Ulozi kwenye mahusiano...

Ulozi kwenye mahusiano...

ni ujinga kwa kweli.

True story.
Nakumbuka nikiwa fomu two, kuna mtu aliniambia bora nimkubali kwa hiari, sababu ameshapata mganga atakayeniloga.

Nikajisemea, nitasubiri hadi uniloge, tena huyo mganga alikuwa anaogopewa sana maana alikuwa anatumia eti majini, mtaa wa 2 tu toka nilipokuwa naishi.

The guy was labda 10+yrs older than me, na alikuwa anajaribu kucheza na saikolojia na kutengeneza hofu ndani yangu.
Kongosho iyo ya saikolojia lkn ipo ya kulogana laivu kwa nyama nimeona kwa macho yangu mtu anawekewa na anasema kabisa akila leo kesho utamuona. chezeya wanawake wa mjini wewe..................... mimi sitak kabisa kuwaskia hawa watu
 
Last edited by a moderator:
ujue kama watu hawana uelewa na jambo, ndipo mitafaruku kama hii hutokea.

Miaka ya mid 1990's lilizuka suala la 'dudu mtu' kwenye mboga za majani hasa kabechi.

Wapo waliolihusisha na ulozi, wanyama walilia sana maana kafara zilitolewa mno.

Kuja gundulika ni 'lava' wa kipepeo

au suala la maalbino kuuawa kwa ajili ya madini na uvuvi wa samaki ni kweli? Je makampuni makubwa ya uchimbaji yanaua albino wangapi kwa kupata kiasi kikubwa hivyo cha madini??

Kwa nini ni local miners tu ndio wanajihuisha na albinom at the same time wala uzalishaji wao si mkubwa hivyo?
 
duh hii kali kikipotelea humo huwa wanaenda kwa daktari kumueleza nini au huwa wanarudi kwa waganga wao wawachokonoe mpaka kipatikane!

hahahha ........jamani babu DC nilijua utabisha ila ni kweli

iko hivi kipande cha nyama kinachoekwa ukeni sio kikubwa kama unavyodhani pia huwa kinatolea uchi unaoshwa kisha kinarudishwa na usiku kama mume ataomba unyumba anaambiwa naiako kwenye period so anavaa na pedi kabisa
 
Mie nimeomba waniletee hata sasa hivi nile hicho kipande cha nyama....ila itabidi nitameze strong antibiotics nisijepambana na E.coli au bacteria wengine wa hatari..

Nilitembelea Tanga miaka ya nyuma na kila mtu alinambia kwamba sitarudi salama. Nilikaa kwa zaidi ya miaka 5 na kurudi salama. Mie na Bibi bado tunadunda...!!

Huu ni uzushi tu wa kuwajenga watu hofu!!

Babu DC!!
 
sikatai gfsonwin kusali ni muhimu sana je unataka kusema nyumba zote ndogo huwa zinahusisha ulonzi,nia na madhumuni ni kipi hasa najaribu kufikiria mazingira yote uliyoweka hapo juu hayana mvuto hata kidogo kwa binadamu mwenye akili timamu kuyafanya au kwao maana ya mapenzi huwa ni tofauti?
labda tuwaite wachumia mali maana sioni hata moja linalovutia kwenye ulonzi!
Chauro umesahau kwamba hawa wao wako kibiashara zaid? wengine wakilia siku hizi wanaume hawahongi basi kuna ambao wao wakionekana tu mtu anavutiwa nae na kila asemacho anapatiwa. hawana uchungu na maisha ya wengine bali mali tu
 
Last edited by a moderator:
Mie nimeomba waniletee hata sasa hivi nile hicho kipande cha nyama....ila itabidi nitameze strong antibiotics nisijepambana na E.coli au bacteria wengine wa hatari..

Nilitembelea Tanga miaka ya nyuma na kila mtu alinambia kwamba sitarudi salama. Nilikaa kwa zaidi ya miaka 5 na kurudi salama. Mie na Bibi bado tunadunda...!!

Huu ni uzushi tu wa kuwajenga watu hofu!!

Babu DC!!
babu DC hivi wewe uliwah kuwa mtundu kidogo?
 
je inawasaidia??

Kongosho iyo ya saikolojia lkn ipo ya kulogana laivu kwa nyama nimeona kwa macho yangu mtu anawekewa na anasema kabisa akila leo kesho utamuona. chezeya wanawake wa mjini wewe..................... mimi sitak kabisa kuwaskia hawa watu
 
Last edited by a moderator:
Chauro umesahau kwamba hawa wao wako kibiashara zaid? wengine wakilia siku hizi wanaume hawahongi basi kuna ambao wao wakionekana tu mtu anavutiwa nae na kila asemacho anapatiwa. hawana uchungu na maisha ya wengine bali mali tu

Bwana wewe gfsonwin,

Kila mtu anaponzwa na uzembe au tabia yake...Kuna watu wanahonga hadi wakaribia kuhonga upepo!

Sidhani kama kuna uhusiano wa kuhonga na ulozi...

Imani za ulozi ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ujue kama watu hawana uelewa na jambo, ndipo mitafaruku kama hii hutokea.

Miaka ya mid 1990's lilizuka suala la 'dudu mtu' kwenye mboga za majani hasa kabechi.

Wapo waliolihusisha na ulozi, wanyama walilia sana maana kafara zilitolewa mno.

Kuja gundulika ni 'lava' wa kipepeo

au suala la maalbino kuuawa kwa ajili ya madini na uvuvi wa samaki ni kweli? Je makampuni makubwa ya uchimbaji yanaua albino wangapi kwa kupata kiasi kikubwa hivyo cha madini??

