T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,126
- 30,573
Duh!!...Yaani mimi nizaliwe awamu ya tatu na uzee wangu huu Khantwe!!Wewe hapo, 1990 ni awamu ya tatu wewe
Aah kumbe ni awamu ya pili sasa mbona uliandika ya kwanzaDuh!!...Yaani mimi nizaliwe awamu ya tatu na uzee wangu huu Khantwe!!
Kwa taarifa yako mimi nimezaliwa tarehe 15/01/1990
Siku ya jumatatu usiku kuamkia jumanne
Muhenga Mimi mkuu
Aah kumbe ni awamu ya pili sasa mbona uliandika ya kwanza
Hahaha....wewe je?
Wow!!...shikamo Dada KhantweMimi ya kwanza mzee baba
Marhaba sanaWow!!...shikamo Dada Khantwe
Awamu ya mzee wa Ruksa Al haj Ally Hassan Mwinyi
1957Mwisho kabisa wa awamu ya kwanza na mwanzo kabisa wa awamu ya pili.
Haki yako Hii hapa shkamo (in congolese voice)
Kabla sijaitikia shkamoo yako kwanza jieleze ulikuwa wapi siku zote hiziHaki yako Hii hapa shkamo (in congolese voice)
Hahahhh una mkwala kumbe ... nitafanya maamuzi magumu.... hahaha tulia bana
Mzima lakini?
Mimi na like wale tulizaliwa awamu hiyo
Now I know who to follow....Thx Sky Eclat
Hahahhh nipo tele JF nyumbani yangu mwenzio sema sometimes huwa nachungulia nasepa au nakuwa kwenye majukwaa ya vituko umbea udaku huko kunako kuchangamsha akili au niseme nilikuwa najishughulisha na ba mwenye nyumba hahahhh mji mkubwa mambo mengi...Kabla sijaitikia shkamoo yako kwanza jieleze ulikuwa wapi siku zote hizi
Maelezo yanifikie kabla jua halijazama leo
Afadhali, nikadhani umeolewa afu usiniambie...Hahahhh nipo tele JF nyumbani yangu mwenzio sema sometimes huwa nachungulia nasepa au nakuwa kwenye majukwaa ya vituko umbea udaku huko kunako kuchangamsha akili au niseme nilikuwa najishughulisha na ba mwenye nyumba hahahhh mji mkubwa mambo mengi...