mkuu amesahau chama la wana umbwehata mkoa wenye sekondari nyingi
kilimnjaro, huja taja hata shule moja.
acha hizo
ongeza hpo moshi tech,
old moshi
weru weru
same
majengo
umbwe
Ni Tosamaganga.Tosa Maganga(Tosa Mawe) chama langu, wapi Songea Boys chama langu la O-Level?
Kama nakuona vile mwana wa Docebit Vos Omnia(am not sure km nimepatia spelling).Bora ujaiweka Pugu boyz kwny list uchwara hyoo.......wapi wazee wa pondi,kajungeni!!!!!Viva Pugu.
Hawa meta saiv wamekua vilaza kushenzi angalau na sangu ila meta ni VILAZA kishenziDah! Ivi kuna mtu alikuwa na ndoto ya kusoma Meta au Sangu! By the way mi nilikuwa nazipenda izi shule kwa kuwa zilikuwa na tubinti tumechangamka!
Hawa jamaa walikua wanawaza kucheza basketball tuu vilaza kinomaIIla hapo kwenye St. Aggrey sikubaliani na mleta thread.
Mbona kantalamba chama la wana haujaliweka? SHigatini je?
ila kwa kizazi hiki shida ni nini..? maana hata wakifanyiwa hivo unakutaList haijakamilika bila kuwa LINDI SEC A-level pre-university, hakuna kubanwa mnajiachia kwenda disco na utawala wa Shule haufanyi kitu, masomo na refreshment, na bado watu wanatoboa nectar.
List haijakamilika bila kuwa LINDI SEC A-level pre-university, hakuna kubanwa mnajiachia kwenda disco na utawala wa Shule haufanyi kitu, masomo na refreshment, na bado watu wanatoboa nectar.