Kwa nini ni local miners tu ndio wanajihuisha na albinom at the same time wala uzalishaji wao si mkubwa hivyo?

sikiliza mdogo wangu hawa wanaofanya hivi wana interest zao binafsi na kwako hawaoni shida hata kidogo. sikufich mwl mwenzetu aliwah kumfix mumewe kwa kitambaa cha shughuli sasa siku moja mumewe akaoteshwa tu ndotoni inaelekea alikuwa ameaga vyema kwao basi mke akiwa job mume akaanza kupekua chumba chini akakuta kile kikopo chenye kitambaa akakiweka mezani. ke kurud akamuuliza mama akakataa basi mume akasema kama hakikuhusu nbasi nakichoma. sasa kumbe sharti kile hakitakiwi kuchomwa ukikichoma u mume anakuwa ******* sasa mkewe akaogopa akasema ukweli.

ndo mume kusema kumbe ndo maana nko hivi yaani alikuwa na kimada akienda kwake haismami akirud ndani inasmama kawaida. basi ulikuwa ugomvi hadi ukaja ofcn.
 
Utundu gani huo unaongelea??

Au nikupe contacts za Bibi akupe ushuhuda?

Babu DC!!

sihitaj kuconfirm kwa bibi basi inaelekea wewe hujawah kusogelea kwa mganga kujua nini kinachofanyikaga huko. mimi niliwah kwenda siriaz si kutibiwa ila kujua nini kiko ndani yake na ilikuwa ni huko rufiji,na huku nilikwenda kikaz nikalala nyumban kwa mganga manake ndo mtu maaruf hapo kijijin ndipo nilipojua hata nyumba za waganga zikoje.

nilipokuja kuskia habari za wanasiasa kwenda kwa waganga nikajua ni kweli wanaenda na nafkiri hili hata wewe unaamin.
 
Bwana wewe gfsonwin,

Kila mtu anaponzwa na uzembe au tabia yake...Kuna watu wanahonga hadi wakaribia kuhonga upepo!

Sidhani kama kuna uhusiano wa kuhonga na ulozi...

Imani za ulozi ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine!

Babu DC!!

hivi babu DC unamin ulonzi kwenye siasa?
 
bora niwe msikilizaje tu hapa.

Maana sielewi kitu kabisa na siamini hata moja.

Sioni kama ni ajabu mtu mnayeishi naye nyumba moja kuona kitu ulichoficha ndani ya nyumba hiyo hiyo.

Ni coincidance tu.

Anyway, ngoja nipishe wachangiaji wengine labda.

sikiliza mdogo wangu hawa wanaofanya hivi wana interest zao binafsi na kwako hawaoni shida hata kidogo. sikufich mwl mwenzetu aliwah kumfix mumewe kwa kitambaa cha shughuli sasa siku moja mumewe akaoteshwa tu ndotoni inaelekea alikuwa ameaga vyema kwao basi mke akiwa job mume akaanza kupekua chumba chini akakuta kile kikopo chenye kitambaa akakiweka mezani. ke kurud akamuuliza mama akakataa basi mume akasema kama hakikuhusu nbasi nakichoma. sasa kumbe sharti kile hakitakiwi kuchomwa ukikichoma u mume anakuwa ******* sasa mkewe akaogopa akasema ukweli.

ndo mume kusema kumbe ndo maana nko hivi yaani alikuwa na kimada akienda kwake haismami akirud ndani inasmama kawaida. basi ulikuwa ugomvi hadi ukaja ofcn.
 
bora niwe msikilizaje tu hapa.

Maana sielewi kitu kabisa na siamini hata moja.

Sioni kama ni ajabu mtu mnayeishi naye nyumba moja kuona kitu ulichoficha ndani ya nyumba hiyo hiyo.

Ni coincidance tu.

Anyway, ngoja nipishe wachangiaji wengine labda.

ipo siku utashuhudia kwa macho yako
 
Haya mambo yapo kabisa naa watu wana fanya hila hizi naamini zina mwisho!
Ni vigumu kumtofautisha mtu anaye fanya mambo haya na mshirikina!
Kuna haja gani kutafuta upendo kwa madawa, mimi naamini kama haupo haupo tu, kama upo upo tu! Mtu ana kuwa zezetu sasa hapo kuna mapenzi kweli?

Na hizi zinge kuwa zina fanya kazi vilivyo basi ndoa zisingekuwa na matatizo kama tuanayo yasikia kila siku.
 
hivi babu DC unamin ulonzi kwenye siasa?

Mie bwana siamini ulozi wa aina yoyote,

Kuna site tulikuwa tunaendeleza basi huyo kijana aliyekuwa analinda akanambia kuwa usiku anatembelewa na majini...

Basi kwa kumpa courage nikamwambia akisia kitu tu aite jina langu...

Hadi leo sijawahi kusikia tena kitu kama hicho!!

Pia tuliwahi kupanga nyumba moja Kurasini, watu wakawa wanasema kuwa mwenye nyumba ni chuma ulete...Mie sikupoteza hata coin moja!!

Siamini uchawi hata kidogo mdogo wangu!!

Babu DC!!
 
hivi babu DC unamin ulonzi kwenye siasa?

Siamini kitu hicho na watu wanoenda kwa waganga ni wajinga kama wajinga wengine!!

Kuna jamaa mmoja nasikia alikuwa anaenda kwa wanganga usiku..Sometime wanakodi taxi kutoka Dar hadi Moro ili apandishwe cheo...Hadi sasa sijaona cheo chochote alicho nacho. Badala yake vijana wanatoka nyuma na kumpiga bao!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom