Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

Anton Kreil ni muingereza. Alienda US kufanya kazi.

Alipoacha akarudi uingereza badae ndo akafungua kampuni yake akaihamishia Singapore.

Huwa anazunguka maeneo mbalimbali kufundisha mf, london, thailand, new york.

Nimekuwa namfuatilia kwa miaka mitatu sasa.
Naona tuko pamoja kwa Anthony Kreil Ila saivi mie nimeshaachana naye. Mie namuona ni blah blah. He isn't specific what to do kabisa.
Ila mazew hii kitu Ina safari ndefu Sana. Ni rahisi sana kuishia njiani.
Uko mkoa gani hapa tz wewe Bavaria
 
Nadhani hujanijibu swali langu. Nataka kufahamu timeframe. Umeanza siku flani mpaka leo.

Kama hutajali naomba screenshot ya zile trade zako 10-20 za mwanzo baada ya kupewa hiyo demo account.
Yaani mkuu Kama unani sahili. Ujue ukiwa na demo yenye history nzuri unaweza ukaituma sehemu ukapewa kazi katika hedge,pension funds or banks mkuu.
Samahani sintohitaji ku prove anything to anybody. Mana na lengo ni Kuja kuwa inspiration kwa wengine kuwaambia ukweli kuwa ni lazima uwe tayari ku dedicated almost 5 years na hapo ni study and demo trade and nothing else.
Mana Jesse Livermore anasema ukishajua game millions zina flow kuja kwa akaunti yako easily kuliko thousands trades uliofanya ukiwa amateur na ignorant.
This is professionalism like any other professionalism so Ina miiko yake pia.inatkiwa uipe heshima zake.
Kiukweli mtu anaye post trades zake sio pia kabisa namie nakiri nimekosa Mana huwa nawachora Sana hao wanaotamanisha kuwa ni ya ukweli.
Nishawahi pewa demo yenye nembo ya real Ile ya kuwatamanisha ili uwatoe hela.
Ila ukimuuliza tuone muamala wa bank hauonekani na hizo zingine anakuonyesha.
Hapo ndipo unapowakamatia.
So namie ni newbie na nitakuwa newbie kila siku Mana kila siku soko linakuchapa.
 
Si unazijua correlated pairs katika world of trading lakini.
Hii itakusaidia Sana ukishajua. Mfano anaye tredi mafuta na cad ni kitu kimoja kwa movement,pia aud na gold is + correlated nzd and milk price milk.
Pia Kuna Kama pairs sita ziko very strong duniani.
Wakati hizi zikiwa bearish tatu zingine zinakuwa bullish and vice versa just to balance equilibrium ya uchumi wa dunia
Na kama trader kazi yako ni ku_monitor movement ya 6 currency index
How??
Picha hii hapa:
1622893088996.png
 
Na kama trader kazi yako ni ku_monitor movement ya 6 currency index
How??
Picha hii hapa:
View attachment 1808986
Hapo ni chart inayoikunyesha currency imekuwa strong na ipi ni weak.
Mfano hapo Kuna horizontal line.juu ziko strong na down ziko weak.
Kuna wengine Wana tredi kwa style hiyo yaaani anacheki iliyo strongest Ana pea na iliyo weakest so Ana tredi.
Mfano Kama gbp ni strong na nzd I'll very weak. Nanunua nzd naiuza gbp.
Mana nikitoa gbp moja labda napewa nzd 2 so baadaye nzd ikiwa strong nitatoa gbp 1 Ila nitapata 1.7nzd.
So hapa nitakuwa naiuza hiyo nzd kupata back my gbp zangu zile zile.
Sema trading ni Pana Sana na kila mtu Ana style yake ya kutredi.
Mie kila kitu nacheki chart ndo msema ukweli Wala sio naniihii akaongea
 
Kama Kuna unaowafahamu wa kuhitaji wafanyakazi ama Kama ni wewe mwenyewe una akaunti useme.
Mana nimejaribu kufuatilia kwa zile prop traders wanakupa mtaji unafanya kazi afu mnagawana faida na wao nikawaona ni hola Mana wanataka udeposit hela Kama fee ninaona hapa ni kuliwa tu.
Pia huwa Kuna demo contest huwa nazifukuzia
 
Mana nimejaribu kufuatilia kwa zile prop traders wanakupa mtaji unafanya kazi
5 Best Proprietary Trading Firms (No. 3 top recommended)
Code:
https://5bestproprietarytradingfirms.com
Ukipitia maelezo utaona kuna kampuni mbili wanakupa Real Live na, Ni direct unaanza kupiga mzigo.
1622895496535.png
 
5 Best Proprietary Trading Firms (No. 3 top recommended)
Code:
https://5bestproprietarytradingfirms.com
Ukipitia maelezo utaona kuna kampuni mbili wanakupa Real Live na, Ni direct unaanza kupiga mzigo.
View attachment 1809036
Nashukuru mwalmu ngoja nicheki vizuri. Sema wengi wanakuambia kuwa niwatumie Kama laki 300 fee yao. Mie nawauliza kuwa kilichonifanya nakuja kwenu sina capital so inakuwaje Tena mnaniomba hela
Yaani kibaya mie mtu akishaniomba hela tu ananivuruga. Hata demu akinipa namba aliomba tu hela naifuta.
Yaani mpaka unaona ni ujanjm
 
Mie nawauliza kuwa kilichonifanya nakuja kwenu sina capital so inakuwaje Tena mnaniomba hela
Yaani kibaya mie mtu akishaniomba hela tu ananivuruga.
Hakikisha unasoma na kuzielewa Terms and Condition zao.

Kila kitu kimewekwa wazi. Ni jukumu lako kufanya tafiti na kujiunga na kampuni sahihi.
 
5 Best Proprietary Trading Firms (No. 3 top recommended)
Code:
https://5bestproprietarytradingfirms.com
Ukipitia maelezo utaona kuna kampuni mbili wanakupa Real Live na, Ni direct unaanza kupiga mzigo.
View attachment 1809036
Ila sio mbili tu nadhani ni nyingi.
Sema
Na wao inaweza ikawa janja yao ya kupiga hela. Na wanatumia testimonial nyingi Kama kukuaminisha.
Yaani Kama hela Ipo why mtu alazimishe kukuwekea mfukoni kwako kweli jamani. Nadhani wale wapakistani wasingekuwa wanahangaika kulaghai watu hela zao kuwa mie ni account manager
 
5 Best Proprietary Trading Firms (No. 3 top recommended)
Code:
https://5bestproprietarytradingfirms.com
Ukipitia maelezo utaona kuna kampuni mbili wanakupa Real Live na, Ni direct unaanza kupiga mzigo.
View attachment 1809036
Umeona hizo fees zao.huwa nawaambia kuwa nipeni nifanye yaani nikipata faida tu mnatoa hela yenu nabaki nafanya kazi Kama kawaida
Sasa wacheki watu Wana euro malaki Ila wanakuomba euro sijui Mia kweli Kuna logic hapo jamani.
Kuna watu wanawasema kuwa huwa wanafukuzia hizi fees ndo ishu yao kubwa ilipo. Ndo earning yao.kuna ma account or hedge fund managers walio na uzoefu wa miaka takribani milongo kadhaa achana na sie internet imekuja Haina hata miaka 20+ ni majuzi tu hapa. Wao Wana makitu tokea 1792 huko. So babu yake na babu alikuwa ni trader.
Kuna watu wanafoundation nzuri mfano Warren baba yake alikuwaga ni stroker broker.
Yule mdada wa Singapore anadai wazazi wake walikuwa wananunuaga stocks so akaanza kuwa na wazo.
Akiwa school wenzke wanawaza likizo yeye anatumia screen za lecture hall kumcheki graph
 
Ni jukumu lako kufanya tafiti na kujiunga na kampuni sahihi.
keisangora
Alernative fund account yako wewe binafsi kisha chagua broker mwenye leverage kubwa kama exness au justforex piga profit zako. Achana na hayo makampuni sababu Terms and conditions zao, na business model zao haziendani na mtazamo wako.

1622898599840.png

Wanachofanya wengine👆, Wanapiga profit hadi broker husika naye anawekeza kwa trader, Tupambane.
 
Mkuu sio kuwa wewe ndiye Ontario Mana ule uzi mlikuwaga mnasapotiana Sana. Uko wapi saivi kwa hapa tz.
Yaani trading ni watu masikini wachache Sana wanaifanya inaonekana Kama ni utapeli.
Mana Kama Hawa account management wamejaa sana.
Wanachofanya nikiwa na akaunti mbili nabofya lot kubwa Sana kwa sell kwako na kwa mbususu nabofya buy so Kama kwako imeji double yule nimeunguza ,natumia ya kwako kutafuta wenye greed na kupata pesa ya haraka..
Mchezo unakuwa ni huo huo.kuna watu wanaifanya kazi hela za watu Mana za kwao ni za Moto kuzishika
Nimekuwa kwenye forex business toka wakati Ontario yupo sekondary.

I supported his idea ya kusambaza forex knowledge to the masses ila i was very against idea ya kufundisha mtu ndani ya week na next week afungue account kwa broker wa Ontario na the other week uanze trading. Na mbaya zaidi watu ambao hawajui hata pips ni nini.

Moja ya emphasis niliokuwa naisema ni kuwa watu wajifunze zaidi na zaidi, ila wengi walipenda hela za short cut, likawatokea la kutokea.

Asilimia kubwa walijifunza in a hard way, waka bounce back. Waliokata tamaa ndo hao wanakwambia forex ni scam.

All in all, kila mtu anajua destiny ya maisha yake anataka yawe vipi.
 
Naona tuko pamoja kwa Anthony Kreil Ila saivi mie nimeshaachana naye. Mie namuona ni blah blah. He isn't specific what to do kabisa.
Ila mazew hii kitu Ina safari ndefu Sana. Ni rahisi sana kuishia njiani.
Uko mkoa gani hapa tz wewe Bavaria
Ilibaki kidogo nijiunge kwenye IPTM yake wakati huo natafuta mentorship ya great traders wa Stocks. Video zake zilinihamasisha ila ile ya kupondea wenzako ili uonekane unafaa ilinifanya nianze kujiuliza maswali mengi sana. Nikaachana nae.

Nipo Dar.
 
Yaani mkuu Kama unani sahili. Ujue ukiwa na demo yenye history nzuri unaweza ukaituma sehemu ukapewa kazi katika hedge,pension funds or banks mkuu.
Samahani sintohitaji ku prove anything to anybody. Mana na lengo ni Kuja kuwa inspiration kwa wengine kuwaambia ukweli kuwa ni lazima uwe tayari ku dedicated almost 5 years na hapo ni study and demo trade and nothing else.
Mana Jesse Livermore anasema ukishajua game millions zina flow kuja kwa akaunti yako easily kuliko thousands trades uliofanya ukiwa amateur na ignorant.
This is professionalism like any other professionalism so Ina miiko yake pia.inatkiwa uipe heshima zake.
Kiukweli mtu anaye post trades zake sio pia kabisa namie nakiri nimekosa Mana huwa nawachora Sana hao wanaotamanisha kuwa ni ya ukweli.
Nishawahi pewa demo yenye nembo ya real Ile ya kuwatamanisha ili uwatoe hela.
Ila ukimuuliza tuone muamala wa bank hauonekani na hizo zingine anakuonyesha.
Hapo ndipo unapowakamatia.
So namie ni newbie na nitakuwa newbie kila siku Mana kila siku soko linakuchapa.
Anyways, nilitaka nijue timeframe ili nijue risk management na position sizing yako.

Huwa nikiangalia mtaji wa mtu na trades zake najua vitu vingi kwa urahisi.

99% ya forex traders wanachoma mitaji yao wanapokosea risk management na position sizing. Ila strategy zao zipo vizuri tu.

Sio kila siku forex market inakuwa very perfect kwamba utapata consinstent profits everyday.

Ila RM na PS ndo zinakulinda yanapotokea majanga sokoni.

Utakuta mtu anamtaji wa $1000 ila ana risk almost 10% ya mtaji wake in a single trade. Manake ndani ya trades 10 ameshachoma kila kitu.
 
keisangora
Alernative fund account yako wewe binafsi kisha chagua broker mwenye leverage kubwa kama exness au justforex piga profit zako. Achana na hayo makampuni sababu Terms and conditions zao, na business model zao haziendani na mtazamo wako.

View attachment 1809077
Wanachofanya wengine, Wanapiga profit hadi broker husika naye anawekeza kwa trader, Tupambane.
Muhimu ni kutafuta mpunga wako na kuweka.

Hii ya kupewa mtaji unaweza ukadhulumiwa usijue pa kuanzia.

Afterall unakuwa free na mtaji wako mwenyewe.

Njia nyingine ni kutafuta investors hapahapa bongo wanaojua forex ni nini. Unaongea nao then wanakupa hata $1000 ya kuanza nayo.
 
keisangora
Alernative fund account yako wewe binafsi kisha chagua broker mwenye leverage kubwa kama exness au justforex piga profit zako. Achana na hayo makampuni sababu Terms and conditions zao, na business model zao haziendani na mtazamo wako.

View attachment 1809077
Wanachofanya wengine👆, Wanapiga profit hadi broker husika naye anawekeza kwa trader, Tupambane.
Hii Haina uhakika mkuu,Mana mtu hawezi piga kelele kiasi icho. Huwezi mlazimishia mtu kuwa aje umpe njia ya kupata hela.
Pia real legitimate broker huwa hawana leverage kubwa.
So huwazi hapo mtu Ana hela afu anataka hela Tena.
Hizo testimonial zinatengenezwa elewa.
I don't trust easily kiivyo.
Pia Nina ka plan kangu mwenyewe. Na hiyo unayonipa top five prop firms nilikuwa nayo sema hizo fee hapo ndo njia yao ya kumeki hela.
Mfano hapo ukizama unaambiwa Kuna gharama.

Kama mganga wa jadi anakuomba hela ili akupe utajiri so why asikupe atakata hukohuko.
Ama umeshinda zawadi ya 100M tuma 50k Kama ada ya kukutumia hela so wakate huko huko kwenye 100M.
Hata wale jamaa wa aliyekiona kiberiti Cha njiti nimewaona tokea nikiwa msingi.
Wanakupa ya kujaribisha ukipata unaambiwa kuwa onyesha Kama hii upewe iyo. Nilionyesha akataka kuishika nikasema mbona huyo hapo akakuonyesha tu ukampatia.
Mara mtu ameokota gold kwa ajali afu akaambiwa kuwa akiipeleka kwa wahusika atapewa 200M Ila yeye Ana haraka Ana mgonjwa anataka 100k.
So unaona Kuna uhalali hapo
 
Hakikisha unasoma na kuzielewa Terms and Condition zao.

Kila kitu kimewekwa wazi. Ni jukumu lako kufanya tafiti na kujiunga na kampuni sahihi.
Sema hiyo kufanya tafiti na kujiunga na kampuni sahihi. Mfano Kama ftmo huwa nawaona wanajirekodi kuwa wanachofanya. Mfano Kuna mdada aliye wazi Sana alianza na Dola Mia hivi sijui anaitwa Hannah
 
Back
Top Bottom