Umaarufu wa shule hizi kongwe umepotelea wapi..?

Nakumbuka enzi hizo bado niko shule ya msingi ndoto yangu kubwa ilikuwa nikifanikiwa kuingia kidato cha kwanza ilikuwa kusoma shule za boarding tena za serikari, sio za serikari tu bali ni shure kongwe zenye majina na ufaulu wake ulikuwa haushikiki.

lakini pia kwa upande wa private kulikuwa na shule zenye majina na kongwe sana bila kusahau zinatoa elimu iliyo bora kila mtu anapenda akasome pale.

Hivi hizi shule kwa upande wa Private zimefifishwa na Utandawazi, uendeshwaji, Ushindani kuwa mkubwa, kukosa soko kama awali, Uchumi kuwa mgumu na kupelekea zingine kusahaulika kabisa.

Je shule za serikali ambazo zilikuwa na majina ushindani mkubwa na zenye ndoto ya kila mtu kwenda kusoma shule hizo umepotelea wapi,

Baadhi ya Shule hizo ni,

New man Kigoma
Matai Sumbawanga
Tosa maganga Iringa
Mpanda Girls Katavi
Kibondo Girls Kibondo
Kazima Tabora
Isevya Tabora
Tabora Boys Tabora
Tabora Girls Tabora
Meta Mbeya
Sangu Mbeya
Ali Hassan Mwinti Tabora
Nganza Mwanza
Nsumba Mwanza
Bwiru boys & Girls Mwanza
Kantalamba Sumbawanga
Ilboru Arusha
Mwenge Singida
Minaki Kibaha
Jamuhuri Dodoma
Buluba Shinyanga
Kibasila Dar
Azania Dar
Jangwani Dar
Loleza Mbeya
Mbalizi Mbeya
Tambaza Dar
Moa Dar
Ussoke Mission Tabora
Msangi Junior seminari Tabora
Itaga seminari
Umoja & Uchama Tabora
Loyola Dar
St thomas
New era Tabora
Rukwa High/Msakila Sumbawanga
St Maurusi Sumbawanga
St Aggrey Mbeya
Swila Mbeya
Mwakaleli Mbeya

list ni ndefu ngoja niishie hapa....
Musoma tech na Mara sec
 
sikuwahi kuwaza kuwa nilisoma shule za kata. kumbe Ihungo na milambo sio kubwa eeeh kwa enzi zile?

ebu tutake radhi buana!
 
Salam zangu ziwafikie Wananyati (Nyumba Sec) popote walipo.
Nimewamis sana akina Mwl.Kibona,Biye,Mlenda,Millanga,Edward,Mama Manyanda,Seko,Bengesi,Mama Doto,Buchambi,Kubuteba DMK,Millanga,Nkanga,Magambo(Headmaster Gorowa Sec kwa sasa),Gunda,Muhete na wengine wote,list ni kubwa mno ila salama ziwafikie.
 
Nakumbuka enzi hizo bado niko shule ya msingi ndoto yangu kubwa ilikuwa nikifanikiwa kuingia kidato cha kwanza ilikuwa kusoma shule za boarding tena za serikari, sio za serikari tu bali ni shure kongwe zenye majina na ufaulu wake ulikuwa haushikiki.

lakini pia kwa upande wa private kulikuwa na shule zenye majina na kongwe sana bila kusahau zinatoa elimu iliyo bora kila mtu anapenda akasome pale.

Hivi hizi shule kwa upande wa Private zimefifishwa na Utandawazi, uendeshwaji, Ushindani kuwa mkubwa, kukosa soko kama awali, Uchumi kuwa mgumu na kupelekea zingine kusahaulika kabisa.

Je shule za serikali ambazo zilikuwa na majina ushindani mkubwa na zenye ndoto ya kila mtu kwenda kusoma shule hizo umepotelea wapi,

Baadhi ya Shule hizo ni,

New man Kigoma
Matai Sumbawanga
Tosa maganga Iringa
Mpanda Girls Katavi
Kibondo Girls Kibondo
Kazima Tabora
Isevya Tabora
Tabora Boys Tabora
Tabora Girls Tabora
Meta Mbeya
Sangu Mbeya
Ali Hassan Mwinti Tabora
Nganza Mwanza
Nsumba Mwanza
Bwiru boys & Girls Mwanza
Kantalamba Sumbawanga
Ilboru Arusha
Mwenge Singida
Minaki Kibaha
Jamuhuri Dodoma
Buluba Shinyanga
Kibasila Dar
Azania Dar
Jangwani Dar
Loleza Mbeya
Mbalizi Mbeya
Tambaza Dar
Moa Dar
Ussoke Mission Tabora
Msangi Junior seminari Tabora
Itaga seminari
Umoja & Uchama Tabora
Loyola Dar
St thomas
New era Tabora
Rukwa High/Msakila Sumbawanga
St Maurusi Sumbawanga
St Aggrey Mbeya
Swila Mbeya
Mwakaleli Mbeya

list ni ndefu ngoja niishie hapa....
Mwenge Open Academy (MOA) big up form six leaver wote wa 2001.
 
Back
Top Bottom