Ulozi kwenye mahusiano...

come to think of Libwata, sasa hiyo nyama si itnuka sana? na hiyo mbunye nayo nyama wiki nzima si kutafuta majonjwa mabaya sana na haruku kali mno?
 
Yaani,,hadi hamu ya wanawake imeisha maana nahsi tayari ni victim wa hizo Libwata
SASA TUSAIDIE SOLUTIONS
da! Mwanamke hajiamini hadi atumie dawa? Aa! solution
 
Kweli ushirikina ni elimu ya mjinga! Hiyo nyama hata iwekwe kwenye uchi wa mwanamke kwa miaka 7 haina lolote isipokuwa wewe mwenyewe. Kama unaamini kwenye uchafu kama huu yatakukuta. Kimsingi watu hujiingiza kwenye nyumba ndogo kutokana na ku-expose matatizo kwenye ndoa zao. Nyumba ndogo wanachofanya ni kumpeleleza mhusika kujua kuna udhaifu gani kwenye ndoa yake. Wengine huwa na nyumba ndogo kutokana na tamaa tu. Hakuna cha limbwata wala ndelenja. Huyo aliyesema hayo uliyokopi ni binadamu. Ana udhaifu wake na imani yake. Je kama angesema kuwa hiyo nyama ni nyama na uchi wa mwanamke ungeamini siyo? Limbwata kubwa linaloweza kutumiwa na mtu yoyote ni kujua siri na udhaifu katika ndoa yako kama siyo udhaifu yaani tamaa zako. Angalieni miwaya itawamaliza wanangu.
 
limbwata naisikia tu, lakini siiamini

ni kama mapepo, majini, majinamizi yote yanatokana na hofu tu.

Ujue kila mwanamke kwa asili ana dizaini yake ya 'how to charm men'

unakutam mtu anapewa limbwata afu mganga anamwambia zidisha mapenzi kwa mmeo sana ili dawa ifanye kazi.

Kilichofanya kazi ni dawa au kuzidisha mapenzi??

basi mwaya usijali ipo siku utaamini.

hebu siku muulizie mtu hivi libwata ni nini?
 
come to think of Libwata, sasa hiyo nyama si itnuka sana? na hiyo mbunye nayo nyama wiki nzima si kutafuta majonjwa mabaya sana na haruku kali mno?

hapana si ananawa kila mara? na sio kipande kikuwa ni kidogo tu ila lazia kiekwe. kimsingi wanwake wana roho mbaya sana sio siri
 
nakumbuka miaka ya 1990 mwanzoni uliingia ugonjwa wa uti wa mgongo, tena ulianzia Bukoba ukafika hadi Mwanza.

Imagine kinga iliyoenea mtaani ni nini?? Kujifunga yale maganda ya mabua ya migomba shingoni au kiunoni, unalivaa siku nzima.

Asilimia naweza sema 40- 50 walivaa hayo makinga. Lakini baadae serikali ilileta chanjo halali na watu wote wakachomwa, je kwa nini watu walifunga yale makamba? Comfort ya desparate situation.

Hata kwenye mapenzi ni same same, desparation tu, inasaidia hizo dawa, hazisaidii lolote, mie huwa nasema wazi ni 'uji.nga uliotukuka'
 
limbwata naisikia tu, lakini siiamini

ni kama mapepo, majini, majinamizi yote yanatokana na hofu tu.

Ujue kila mwanamke kwa asili ana dizaini yake ya 'how to charm men'

unakutam mtu anapewa limbwata afu mganga anamwambia zidisha mapenzi kwa mmeo sana ili dawa ifanye kazi.

Kilichofanya kazi ni dawa au kuzidisha mapenzi??
sasa sikiliza nimeona mtu ambaye yeye alipigwa sura ya mavi yaani mumewe kila akimuona anasema naskia harufu ya mavi humu ndani kumbe hakuna lolote hali hii ilitokana na mtu kuekewa mavi mlangoni akayatoa basi ikawa ndo balaa lake.

hivi unajua hapa mjini mayai viza huuzwa aghali kuliko yai zima. na ni biashara ambayo watu wanafanya wajua ni ya nini haya? basi kazi yake ndo hii kuwapiga nuksi wengine. hivi unajua hapa mjini nazi mdondo ni dawa? na papai bichi? basi ukitaka kuamin nenda kwenye maduka ya dawa asili ulizia bei ya nazi mdondo utajua nini ni nini. usiseme Kongosho shukuru wewe umesoma and unaish peacefully yaani dunian kuna mambo.
 
Last edited by a moderator:
twenze za kimanzichana, kuna mganga toleo la 2013.

Dawa yake ni ya ku-spray tu kama deodorant.

Hivi mwanamke anakaaje na nyama up there for 7 days? Should be very uncomfortable, smelly and infectious! Na haitaanguka as it rots? Kisa cha kutoa mafunza? Si aende tu, kheee!
Na hiyo ya maji ya kutawazia, sijui kucha na nywele, si mtapata amoeba? Dah!
 
gfsonwin ulosema ni ukweli mtupu..... Lakini chanzo ni UMACHO JUU WA WANAUME....... Mnatafuta kwa dhiki mkipata yanalia mbwata anaenda kuokota ya kuokota..... Inakera sana isee
 
Last edited by a moderator:
aisee hiyo mambo nakimbia kuiamini coz inanitisha. kiukweli nimeshaisikia mara nyingi.

kuna hii niliisikia nikabaki kinywa wazi (honestly, I don't know how much of this is true)... kwamba mwanamke anaenda kwa tawire pros na wanamfanyia design flani ya kuingiza konokono au mdudu yoyote mwenye mwendo wa kujinyonganyonga kwenye p***y yake kwa kutumia sayansi yao, basi magic stick ya kidume ikiingia huko aaah konokono mdudu whatever anawajibika, bwamdogo anasikia kutekenywatekenywa, basi kidada kinakuwa perceived kuwa kina uchi mtamu kwelikweli...oh my!

ulinzi wa Mungu nautegemea sana...
 
gfsonwin yes i can admit kwamba ulozi upo as from matukio unayosema..
But believe me uzi unaojenga mapenzi ya kishirikina ni mwembamba sana..its just the matter of time unakatika!
Ila pia kama alivosema Kongosho wakt mwingine waganga wanacheza na saikolojia ya wanadamu tu..
Jiulize mbona siku hzi pale uwanja wa Taifa hawaambiwii Simba na Yanga kuruka ukuta kama ilivokuwa kule shamba la bibi??
 
Last edited by a moderator:
Kweli ushirikina ni elimu ya mjinga! Hiyo nyama hata iwekwe kwenye uchi wa mwanamke kwa miaka 7 haina lolote isipokuwa wewe mwenyewe. Kama unaamini kwenye uchafu kama huu yatakukuta. Kimsingi watu hujiingiza kwenye nyumba ndogo kutokana na ku-expose matatizo kwenye ndoa zao. Nyumba ndogo wanachofanya ni kumpeleleza mhusika kujua kuna udhaifu gani kwenye ndoa yake. Wengine huwa na nyumba ndogo kutokana na tamaa tu. Hakuna cha limbwata wala ndelenja. Huyo aliyesema hayo uliyokopi ni binadamu. Ana udhaifu wake na imani yake. Je kama angesema kuwa hiyo nyama ni nyama na uchi wa mwanamke ungeamini siyo? Limbwata kubwa linaloweza kutumiwa na mtu yoyote ni kujua siri na udhaifu katika ndoa yako kama siyo udhaifu yaani tamaa zako. Angalieni miwaya itawamaliza wanangu.
tatizo mie sikulazimish kuamin but ninachokiongea nna uhakika nacho kwa asilimia 1000000. ukitaka kuamina jiulize kwanni wengi wanaotoka nje hushindwa kurud hadi dawa zichakae
 
@gsonwin yes i can admit kwamba ulozi upo as from matukio unayosema..
But believe me uzi unaojenga mapenzi ya kishirikina ni mwembamba sana..its just the matter of time unakatika!
Ila pia kama alivosema Kongosho wakt mwingine waganga wanacheza na saikolojia ya wanadamu tu..
Jiulize mbona siku hzi pale uwanja wa Taifa hawaambiwii Simba na Yanga kuruka ukuta kama ilivokuwa kule shamba la bibi??

yaani nakumabia hivi hata hiyo saikaolojia haikoa ivyo hivi wataka nikupeleke mahali ukakutane na mtu akuelezee in black and white? hivi hujiulizi kwanini pale magomen waweza kukuta mchana wa jua kali mtu anakoga maji nje na kata? wajua maana yake?

hivi umewah kuona mayai viza ya kienyeji yanauzwa? ama mapapai machanga? umewah kujiuliza ya nini? umewah kuskia mtu kapigwa nuksi? basi sali sana na muombee zaid mkeo
 
gfsonwin, nakubali watu wanafanya hayo mambo, lakini NACHOKATAA ni kuwa kweli wanafanikiwa.

Hakuna dawa ya mapenzi ya kimazingaombwe.

Kuna email ilizunguka sana ya kisa cha mwanamke aliyepewa dawa na mganga hilo hilo limbwata ya kunywa.

Mganga aligundua mke ana mdomo sana kitu kinachopelekea ugomvi, akaamua kumpa dawa ambayo akishamsalimia mme tu, anakunywa ile dawa hadi mme amalize kula.

Kweli mme akiingia tu anasalimiwa mke anaanza msosi na vingine anakunywa ile dawa, na hakutakiwa kutema wala kumeza hadi anapotaka kwenda lala.

Hii ilisababisha mke asiye anamjibiza mme wake, baada ya mwezi tu, ndoa ikakaa mahali pake.

Dawa yenyewe ilikuwa maji ya kawaida kabisa ya uhai .
 
aisee hiyo mambo nakimbia kuiamini coz inanitisha. kiukweli nimeshaisikia mara nyingi.

kuna hii niliisikia nikabaki kinywa wazi (honestly, I don't know how much of this is true)... kwamba mwanamke anaenda kwa tawire pros na wanamfanyia design flani ya kuingiza konokono au mdudu yoyote mwenye mwendo wa kujinyonganyonga kwenye p***y yake kwa kutumia sayansi yao, basi magic stick ya kidume ikiingia huko aaah konokono mdudu whatever anawajibika, bwamdogo anasikia kutekenywatekenywa, basi kidada kinakuwa perceived kuwa kina uchi mtamu kwelikweli...oh my!

ulinzi wa Mungu nautegemea sana...
waeleze wajue yaani hapa watu watakana ila ni ukweli
 
another point of correction, je ni kweli walio kwenye ndoa hawatumii limbwata??

Na je nyumba ndogo zote zinatumia limbwata?
skiliza nikwambie Kongosho wapo wanawake walioko ndoani ambao huamini sana ushirikina so kwao huona kumtuliza mume ni kumloga.

%100 ya w=small house zinazohudumiwa kwa kupewa nyumba na magari wanaloga hakuna upendo wa kawaida hapa never. hii nimeona kwani wengi dawa zikiisha huachwa ama wanaume hurudi tena kwake mikono nyuma.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom