Uliza swali lolote kuhusu umeme

Uliza swali lolote kuhusu umeme

Kijana Jr

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
562
Reaction score
850
Kwa mwenye swali lolote kuhusu umeme uliza hapa.

Wakuu haya ni baadhi ya majina ambayo hutumika kama SI unit (people's names used for SI unit)

- Michael Faraday
SI unit of capacitance farad(f)

- Andre Marie Ampare
SI unit of electric current(a)

- Alessando Volt
SI unit of voltage(v)

- George Simon Ohm
SI unit of electric resistance

- James Watt
SI unit of power(w)

- Joseph Henry
SI unit of inductance(h)

- Heinrich hertz
SI unit of frequency(Hz)

- Nikole Tesla
SI unit of magnetic field strength (T)

- Charles Augustin de Coulumb
SI unit of electric charge(C)

- Werner von Siemens
SI unit of conductance(s)

Love electrical, i love current.
 
kwa mwenye swali lolote kuhusu umeme uliza hapa
wakuu haya ni baadhi ya majina ambayo hutumika kama si unit (people name used for si unit)
-michael faraday
Si unit of capacitor farad(f)
-andre marie ampare
Si unit of electric current(a)
-alessando volt
Si unit of voltage(v)
-georg simon ohm
Si unit of electric resistance
-james watt
Si unit of power(w)
-joseph henry
Si unit of inductance(h)
-heinrich hertz
Si unit of frequency(hz)
-nikole tesla
Si unit of magnetic field strength(t)
-charles augustin de coulumb
si unit of electric charge(q)
-werner von siemens
Si unit of conductance(s)
Love electrical
i love current
main switch ya njia kumi inafaa kuweka kwenye nyumba ya vyumba viwili?
 
Kwa mwenye swali lolote kuhusu umeme uliza hapa.

Wakuu haya ni baadhi ya majina ambayo hutumika kama SI unit (people's names used for SI unit)

- Michael Faraday
SI unit of capacitance farad(f)

- Andre Marie Ampare
SI unit of electric current(a)

- Alessando Volt
SI unit of voltage(v)

- George Simon Ohm
SI unit of electric resistance

- James Watt
SI unit of power(w)

- Joseph Henry
SI unit of inductance(h)

- Heinrich hertz
SI unit of frequency(Hz)

- Nikole Tesla
SI unit of magnetic field strength (T)

- Charles Augustin de Coulumb
SI unit of electric charge(C)

- Werner von Siemens
SI unit of conductance(s)

Love electrical, i love current.
Kwanini "magnifying transmitter" ya Tesla imeshindikana kuwa applicable kwenye real life hadi leo miaka zaidi ya 100 tangu Tesla aigundue?
 
Kwa mwenye swali lolote kuhusu umeme uliza hapa.

Wakuu haya ni baadhi ya majina ambayo hutumika kama SI unit (people's names used for SI unit)

- Michael Faraday
SI unit of capacitance farad(f)

- Andre Marie Ampare
SI unit of electric current(a)

- Alessando Volt
SI unit of voltage(v)

- George Simon Ohm
SI unit of electric resistance

- James Watt
SI unit of power(w)

- Joseph Henry
SI unit of inductance(h)

- Heinrich hertz
SI unit of frequency(Hz)

- Nikole Tesla
SI unit of magnetic field strength (T)

- Charles Augustin de Coulumb
SI unit of electric charge(C)

- Werner von Siemens
SI unit of conductance(s)

Love electrical, i love current.
tariff za umeme kila mtu anaweza kubadili
au ni kwa ajili ya staffs wa shirika tu?
 
tariff za umeme kila mtu anaweza kubadili
au ni kwa ajili ya staffs wa shirika tu?
Mkuu japo sijafanya kazi pale tanesco hila tarrif kwa mteja ni ruhsa kuhama kwa maelezo zaidi fika kituo kilicho karibu nawe cha tanesco
 
Inafaa kabisa utatumia miniature kama mbili ya light loads,power circuit Socket na cooker kama ipo
Mkuu inawezekana matumizi yako kifanyacho kazi ni fuse ambazo ndio ina fungua sub circuit napatwa na mashaka na hivyo vyumba mkuu
 
mkuu hivi flow of charges inapelekea vp umeme utokee? na unasafir vp kutoka kwenye source hadi kwa watumiaji?
 
Back
Top Bottom