Uliyonifanyia yalinifanya niwe mdogo kama piriton

Uliyonifanyia yalinifanya niwe mdogo kama piriton

Loh! Watu wabayaa sasa ulirudi bara au ulimalizia weekend zenji??
mwenzangu!...hata sina hamu tena. ingekuwa wewe usingenifanyia hivyo?.baadae nlipiga simu ikawa haipatikani. ikabidi nilale na majonzi moyoni. mia
 
yan nimecheka badala ya kusikitika daaah online dating noma hata mimi yalishwahi nikuta kitambo but in another form si kama yako na nikakoma
 
aisee pole mkuu.... yani angekuwa kipande cha nyama ungemtafuna muda mrefu bila kummeza...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom