Ulozi kwenye mahusiano...

language checki ni ulonzi au ulozi?

halafu original post ya LARA1 iko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Gfsonwin tafadhali naomba msaada wako...wapi naweza kupata olozi wa kumloga nyumba ndogo yangu maana naona naipenda mpaka basi ila inanizingua na haitulii...

Nataka niitulize inisikize mimi tuu...na ipo vizuri ikiwezekana inihudumie na niishi ki-mario baloteli mpaka nifurahi... Zamani ilikuwa imetulia sikuhizi naona kaka naachwa vile...

Please naomba uweke vikorombwezo vyooote hapa jamvini ili viwafae wanajamvi wenzangu wanaohitaji kuimarisha mapenzi yao ndoani au hata nyumbani ndogo.
 
dawa ya mapenzi ipo kwa Mungu tu, je unahitaji kumwona? kama ni ndio wasiliana naye kwa njia ya maombi na kusoma barua anazojibu katika biblia. mbarikiwe. . .
 
Naamini uchawi upo..na wanadamu wanautumia kudhuriana, kuhusu wanaume kulogwa na nyumba ndogo..nakubali kwa sehemu maana huyu mwanaume ni mtu mwenye utashi na maamuzi..hivyo ana kucheat kwa kuamua kwa utashi wake, naamiani kabisa wapo watu wabaya lakini mtu kuwa na nyumba ndogo ni maamuzi yake..uchawi ni nyongeza tu.
 
yaani uchafu mtupu kwa kwenda mbele.ndio kwanza nayasoma jf.wanawake tuna kazi,mume anaabudiwa hivyo.na nyie wanaume tulieni.ni kinyaa kwa kweli

..Bora umeliona hilo my dear..hapo kwa bold ni soo true kwa pande za africa..God have mercy on me!
 
jamani naomba siku ya leo niongelee juu ya ulonzi kwenye mahusiano kimsingi hii post nimeikopy kule kwenye uzi wa lara 1 nilikoipost ili sasa wanaume watambue wanayofanyiwa and to me hii ni vita ambayo wanafanyiwa na hizo small house. hizi ni baadhi ya aina za dawa ama mbinu ila zipo nyingi na kila siku nitawawekea hizi mbinu chafu zinazotumika kuwaumiza pasi kujua. nina quote hapa

"nyie mnawakosea hawa wanaume iko hivi kuna kitu inaitwa limbwata hii ni nyama ambayo inawekwa kwenye UCHI MWANAMKE KWA SIKU 7. kisha inapikwa kwenye mboga halafu ile nyama mwanaume anaikula walllah huyu hafurukuti miaka nenda rudi wala haiish nguvu.

pia kuna kitu kinaitwa ndelenja ya kuoga na kuchanjwa basi hizi bidada anachanjwa na kuogea na kuzieka kunako basi kila ukiingia unausikia utamu wa kufa mtu na kamwe hutakumbuka uchi wa mwanamke mwingine yyte yule chini ya mbingu zaid yake huyu.

haya kuna kumuinamisha mwanaume- hapa inategemea na aina ya mganga la wengi hupenda kuchukua makombo waliobakiza wanaume wanapokula kisha unachanganya na unyayo wake, kucha na nywele za tupu na kichwania na uzi wa nguo za ndani kisha zinakaangwa jikon zinakuwa jivu zinachanganywa na madawa mengine kama udi na ubani na maji zya zamzam na tarasibu basi mwanamke anazifukia ndani yaani kwa anayeweza anabomoa hata tiles ama anafumua godoro anaweka katikati basi huyu mwanaume yaani hawez kufurukuta miaka nenda rudi kila aendapo lazima akumbuke arudi hapo.

haya nisimalize ulonzi wote hapa mwanaume ili akupende daima lazima aule mwili wako wote na hii atakula nywele za aina zote, kucha zote, maji ya kuchambia matuandu yote na maji ya kuogea. ukiona mwanaume anakuwa zuzu sana ujue wamechukua yule mdudu kiingereza huitwa earth worm wakamchanganya na ndelenja ya kutambaa kisha ikatengenezewa baruti ikalipuliwa wallah huyu mwanaume lazima mke akikohoa tu yuko kukinga makohozi na kamwe dawa hii huwa huwez kuirudisha tena.

pia kabla sijahitimisha kuna dawa inayotengenezwa kwa kutumia kitambaa cha shughuli yaani kile kitambaa mkisha kitumia basi hakifuliwi kinatiwa dawa kisha kinaekwa ndani ya kopo mwanamke anakificha chumban basi mwanaume huyu milele hatakaa asimamishe kwa mwanamke zaid ya huyu na siku kikipotea ndo esting hakuna tena milele



on the other hand wapo wanaume ambao hufanya ulonzi ili wawapate wanawake fulan na wengi wao hawa hutumia visomo fulan vya kishirikina viivyoandikwa kiarabu hivi huwa havikwepeshi lazima tu vitamkuta mlengwa na kamwe mwanamke atakubali kuolewa nae.

pia dawa hasa za kichawi zenye manuizi ya kiarabu ambazo huwekwa kwenye matunda ama vyakula, mikononi na ndio maana ni (hatari sana kwa mwanamke kushikana mikono na stranger hasa kama ni kwa salamu tu), kupitia simu nk.

to me this is stupid but ni vyema mjue mnalogwaje na dhamira ni nini sasa hapa kazi kwenu kwa wanaopenda niwaambie aina za haya madawa ani pm ila masharti msigombane na wake wala wapenzi wenu lol."

.....je, mke wa ndoa akikufanyia "ulozi" huu akudhibiti, "inakubalika?"
 
Last edited by a moderator:
Upuuzi tu na wanaishia kuwalisha wenzao uchafu wa kupindukia...

Wasopoacha watakuja kuwaua wenzao kwa kuwalisha bacteria wa kwenye kinyesi au kuwasababishia kipindupindu!

Ujinga mtupu!!

Babu DC!!

Hahahaha.....swahiba, uchafu ee? ....kwa hiari 'wengine' hupeleka ulimi wao na kufanya lamba lamba huko unakokuona kuna uchafu shekhe!

All in all, insecurities zinawapelekea watu wengi 'wenye imani potofu' kufanya ndondocha, kumbe 'uchawi' wote upo kwenye matendo na kauli nzuri.
 
niliomba unipe link ya post ya lara hiyo uliyo quote
hukunipa
kulink ndo sijui bana mm si mwl wa kompyuta hahhahah.........
iliandikwa hivi mimi,bosi, mke wa bosi na hawara twagongana kwa mganga. nafikiri key words ni hizo
 
Gfsonwin tafadhali naomba msaada wako...wapi naweza kupata olozi wa kumloga nyumba ndogo yangu maana naona naipenda mpaka basi ila inanizingua na haitulii...

Nataka niitulize inisikize mimi tuu...na ipo vizuri ikiwezekana inihudumie na niishi ki-mario baloteli mpaka nifurahi... Zamani ilikuwa imetulia sikuhizi naona kaka naachwa vile...

Please naomba uweke vikorombwezo vyooote hapa jamvini ili viwafae wanajamvi wenzangu wanaohitaji kuimarisha mapenzi yao ndoani au hata nyumbani ndogo.

yaani kwanza kabisa mimi mganga wangu, ni Damu ya Yesu na Moto wa Roho mtakatifu. ukivitumia hivi utakavyo kwenye ndoa lazima upete
 
Hiyo ya kula nyama iliyowekwa kunako kwa siku saba kiboko. Najaribu kuimagine harufu yake. ha ha haa . Wanaume tuna shida kweli kweli
 
Ni kweli yanafanyika hayo kwa wanawake wasiojiamini hv kweli kumlisha mwanaume uchafu huo si anaweza kuugua wanawake tumieni mizungu mahaba lugha laini mapenzi mazito na kumaliza migogoro kwa utulivu na njia ya mahaba basi mapenzi hapo yanakua matamu mume anaangalis saa yake mda wote awahi kurudi kwa honey wake aje kujifaidia mahaba si kuwalisha uchafu haipendezi mume anapenda malezi na kudeza


Nayanda
 
1.Kuna ambayo mtu anapewa anaweka mdomon anasuza mdomo,then anakukiss,apo hata umwambie nichambulie marage kwenye kinyes changu anachambua kwa ulimi!(hutumika sana na dada au kakazetu walioopoa mapedeshee au wadhungu wawapelekeshe wawachune ad ngozi)
2. Yakuchanjiwa kwnye paji la uso, si mapenzin tu,adi maofisin,kila akuonae anakuinamia i min anakutetemekea.
3. Yakuweka kwenye msosi unamnuia yeye mhusika, chochote utakacho,teh asa ole wale panya,cjuw itakueje
4. Nb zipo nyingi tu,hasa Tabora,KG siyo wote but wengi waha na wanyamwezi hupenda sana mpulizo..NASISITIZA SIYO WOTE!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom