Umaaarufu wa carol light unatokana na nini?

1.carol light ni nini hasa?mafuta?mkorogo?lotion?
?

Carolite sio mkorogo... ila ni body cream ambayo mtu akipaka majority
inawatakatisha... hasa akichanganya na liquid yake au vitu ziada kwa
malengo ya kua mweupe au light skinned... But note that sio woote
wakipaka hayo mafuta wanakua light skinned...

2.kwa nini yamekuwa maarufu sana hasa kwa wadada
3.wanao tumia ni watu aina gani?
?

Yamekua maarufu bcoz kwa wanaojichubua sio gharama saana mafuta
yake... However Carolight inapatikana katika size tofauti kwa bei inayo
varu tokana na hio size, na pia ni aina ya cream ambayo hukaa mda mrefu
kuisha... hivo wa hali ya chini na juu woote waweza mdu bei. Watumiaji wakubwa
ni wadada na mashoga - but bahati mbaya saana hata baadhi ya wanaume wameanza... Sad.

4.ni kweli yana madhara?tfda,serikali.tbs wapo wapi?
5.ni kweli yamepigwa maruku baadhi ya nchi?uganda?malawi?
6.tanzania ni kampuni gani inahusika na biashara hii?
??

Ndio maana yanapendwa mana madhara yake yako at minimal na ni rahisi
ku recover ngozi ya mhusika compared akiathiriwa na aina nyingine - yenyewe
kama yenyewe madhara yake yapo but hua intensified baada ya kuongezwa
makolombwezo mengine (inapotengenezwa mkorogo...)

Zambia na Malawi yapo kwa wingi kama hapa TZ (that much i know...) kama
ilivyo TZ hua zinapigwa mikwara tena wanajisahau ndio hivo hizo nchi... ingawa
Zambia they do not even bother kuficha... Alafu TZ wafanyabiashara wenyewe
bana... Sidhani kama kuna CO. inahusika openly moja kwa moja...

7.nini kinaongezeka kwa mtumiaji?
8.kama ni mkorogo kwa nini umekuwa maarufu kuliko mingine?
9,na akina baba wanaotumia?inakuwaje?
10.au kuna kitu kingine kinaitwa carol light na sio huo mkorogo??????????

Hii above part mostly nimejibu hapo juu... Ila tu kinachoongezeka ni urembo
hasa kwa wadada... ngozi yao hua nzuri na light hivi... kwa kweli wanapendeza saana
ila tu ikigoma.. mchezo unaharibika... Na mkorogo ni yale mafuta yalochanganywa
mno kwa malengo ya kutakatisha... wengine huweka hadi Petrol, Jik... and the like...
 
boss uki observe vijimambo vilivyopo saizi hapa duniani..... Yaani hio haipo hata katika

consideration ya kuwekwa kwenye list.... Sijui ndo evolution is taking place?? Dah! Enways....

haipo kwenye list yes..
But huoni kuwa ni kitu fascinated jinsi kilivyokuwa maarufu?????

I mean kuna brand za mafuta ngapi,mpaka hii iwe maarufu mpaka kwenye nyimbo????
It tells something about our society,ingawa sijajua ni kipi hasa
 
Boss saizi compared na hapo nyuma kidogo most wadada are proud of their
skins whether dark or light... wamepunguza kujichubua kiasi hasa wa mjini walo
kua a bit exposed na wasomi.... BUT ajabu na kweli wanaume wanaongezeka..

However unaelewa jamii yetu the way tunapeana saana taarifa hasa kama inafaa
wengi... and i have to be frank na kusema nimeshangaa hata waifahamu...

Alafu cha ajabu kitu kama cream, wahusika (hata sio wasomi sometime) huzungumza
with facts... na experiments hufanywa... but unfortunately ikija mambo yahusuyo inchi
wanameza wanayo pewa bila ku apply ule ujanja wao wa utafakari....
 
actually mimi nilihisi kuna kitu kingine
zaidi ya mafuta...
nilifikiri hilo neno lina maana nyingine hivi...
thats why nimeuliza....
 
actually mimi nilihisi kuna kitu kingine
zaidi ya mafuta...
nilifikiri hilo neno lina maana nyingine hivi...
thats why nimeuliza....

