Great suley
Member
- Aug 12, 2011
- 30
- 5
kuna swala linaleta tatizo hivi kuna tofaut gani kati ya institute na university coz kuna information nimesoma zinasema kua unapograduate ktk institute unapotaka kusoma masters lazima ufanye mitihani kwanza so dis mean kua degree za institute hazitambuliki kimataifa..? Contraverse..mbona ukienda na degree ya university hamna mtihan..naomba mnifumbue macho ma great thinker wa jf