Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,742
Kwa nini mna makovu sana ya visu na mapanga?
Kichuri ni mchanganyiko wa nini na nini?
Je hakuna kabila linatoitwa wakurya kwa sababu ninyi kila ukoo una lugha yake? Mfano wanaoishi pale Ikoma wanaitwa 'waikoma', wanaoishi pale isenye wanaitwa 'waisenye' na kuendelea hivyo kwa kila kijiji na kufanya neno mkurya kuwa useless ukiw huko
Je hakuna kabila linatoitwa wakurya kwa sababu ninyi kila ukoo una lugha yake? Mfano wanaoishi pale Ikoma wanaitwa 'waikoma', wanaoishi pale isenye wanaitwa 'waisenye' na kuendelea hivyo kwa kila kijiji na kufanya neno mkurya kuwa useless ukiw huko.
Sikiliza nikwambie nanii, nani.. Eeer, unaitwa nani vile !?
Sample uliyoitumia haikuwa sahihi!
Uliyemdhania ndiye, kumbe.....!
Sifa pekee aliyojaliwa mkurya kwanza ni mkarimu endapo utakuwa mstaraabu na mwenye nidhamu!
Sifa nyingine ni hasira!
Hasira za mkurya ni mdomo na ulimi, na ili zitulie, lazima atende! Labda tu itokee incident akusamehe!
Mambo ya majigambo, waachie akina nshomile (au sio Ruttashobolwa? Nimeishi sana kahororo kwa akina KOKUTONA, nawafahamu sana wahaya, kila jumapili.... Bukoba inahamia beach bana! Teh teh)
Tutaongea faragha..huku watasikia
nakungoja ujue...
Wewe huwajui wakurya badala ya kuuliza unajitahidi kupotosha watu.
Katika nchi hii nani asiyelifahamu kabila la wakurya? au unataka kufananisha wakurya na jamaa zangu wachaga?
Waikoma na Wanata ni makabila mawili tofauti na wakurya, angalau wao wenyewe wawili wanasikilizana kidogo.
Tunapozungumzia wakurya tunamaanisha kabila la wakurya ambao tumetapakaa kutoka Tanzania hadi Kenya. Wakurya tuna koo mbalimbali kama vile watimbaru, wanyabasi, wakira, walenchoka, waanchari, wairege, wasweta, wakenye, wahunyaga, wasimbete, watobori, wangoreme, wanyamongo n.k
Na wote hao tunaongea lugha moja tu ya kikurya.
ugari kwa kikurya inaitwa bukima . je umewahi kuomba ugari kwa mwanamke wakisukuma naukataja kwa kikurya na kama ndivyo nini kilifuata..?? ni hilo tu
mAgeSa ni jiNa la kijiTa (kaBila la wAjiTa- wapo muSoma na sio jinA la kiKuRya)
Nakuja now now
marry christmass mukazi wange!
thank you, marry xmass kwako pia
vp uko bk adorable?
kuna msemo wao wanasema okontema ontemele ila..... naleye.Ni kweli kuwa mwanaume aliyezaliwa na mwanamke asiyekeketwa hana heshima mbeleza wanaume wenzie?? na anajulikana kama "omona wa msaghane??"
Wewe huwajui wakurya badala ya kuuliza unajitahidi kupotosha watu.
Katika nchi hii nani asiyelifahamu kabila la wakurya? au unataka kufananisha wakurya na jamaa zangu wachaga?
Waikoma na Wanata ni makabila mawili tofauti na wakurya, angalau wao wenyewe wawili wanasikilizana kidogo.
Tunapozungumzia wakurya tunamaanisha kabila la wakurya ambao tumetapakaa kutoka Tanzania hadi Kenya. Wakurya tuna koo mbalimbali kama vile watimbaru, wanyabasi, wakira, walenchoka, waanchari, wairege, wasweta, wakenye, wahunyaga, wasimbete, watobori, wangoreme, wanyamongo n.k
Na wote hao tunaongea lugha moja tu ya kikurya.
Umeeleza vizuri ila hapo kwenye red nina mashaka ukiwauliza wangoreme wenyewe hawatakubali kuwa wao ni wakurya na hata matamshi ni tofauti sana japo majina ni sawa pia mila zote ni sawa wangoreme wana shabihiana sana na waikoma na waisenye.