Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
9,253
2,000
Hii Haina uhakika mkuu,Mana mtu hawezi piga kelele kiasi icho. Huwezi mlazimishia mtu kuwa aje umpe njia ya kupata hela.
Pia real legitimate broker huwa hawana leverage kubwa.
So huwazi hapo mtu Ana hela afu anataka hela Tena.
Hizo testimonial zinatengenezwa elewa.
I don't trust easily kiivyo.
Pia Nina ka plan kangu mwenyewe. Na hiyo unayonipa top five prop firms nilikuwa nayo sema hizo fee hapo ndo njia yao ya kumeki hela.
Mfano hapo ukizama unaambiwa Kuna gharama.

Kama mganga wa jadi anakuomba hela ili akupe utajiri so why asikupe atakata hukohuko.
Ama umeshinda zawadi ya 100M tuma 50k Kama ada ya kukutumia hela so wakate huko huko kwenye 100M.
Hata wale jamaa wa aliyekiona kiberiti Cha njiti nimewaona tokea nikiwa msingi.
Wanakupa ya kujaribisha ukipata unaambiwa kuwa onyesha Kama hii upewe iyo. Nilionyesha akataka kuishika nikasema mbona huyo hapo akakuonyesha tu ukampatia.
Mara mtu ameokota gold kwa ajali afu akaambiwa kuwa akiipeleka kwa wahusika atapewa 200M Ila yeye Ana haraka Ana mgonjwa anataka 100k.
So unaona Kuna uhalali hapo
Nimekusoma neno kwa neno, na kukuelewa, Pole sana, Kiufupi bado una safari ndefu kimtazomo.

Kila lakheri.
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,990
2,000
Nimekuwa kwenye forex business toka wakati Ontario yupo sekondary.

I supported his idea ya kusambaza forex knowledge to the masses ila i was very against idea ya kufundisha mtu ndani ya week na next week afungue account kwa broker wa Ontario na the other week uanze trading. Na mbaya zaidi watu ambao hawajui hata pips ni nini.

Moja ya emphasis niliokuwa naisema ni kuwa watu wajifunze zaidi na zaidi, ila wengi walipenda hela za short cut, likawatokea la kutokea.

Asilimia kubwa walijifunza in a hard way, waka bounce back. Waliokata tamaa ndo hao wanakwambia forex ni scam.

All in all, kila mtu anajua destiny ya maisha yake anataka yawe vipi.
Sijakataa mkuu haya makitu yapo zamani sana. Kama ulikuwa ivyo sure uko poa. Hii makitu nimejitoa even 20yrs to come. Ila nachojua ukiamua kukumwagia hela utashangaa. I really appreciate it.
Mana Kama uliipata mapema ni poa Mana mazingira tuliyokulia ni tofauti.
Ni Kama saivi mwanangu nitamfundisha Mungu akiwa upande wake anaweza akawa anajisimamia mwenyewe. Pia mie sio wa kutaka kuonekana kuwa najua tangiapo sijui kitu. Hata nisipopata pesa najua siwezi nikawafundisha watu kwa cycle yangu afu isiwalipe pia.
Hongera kama uliinza mapema.
Mana mzee unaweza ukakuta labda hii let say dingi amekuzalia uk akiwa masomoni maza akakuonyesha ama yeye ametoka huko anayo maarifa.
Ishu ni kupewa even abc then unakomaa Kama unaona ni Safi kwako.
Watu huwa tunapenda overnight success. Ila sio tatizo letu ndo ubongo wetu uko programmed that way for short term as
Ilibaki kidogo nijiunge kwenye IPTM yake wakati huo natafuta mentorship ya great traders wa Stocks. Video zake zilinihamasisha ila ile ya kupondea wenzako ili uonekane unafaa ilinifanya nianze kujiuliza maswali mengi sana. Nikaachana nae.

