kuna demu alikuw anaweka status za vijembe,kwa siku anaweka zaid ya picha 10 na vijembe juu,siku moja nikamwambia akajibu ameshazoea kama naona inshu nifute namba tu.kweli nilifanya ivo
baada ya week mbili alinitafuta kama masiara nikauliza nan akajitambulisha tu fresh.akanambia hivi kingkongtz we sumesomea course ya afya.kuna nafasi zimetoka kambini nitumie copy nimpelekee mkuu maana tunaelewana sana.
nilichukulia kawaida ,niliamua kumtumia.asa nikaosave tena namba yake,kama kawaida yake vijembe sana nikaamua kumute status zake.
baada ya usaili kupita huwez amin nilipata kaz ,kwenye usail tulikuw weng wao walihitaji 9 tuu.na matokeo yangu ata sio mazuri kivile ila demu alisababisha.
adi leo namheshimu na ujinga wake anaopostig namuita dada kanizid miaka 4
HAPO NDO HUWA NASHINDWA KUELEWA DUNIA IPOJE.tuishi tu peace na kila mtu ,tusichukulie serious sana
We ni kama mimi kabisaUkija kwangu na unguli wako wa kuangalia status unajua mtu yupoje umepotea. I never exposes my private life hata iweje, status nazoweka ni za kijinga kijinga tu zinazofurahisha.
Situation ka hii ishawai nikuta,Nilikuwa namfowadia mtu porn nkasahau nkaituma on my status,Japo niliifuta haraka lakini Siku nzima niliishiwa amani kabisa,Ilifikia hatua nkahisi wabaya wangu wenye WhatsApp gb wanaweza kunirepot TCRA nishitakiwe kwa makosa ya mtandao.Maza hajui hata status n nn yeye kajibonyezea tu kitu kikaenda status hakuona kabisa kama ni video chafu sjajua ilikuaje mpk hakuona mm kaja kunirudishia sm hajaongea chochote. Kilichofuata niliidelete sema kuna wenye gb watsap hawa mpk masaa 24 daah nlijiskia vby sana nlijitaidi kuwajibu watu wazima walioniuliza hao wengne nikaachana nao ilikaa kama nusu SAA hv
Ndo hivo mzee kila MTU amezoea nn cha kufanya na cha kupostkuna demu alikuw anaweka status za vijembe,kwa siku anaweka zaid ya picha 10 na vijembe juu,siku moja nikamwambia akajibu ameshazoea kama naona inshu nifute namba tu.kweli nilifanya ivo
baada ya week mbili alinitafuta kama masiara nikauliza nan akajitambulisha tu fresh.akanambia hivi kingkongtz we sumesomea course ya afya.kuna nafasi zimetoka kambini nitumie copy nimpelekee mkuu maana tunaelewana sana.
nilichukulia kawaida ,niliamua kumtumia.asa nikaosave tena namba yake,kama kawaida yake vijembe sana nikaamua kumute status zake.
baada ya usaili kupita huwez amin nilipata kaz ,kwenye usail tulikuw weng wao walihitaji 9 tuu.na matokeo yangu ata sio mazuri kivile ila demu alisababisha.
adi leo namheshimu na ujinga wake anaopostig namuita dada kanizid miaka 4
HAPO NDO HUWA NASHINDWA KUELEWA DUNIA IPOJE.tuishi tu peace na kila mtu ,tusichukulie serious sana
Mi status Kama hizo huwa sizifunguwagi,mi naangaliaga zile status fupi fupi tu!!Kuna wale wanapost status ndefu Kama shanga[emoji3]
Katika hesabu yako nenda na mimi kichwani.Isipokuwa mimi tu
Prove me wrong[emoji23][emoji23]
Huyo sio kusudi asingepotea watsap baada ya.kugundua kajianika kwenye statusHawa wanafanya kusudi bwanaHii niliiona kuna mchizi mmoja alinitumia tena uyo dada alopost shoga ake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akamuuliza anasema alikua anatania sio yakewatu wa hivi wananishangazaga [emoji23] bado hapo siku ya birthday hajaanza kupost
najua hili ndio lilikua lengo la kuanzisha uzi huuJamaaa angu wa Q net kila siku anapost magari makali na caption za kejeli kwa tuliokataa kujiunga na utapeli huu
Mimi wengine nafuta na namba kabisa nikishaona aina yake kupitia mashudu anayopost.Kuna watu kupitia status zao nawashusha thamani kabisa
Hiyo kama Dada wa uku kwetu aliweka anajichezea Papa yake uku analia kimaaba Lengo amtumie Boy wake.Kuna demu alijisahau akapost papa yake.....tumbua limeumuka shaved baadae akafuta fasta ...sijui alikosea alikua anamtumia msela akaliweka status
Sio kweli nimeeleza status in generalnajua hili ndio lilikua lengo la kuanzisha uzi huu
Kwenye birthday unakuta ana repost wote waliomu wish na kupost tenaHawa wanafanya kusudi bwanaHii niliiona kuna mchizi mmoja alinitumia tena uyo dada alopost shoga ake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akamuuliza anasema alikua anatania sio yakewatu wa hivi wananishangazaga [emoji23] bado hapo siku ya birthday hajaanza kupost
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna hio moja kali kuna manzi alipost papa na tgo kwenye status huku akisema #hubby mknd umeanza kuzoea # wajuba wakascreenshot faster
[emoji28][emoji28],nikishaona hivyo vishanga huwa hata sisumbuki au naweza kuangalia moja zingine naachana nazoKuna wale wanapost status ndefu Kama shanga[emoji3]
Waalykm salaam warahmatullah wabarakatuh.madam nylon, nakusalimia tu..
assalaamu alaykum [emoji113]
Hukuscreenshot?Kuna demu alijisahau akapost papa yake.....tumbua limeumuka shaved baadae akafuta fasta ...sijui alikosea alikua anamtumia msela akaliweka status
Alipost nini ...tuambie na sisiKuna mtu alipost ujinga masaa mabaya around kumi kasoro, within the second akafuta ila nikawa nishascreen shot, baada ya wiki nikamtumia inbox hakuamini maana kwake ilisoma 0 viewers.
Kupitia status unaweza kujuwa akili ya mtu katika kufikiri na kufanya maamuzi, baadhi pia wamekuwa wakionesha udhaifu wao wa kihisia hasa wanapo kabiliana na changamoto.