Umaarufu wa shule hizi kongwe umepotelea wapi..?

Umaarufu wa shule hizi kongwe umepotelea wapi..?

Anawezaje kutaja matai na Rukwa high alafu anakosa kuitaja Kantalamba sec. Mtoa mda haujaitendea haki Kantalamba
Kantalamba iko kwenye list mzee rudia tena
 
Bila kutaja Tanga School (Tanga Tech),Galanos,Korogwe girls,Kifungilo,Lake ya Mwanza,Sengerema,Bupandagila uzi haujakamilika
 
Nakumbuka enzi hizo bado niko shule ya msingi ndoto yangu kubwa ilikuwa nikifanikiwa kuingia kidato cha kwanza ilikuwa kusoma shule za boarding tena za serikari, sio za serikari tu bali ni shure kongwe zenye majina na ufaulu wake ulikuwa haushikiki.

lakini pia kwa upande wa private kulikuwa na shule zenye majina na kongwe sana bila kusahau zinatoa elimu iliyo bora kila mtu anapenda akasome pale.

Hivi hizi shule kwa upande wa Private zimefifishwa na Utandawazi, uendeshwaji, Ushindani kuwa mkubwa, kukosa soko kama awali, Uchumi kuwa mgumu na kupelekea zingine kusahaulika kabisa.

Je shule za serikali ambazo zilikuwa na majina ushindani mkubwa na zenye ndoto ya kila mtu kwenda kusoma shule hizo umepotelea wapi,

Baadhi ya Shule hizo ni,

New man Kigoma
Matai Sumbawanga
Tosa maganga Iringa
Mpanda Girls Katavi
Kibondo Girls Kibondo
Kazima Tabora
Isevya Tabora
Tabora Boys Tabora
Tabora Girls Tabora
Meta Mbeya
Sangu Mbeya
Ali Hassan Mwinti Tabora
Nganza Mwanza
Nsumba Mwanza
Bwiru boys & Girls Mwanza
Kantalamba Sumbawanga
Ilboru Arusha
Mwenge Singida
Minaki Kibaha
Jamuhuri Dodoma
Buluba Shinyanga
Kibasila Dar
Azania Dar
Jangwani Dar
Loleza Mbeya
Mbalizi Mbeya
Tambaza Dar
Moa Dar
Ussoke Mission Tabora
Msangi Junior seminari Tabora
Itaga seminari
Umoja & Uchama Tabora
Loyola Dar
St thomas
New era Tabora
Rukwa High/Msakila Sumbawanga
St Maurusi Sumbawanga
St Aggrey Mbeya
Swila Mbeya
Mwakaleli Mbeya

list ni ndefu ngoja niishie hapa....
Tarime secondary
 
List haijakamilika bila kuwa LINDI SEC A-level pre-university, hakuna kubanwa mnajiachia kwenda disco na utawala wa Shule haufanyi kitu, masomo na refreshment, na bado watu wanatoboa nectar.
Nectar ndo nini? We kweli umesoma Lindi
 
Mbona sioni Iyunga tech na Mbeya secondary?
List ni ndefu mzee, Mbeya sec tena na Iyunga ndo kwenyewe huko kwa kina mwana fyale...., tena Mbeya ina shule nyingi sana ila tukizitaja zote tutaonekana wanazi... Hahahahaha
 
Nakumbuka enzi hizo bado niko shule ya msingi ndoto yangu kubwa ilikuwa nikifanikiwa kuingia kidato cha kwanza ilikuwa kusoma shule za boarding tena za serikari, sio za serikari tu bali ni shure kongwe zenye majina na ufaulu wake ulikuwa haushikiki.

lakini pia kwa upande wa private kulikuwa na shule zenye majina na kongwe sana bila kusahau zinatoa elimu iliyo bora kila mtu anapenda akasome pale.

Hivi hizi shule kwa upande wa Private zimefifishwa na Utandawazi, uendeshwaji, Ushindani kuwa mkubwa, kukosa soko kama awali, Uchumi kuwa mgumu na kupelekea zingine kusahaulika kabisa.

Je shule za serikali ambazo zilikuwa na majina ushindani mkubwa na zenye ndoto ya kila mtu kwenda kusoma shule hizo umepotelea wapi,

Baadhi ya Shule hizo ni,

New man Kigoma
Matai Sumbawanga
Tosa maganga Iringa
Mpanda Girls Katavi
Kibondo Girls Kibondo
Kazima Tabora
Isevya Tabora
Tabora Boys Tabora
Tabora Girls Tabora
Meta Mbeya
Sangu Mbeya
Ali Hassan Mwinti Tabora
Nganza Mwanza
Nsumba Mwanza
Bwiru boys & Girls Mwanza
Kantalamba Sumbawanga
Ilboru Arusha
Mwenge Singida
Minaki Kibaha
Jamuhuri Dodoma
Buluba Shinyanga
Kibasila Dar
Azania Dar
Jangwani Dar
Loleza Mbeya
Mbalizi Mbeya
Tambaza Dar
Moa Dar
Ussoke Mission Tabora
Msangi Junior seminari Tabora
Itaga seminari
Umoja & Uchama Tabora
Loyola Dar
St thomas
New era Tabora
Rukwa High/Msakila Sumbawanga
St Maurusi Sumbawanga
St Aggrey Mbeya
Swila Mbeya
Mwakaleli Mbeya

list ni ndefu ngoja niishie hapa....
Hizi umeziacha makusudi au ulikuwa hunijui?

Moshi Tech
Mazengo
Ifunda
Old Moshi
Umbwe
Lyamungo
Galanos
Tanga Tech
Weruweru
Ashira
Machame girls
 
Hizi umeziacha makusudi au ulikuwa hunijui?

Moshi Tech
Mazengo
Ifunda
Old Moshi
Umbwe
Lyamungo
Galanos
Tanga Tech
Weruweru
Ashira
Machame girls

Ongezea basi , Taqwa na Thaqaafa za Mwanza
 
Back
Top Bottom