Nipo Dar.
Poa mkuu. Ni kaama mchungaji anayeleta vijembe kwenye ibada yake naona Ile roho ya kiutumishi Hana unaachana nayo.
Afu kitu yaani kila ukikutana naye anauza signals Mara akaunti management mpaka unajiuliza ni kwa Nini wasichukue hela za huko zina Nini.
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,990
2,000
Nimekusoma neno kwa neno, na kukuelewa, Pole sana, Kiufupi bado una safari ndefu kimtazomo.

Kila lakheri.
Haina shida kwa kunisoma kwako Mana pia na taaluma inakubeba.
Ila kila kitu kipo sahihi na kipo sio sahihi Bali ni Nini tulichoweka kichwani mwetu.
Yaani mie naweza nikasema kuwa Bavaria hafai na mwingine akasema kuwa anafaa wote wapo sawa.
Ama mie nikisema kuwa ni impossible na wewe ukasema kuwa ni possible wote tuko sawa ndugu mtz.
"We don't really see things as they're buy how we're"
Two men said impossible and possible they're correct both.
Hii industry Kuna watu wanaitumia Sana kuwapiga watu.
Yaani saivi YouTube ni mwendo wa matangazo kila mtu anafundisha. People who know don't talk who talk don't know.
Ila ngoja nitabadili mtazamo ili niwe mwepesi wa kuamini kidogo ili ni comply na mass.
Ishu kubwa ni kuwacheki kwenye forexpeacearmy.
Manaa huko wanaeelezea scammers.

Elewa kuwa the real forex broker cannot afford more than 1:100 leverage Mana that's only limited by liquidity providers otherwise awe anakupa liquidity yeye mwenyewe ukinunua anakuuzia. Ulianza kula ndo anakuhamishia kwenye winners groups from losers group.
Mana leverage ni ya kuvutia Sana newbies Kama sie mkuu ili tupigwe. Mana this is two edged sword
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,990
2,000
Anyways, nilitaka nijue timeframe ili nijue risk management na position sizing yako.

Huwa nikiangalia mtaji wa mtu na trades zake najua vitu vingi kwa urahisi.

99% ya forex traders wanachoma mitaji yao wanapokosea risk management na position sizing. Ila strategy zao zipo vizuri tu.

Sio kila siku forex market inakuwa very perfect kwamba utapata consinstent profits everyday.

Ila RM na PS ndo zinakulinda yanapotokea majanga sokoni.

Utakuta mtu anamtaji wa $1000 ila ana risk almost 10% ya mtaji wake in a single trade. Manake ndani ya trades 10 ameshachoma kila kitu.
Sure katika trading Kuna vitu vitatu platform, psychology na rm basi. Na kwa kiufupi trader ni risk manager.yaani wewe ni mwendo wa kumanaje risk mkuu. Mana this is probability game.
Ni Kama hii makitu ya mchina sema hii waweza ukawa mjanja wa kusubiria pattern itokee ndo uweke hela. Sema hata iyo subira inatukosa.
Money are made in wall Street by sitting tight and waiting and not by trading by Jesse Livermore
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,990
2,000
Nimekuwa kwenye forex business toka wakati Ontario yupo sekondary.

I supported his idea ya kusambaza forex knowledge to the masses ila i was very against idea ya kufundisha mtu ndani ya week na next week afungue account kwa broker wa Ontario na the other week uanze trading. Na mbaya zaidi watu ambao hawajui hata pips ni nini.

Moja ya emphasis niliokuwa naisema ni kuwa watu wajifunze zaidi na zaidi, ila wengi walipenda hela za short cut, likawatokea la kutokea.

Asilimia kubwa walijifunza in a hard way, waka bounce back. Waliokata tamaa ndo hao wanakwambia forex ni scam.