It is good to ask.... KNOWLEDGE IS POWER....

Mimi ni mweusi... i don't even bother kutumia but i know so much sababu

najua wengi mno walo tumia/wanatumia hayo mafuta... thus the interest...

Na hapa leo naona nimeitumia kumuelewesha The Boss...
 
sasa ungenijibu ..
je hao wadada wanaotumia unawachukuliaje?
1.ignorant women?
2.hawako proud na their skin color?
3.wanafuata mkumbo?
 
sasa ungenijibu ..
je hao wadada wanaotumia unawachukuliaje?
1.ignorant women?
2.hawako proud na their skin color?
3.wanafuata mkumbo?

In most cases... kitu ambacho kina push wanawake kuhusu kitu chochote
kuhusu miili yao... iwe mchina, iwe kung'aa/kutakata/ iwe urembo wowote
at the end of the day ni guys... Hivo ni wazi majority ya wanaume wanashoboka
na wanawake walo lighter na warembo....

Siwezi sema they are ignotant .... NO!! Ila naweza sema wanakua hawajatambua
jinsi gani ya bringing out the beauty within them bila kubadilisha rangi.... Ni wazi kua
urembo does wonders for wadada.... we look beautiful as a result of that... BUT nayo
ikizidi... mara eye lashes... yaani taabu hata kuorodhesha... inakua extreme!!

Note that uloorodhesha hapo kila moja ina play part in one way or another....
 
Lizzy, nafikiri First Born anamaanisha yale makovu au mabaka mabaka miguuni ni kama gwanda la mwanamgambo, kwani lle mikogoro inafanya miguu iwe kama mabaka mabaka...
 
Huu mkorogo umeanzia West africa huko ukaingia Congo kinshasa to Bongo. Ni hatar wabongo wakaongeza na mambo yao balaa. Mwangalie Sauda mwilima wa star tv, hata baadh ya wabunge wanawake shurti wana mustach. Loo! Ntabaki mweus hv hv sitaki mabaka kama paka.
Kumbe inawaotesha wadada ndevu? Usiniambie na wakaka watakuja kuwa na manyonyo kama yenu?
 
Hii carolight nayo ina siri yake kwakweli. Kuna watu wanatumia na wala hawawi weupe lakini wengine wanakuwa, sasa hapo kama ulitumia kwa kuiga unaweza kujikuta unaongeza vikorombwezo wee matokeo yake unakuwa ka nguruwe!!
 
caro light ni cream nzuri inayoweza kusababisha aliezaliwa 1961 awe na uso kama kazaliwa 2009, lakini miguu itafanana na ya mwanamgambo alietafuta uhuru mwaka 1950's.
hahahahahaaaaaa kazkwelikweli.asa karolight kwani haikolei miguuni?au wandugu wanaogopa gharama wanapaka usoni tuuu lool
 
Nipo na mdada hapa kapiga carolight , anadai ukitaka kungaa vizur lazima uchange kidogo na sabuni yake, vaseline ,top lemon na asali. Na kuna watu wanauza ulio changwa tayari, Magomeni dar na kariakoo. Pia wauza urembo wanauza kwa oda maalum. Nimesoma kopo lake hapa ina hydroquinone. Pia kuna scrub na moisturising cream yake.
 
hahahahahaaaaaa kazkwelikweli.asa karolight kwani haikolei miguuni?au wandugu wanaogopa gharama wanapaka usoni tuuu lool
Haswaaaa!! Kile kikopo kidogo cha mil 50 kinauzwa sh 5000 na kinaweza kutumika usoni kwa muda wa wiki mmoja tu, sasa kwa mwili mzima utatumia ngapi na kiasi gani cha pesa?
 
Carolight umaarufu wake harufu......
Hata ukienda dukani we omba ile kitu halafu nusa ile harufu yake
Utaipenda......
 
Back
Top Bottom