Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah nimecheka Kama nakuona vile ukiwa uchi teh watu wanaweza kukuona unawanga ndani
YaaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimekuwa wa ovyo balaa Sasa maisha hayo nikiwa na mtu ataniona nimechanganyikiwa
Yani taulo nalibeba begani kabisa nikioga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…