All in all, kila mtu anajua destiny ya maisha yake anataka yawe vipi.
Mkuu Kama uliipiga wazo la watu kufungua akaunti kwa broker wa Ontario sio kabisa.jamaa hapa alikuwa na overhead pips zake kabisa.hata zile saanaa zao akina cley ni kutuzuga tu. So why upate hela kijanja na sio kuumiza brain Kama vijaana hao anaokuwa anawatolea mfano akina Elon Musk,dogo wa sport pesa Mara wa twita so wao waliotumia vichwa vyao kupata halali sema janja janja sio kabisa otherwise ni kutafuta cheap popularity
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,990
2,000
Anyways, nilitaka nijue timeframe ili nijue risk management na position sizing yako.

Huwa nikiangalia mtaji wa mtu na trades zake najua vitu vingi kwa urahisi.

99% ya forex traders wanachoma mitaji yao wanapokosea risk management na position sizing. Ila strategy zao zipo vizuri tu.

Sio kila siku forex market inakuwa very perfect kwamba utapata consinstent profits everyday.

Ila RM na PS ndo zinakulinda yanapotokea majanga sokoni.

Utakuta mtu anamtaji wa $1000 ila ana risk almost 10% ya mtaji wake in a single trade. Manake ndani ya trades 10 ameshachoma kila kitu.
Duu Kama iyo ya ku risk 10% ya akaunti in single trade sio kabisa.
Mana hii ni series of trades perceptive na sio not by single trades.
Inaruhusu probability ifanye kitu.
Mtu anatakiwa ajue theory of probability na statics kiujumla anafanya kitu gani. Pia behavioral economy ajitahidi apitie.
 
LURIGA

JF-Expert Member
May 26, 2013
2,015
2,000
Trading should not be complicated. Just negotiate with your trading psychology through your trading plan. Keep It Simple coz you can not change the market structure. Never fight the fx market!
 
Baby Ntoma

Member
Jun 3, 2021
20
45
Tofauti ya pin bars na hammer ni Kama unachosema kuwa tofauti ya singida na Tanzania.
So singida ndio awe hammer na pin bars awe Tanzania.
So pin bars ni zile candlestick zinazokuwa na kivuli kikubwa kuliko body. Mfano hammer inafanyika during downtrend. Yaani watu waliingiwa na greed wakauza wakapitiliza baadaye bulls wakaja na wengine wakateki profit so utaiona kwa chini Ina pin Kama pini ndefu afu body ndogo Sana yaweza kuwa ya bearish or bullish,sema bullish ndo Ina uzito Sana. Afu top yake shadow inakuwepo sema ndogo Sana mkuu ama isiwepo kabisa.
Iyo low shadow inakuwa na ukubwa karibu twice or thrice ya real body.

Sasa pin bars imejumuisha baars zote zinazofanyika ni general term. Sasa pin bars zinazoongelewa hapa ni zote Kama hammer,inverted hammer,hanging man,dojis nazo zinaingia kwa pin bars Mana implications yake inakaribia kuwa sawa,

Ninakuomba kwenye pin bars or candles kiujumla usihangaike kujua majina yake ,ishu kubwa hangaika kujua nyuma yake Kuna i.e the anatomy of candles ndugu nadhani you won't bothered to know the names.
Na hizo pin bars zinakuwa relevant Sana kwenye zones, or support/resistance levels,Tena ukijua kucheza na ya Ile higher timeframe from 4h 1d and 1w ziko na uzito Sana Tena Sana.

Nimegundua shule hamna nilichokuwa nafanya kwan mwazungumzia nn jamani
 
LURIGA

JF-Expert Member
May 26, 2013
2,015
2,000
Mkuu Nina kamuda Sana Nina lengo ikifika laki nitie kitu Kama Dola 2500 angalau nianze na mini lot ,Mana ndoto yangu aisee ni kufanya standard lot. Kama yule mtunzi wa Bible of trends trading anakuambia angalau uanze na 10k$ Kama kweli uko serious.
Yaani Kuna jamaa Wana tredi zile 300 lot mpaka nawamezea mate.
Ila kiukweli ukishafikia standard lot sijui Kama itakuzuia Nini kuwa bilionea..
Hata hiyo 2500 usd unaweza kabisa kutrade standard lot kwenye lower timeframe kama 15min or even 30min especially kama wewe ni day trader coz stop loss pips haziwezi kuwa kubwa sana per single trade kiasi cha kuhatarisha capital yako.
 
