Umafia: Polisi walio mteka Mdude nao watapotezwa

Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na na kutubu kabla nao hawajauliwa.

Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .

Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.

Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Hivi kwanini huyo RC aliyesuka njama hadi leo bado yupo kwenye ofisi za umma?

RCO ambaye anawaficha wahusika, kwa nini naye bado anatanga tanga kwenye ofisi za umma pia?

Huu utawala unawachukuliaje wananchi linapokuja suala la uwajibikaji?
 
huenda walinzi katili sana binafsi wa heche ndio wanahusika na matukio hayo gentleman :NoGodNo:
 
Ndugu yangu
Kipindi cha Nyerere wasomi walikuwa wachache na alikuwa anahisi atapinduliwa. Babu yetu alikuwa sio muongeaji sana. Ila waliosoma naye ndiye walikuwa wanawaeleza baba zetu.

Yaani babu aliishi kama njiwa aliogopa akitoa siri watu wataongea japo watu walijua mtu fulani anafundisha Makerere. Walikuwa wanajua ataondoka leo kesho.

Na Nyerere aliuwa ndoto za wasomi kutokana na vitisho vyake vya kuona watanzania ni wajinga. Nilisikia Nyerere aliwarudisha wasomi wengi vijijini na akawaambia wasitoke kwenda popote ndiyo ilikuwa magereza yake.
Wewe na babu yako wote mlikuwa Maboiya ya kuogeleia
 
Waliomteka Mdude wanafahamika, wanaofanya haya matukio ya kumshambulia kiongozi wa dini Padre Kitima ni kikundi cha Chinjachinja kipo kwa siri chini ya umoja wa vijana wa ccm (UVCCM) na Jeshi la Polisi linafahamu kikundi hiki na vingine, linashindwa kuchukua hatua kwa kuwa ni chama tawala.
 
Poleni sana aisee kama ni kweli ila kuweni makini na story za wazee kuna muda uwa wanaamua kutupanga tu
Ndugu yangu
Acha wengine tusahau. Babu yangu alikuwa Chuo cha Makere anafundisha Nyerere akamdanganya akarudi Tanzania. Akampa kazi hapo Ikulu baada ya miezi saba yakatokea yale ya Kambona. Akapewa taarifa na dada secretary mipango ya kumuuwa inatengenezwa.

Aliondka kwenda kujificha kijijini alikuwa hapandi gari kwenda popote ila alikuwa anamlaani Nyerere sana. Amekufa mwaka 2021 akiwa na miaka 107. Asante babu alijitahidi kupambana na uhai wako wajukuu zake tuka
 
Ndugu yangu
Acha wengine tusahau. Babu yangu alikuwa Chuo cha Makere anafundisha Nyerere akamdanganya akarudi Tanzania. Akampa kazi hapo Ikulu baada ya miezi saba yakatokea yale ya Kambona. Akapewa taarifa na dada secretary mipango ya kumuuwa inatengenezwa.

Aliondka kwenda kujificha kijijini alikuwa hapandi gari kwenda popote ila alikuwa anamlaani Nyerere sana. Amekufa mwaka 2021 akiwa na miaka 107. Asante babu alijitahidi kupambana na uhai wako wajukuu zake tukakujua.
Duuh inasikitisha,wapi huko Mkuu?
 
Hivi na wewe kweli katika watu makini pia upo? Tatizo la wapumbavu mmekuwa kama marobot mwenye kuwaprogram Yuko Lumumba nyie ni mwendo wa kutetea Kila upumbavu hata unaoonekana dhahiri.
Huko sio kutetea ni kukariri, Halafu eti Dr!
 
Hivi kwanini huyo RC aliyesuka njama hadi leo bado yupo kwenye ofisi za umma?

RCO ambaye anawaficha wahusika, kwa nini naye bado anatanga tanga kwenye ofisi za umma pia?

Huu utawala unawachukuliaje wananchi linapokuja suala la uwajibikaji?
Hakuna mtu wa kuthibitisha uhusika wao, wote tunahisi tu na sheria haifangi kazi kwa kuhisi, inataka fact.
 
Waliomteka Mdude wanafahamika, wanaofanya haya matukio ya kumshambulia kiongozi wa dini Padre Kitima ni kikundi cha Chinjachinja kipo kwa siri chini ya umoja wa vijana wa ccm (UVCCM) na Jeshi la Polisi linafahamu kikundi hiki na vingine, linashindwa kuchukua hatua kwa kuwa ni chama tawala.
Kwa nini msiwataje nguvu ya umma ishughulike nao?
 
Back
Top Bottom