshauliwa kwa nyundo.
Mwingine a mkeokaanzisha uzi kusema hajauliwa ila ana hali mbaya sana.

Mimi nikauliza mbona mnatuchanganya, nani anaesema kweli kati yenu, akaja nutshell mmoja akanishambukia kama ukivyofanya wewe. Je hapo nilikosea wapi?

Leo nimeuliza tena ni nani ana ushahidi wa hao watekaji maana wanawataja na majina kabisa, leteni ushahidi nguvu ya umma ifanye kazi, ukanivaa na matusi etu nawatetea askari.

Kama mnataka watu manaofanana akili, basi wengine tupotezeeni sio lazima kuni quote.

simpleton
Kunilazimisha kuleta facts kwenye mazingira kama haya ni utaahira ushahidi wa mahakamani haipatikani hapa, tutakuquote tukupe akili au nenda kachat na
 
Kunilazimisha kuleta facts kwenye mazingira kama haya ni utaahira ushahidi wa mahakamani haipatikani hapa, tutakuquote tukupe akili au nenda kachat na
Sawa bi ashura, naona mimba changa inakutesa endelea kutema mate ukiwa ignored.
 
huenda chadema wamemueliminate hyo muungwana kwasababu alikua ameanza kwenda kinyume na malengo ya chadema ya lisu na kusingizia wengine:NoGodNo:
Endelea kuwa chawa naona kazi unaifanya vilivyo sawa mbogamboga
 
Daah jamani kwamba Mdude kapotezwa. Hii ngumu kuamini.
 
Ndugu yangu
Acha wengine tusahau. Babu yangu alikuwa Chuo cha Makere anafundisha Nyerere akamdanganya akarudi Tanzania. Akampa kazi hapo Ikulu baada ya miezi saba yakatokea yale ya Kambona. Akapewa taarifa na dada secretary mipango ya kumuuwa inatengenezwa.

Aliondka kwenda kujificha kijijini alikuwa hapandi gari kwenda popote ila alikuwa anamlaani Nyerere sana. Amekufa mwaka 2021 akiwa na miaka 107. Asante babu alijitahidi kupambana na uhai wako wajukuu zake tukakujua.
Alafu yeye akafa na 70
 
Back
Top Bottom