Sogory

Member
Feb 20, 2019
7
45
Duu Kama iyo ya ku risk 10% ya akaunti in single trade sio kabisa.
Mana hii ni series of trades perceptive na sio not by single trades.
Inaruhusu probability ifanye kitu.
Mtu anatakiwa ajue theory of probability na statics kiujumla anafanya kitu gani. Pia behavioral economy ajitahidi apitie.
Nimesoma comments zote,, mpk nimemaliza nimepata elimu yakutosha, nimegundua maisha siyo marahisi kama watu wanavyofikiria, lazima ufanye research ya maana kuanza hii business. Unahitaji upata mda na kujifunza. Asante sana mr keisangora na wengine kwa kutupa madini yakutosha.

Nitaku pm kwa maelezo zaid, namna yakupata broker mzuri na mambo mengine wakadha.
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,990
2,000
Nimesoma comments zote,, mpk nimemaliza nimepata elimu yakutosha, nimegundua maisha siyo marahisi kama watu wanavyofikiria, lazima ufanye research ya maana kuanza hii business. Unahitaji upata mda na kujifunza. Asante sana mr keisangora na wengine kwa kutupa madini yakutosha.

Nitaku pm kwa maelezo zaid, namna yakupata broker mzuri na mambo mengine wakadha.
Sure Kika kitu ni hustle Tena Sana. Afu Kama hii trading ni ngumu na ugumu wake ni kuwa kila kitu unachofanya ni counter intuitive to our nature.
Yaani inaenda kinyume kabisa to every DNA and cells how they programmed to work.
You're swimming upstream of our humanness.
Ila kiukweli nilipofikia Kuna manyanyaso ama maumivu makubwa Sana nimeyapata ndo nikirudi nyuma nikitazama naona lazima uwe passionate otherwise utaishia njiani.
Na bado ukumbuke mie nipo newbie.
Yaani hii makitu Kika siku unajifunza.
Greed , ego and fear ni maadui makubwa Sana mkuu kwetu.
Ukisoma zile 5 steps ambazo kila trader lazima evolve through unajigundua uko wapi. Muda huu Niko stage ya nne na craft nielekee ya 5 i.e ya mwisho ambayo ni unconscious competence ,where trading become boring not excited,you don't get bothered with loss or profit.k.v una drive Ile automatic bila kuwaza kuwa unafanya Nini.
Ninapigana Sana am sure the end of this year nitaingia steji ya 5.
Where trading become game of waiting and pattern recognition,
Ndo Mana unaambiwa kuwa ni patience, discipline, emotions control,risk control n.k.

Kiukweli huwezi amini nilizama mpaka kazini nikayumba mktaba umekuja kurenew sipo mkuu naonekana ni kilaza na nilijua kuwa sintoongezea so nikapata nguvu zaidi ya kuikomalia zaidi ya msuli wa advanced level.
Kiukweli hakuna Cha bure na ukimuona mtu amekaa tu hela zinakuja sio suala dogo.
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,990
2,000
Hata hiyo 2500 usd unaweza kabisa kutrade standard lot kwenye lower timeframe kama 15min or even 30min especially kama wewe ni day trader coz stop loss pips haziwezi kuwa kubwa sana per single trade kiasi cha kuhatarisha capital yako.
Sure mkuu,sl pips ni ndogo sana
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,990
2,000
Trading should not be complicated. Just negotiate with your trading psychology through your trading plan. Keep It Simple coz you can not change the market structure. Never fight the fx market!
Thanks,sure.you can't change oceans tides.
Just swim to where is leading you to.
You're very small fish in vast ocean
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,990
2,000
By incorporating Rule 2 in your
game plan from the start, you will be
eliminating the desire to be proud when
the market moves your way and want to
take profits to show that you are right.
Traders love to be right.
This is your enemy . . . to love to be
right. Your motivation must be to love to
do the right thing in trading by either
reinforcing correctly your position or
removing it should it not prove to be
correct.
You see, when you think you are
right in the market, this is just the
beginning of your trade -- not the time to
take your profits to say to the world, "See,
I was right!" Let me ask you, "Who really
cares if you were right?" So what?
You will become the best trader you
can be by being wrong small, not right
small! Get that in your mind now. You are
going to have to press your winners if you
really consider yourself to have the ability
to make a living or extra income from
trading. Otherwise, face the truth that you
are only playing to break even.
 
Uchira 1

JF-Expert Member
Oct 9, 2017
2,078
2,000
Hamna hela rahisi hata siku moja na ukiona kuipata hiyo hela ni kurahisi basi ujue u karibu kupotea na kupoteza hela.
Kwa elimu yangu ya kawaida huwa napenda kuwashauri watu ambao wanaanza uwekezaji kujikira katika bonds na bills zaidi mpaka wapate elimu ya kutosha zaid kaika maswala haya ya kifedha la sivyo watafanyiwa yale ambayo huwa hawayapendi na watachukia walowashauri kuwekeza huko
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
16,131
2,000
Uzi mzuri sana na inafurahisha kuona watu wapo wanaumiza vichwa jinsi ya kujua hii biashara!..

Naamini miaka 5 ijayo na sisi tz tukuwa si wasindikizaji kabisa.
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
16,560
2,000
Sure mkuu,sl pips ni ndogo sanaHata hiyo 2500 usd unaweza kabisa kutrade standard lot kwenye lower timeframe kama 15min or even 30min especially kama wewe ni day trader coz stop loss pips haziwezi kuwa kubwa sana per single trade kiasi cha kuhatarisha capital yako.

Kuwa na sl pips kubwa hakuwezi hatarisha capital yako, never! Unless uwe na poor risk management.

Kama unafwata proper risk managent basi kama una sl ya pips nyingi maana yake utatumia lot ndogo na kama una sl ya pips chache, say 10 utajikuta unatumia lot kubwa.

Lakin mwisho wa siku kama sl ikifikiwa au soko likaifikia sl yako then, kwa case zote hizo mbili, basi utajikuta una the same loss.
 
Jituman

Member
Sep 21, 2011
19
75

Hujaelewa nilichokisema na pia huelewi unachosema.
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,990
2,000
Kuwa na sl pips kubwa hakuwezi hatarisha capital yako, never! Unless uwe na poor risk management.

Kama unafwata proper risk managent basi kama una sl ya pips nyingi maana yake utatumia lot ndogo na kama una sl ya pips chache, say 10 utajikuta unatumia lot kubwa.

Lakin mwisho wa siku kama sl ikifikiwa au soko likaifikia sl yako then, kwa case zote hizo mbili, basi utajikuta una the same loss.
Unafanya position sizing mkuu katika trades zako.
Pia sio kwa trade moja unaifanya Kama life or death.
Kama unajua position sizing nadhani tutakuwa time clear case hii.
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,990
2,000
Uzi mzuri sana na inafurahisha kuona watu wapo wanaumiza vichwa jinsi ya kujua hii biashara!..

Naamini miaka 5 ijayo na sisi tz tukuwa si wasindikizaji kabisa.
Two men one says I can't and another says I can , both are really correct.
We're different even how we perceive things,some are linear while others are lateral,some see details while others see big picture.
No object on this Earth is only problem but what we imprinted in our minds.
We see something is problem due to our minds.
One's man Poison is another man's food.
Be open minded.
Before we start to learn we've to learn how to learn.
Finally before to learn how to learn we've to learn how to unlearn.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom