ulizo jamani

Great suley

Member
Aug 12, 2011
30
5
kuna swala linaleta tatizo hivi kuna tofaut gani kati ya institute na university coz kuna information nimesoma zinasema kua unapograduate ktk institute unapotaka kusoma masters lazima ufanye mitihani kwanza so dis mean kua degree za institute hazitambuliki kimataifa..? Contraverse..mbona ukienda na degree ya university hamna mtihan..naomba mnifumbue macho ma great thinker wa jf
 

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,023
1,772
Cdhani kama kuna ukweli,degree zote zko sawa haijalish zimetoka kwa institution au university.
 

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
13,781
23,688
Hata mimi niliyesoma Massachusetts Istitute of Technology (MIT) nikitaka kufanya Master UDOM itabidi nifanye mitihani yao?
 

Great suley

Member
Aug 12, 2011
30
5
no jamani i mean ukienda kusoma masters nje ya nchi ndo kama umetoka institute lazima ufanye mtihan co idnt understand nivipi institute degree hazitambuliki kimataifa..? Tell me smthng grt thnkers wa jf
 

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,023
1,772
no jamani i mean ukienda kusoma masters nje ya nchi ndo kama umetoka institute lazima ufanye mtihan co idnt understand nivipi institute degree hazitambuliki kimataifa..? Tell me smthng grt thnkers wa jf

nadhan ilikua ni dhaman enzi zle wanatoa advanced diploma ila kwa sasa cna uhakika cz hzo institute zote znatoa degree!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom