JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,090
- 5,875
Ushawahi kujiuliza hizi tambuzi huwa unazitumia wapi?i use whatsapp status to read people's mind.
ni rahisi sana kutambua saikolojia ya mtu through whatsapp status.
ukiona status ya mtu anaweka mahubiri ya kidini au vipande vya video vya worship songs, tambua yupo kwenye wakati mgumu sana, anatafuta faraja.
ukiona status ya demu anaweka sana mipasho inayohusu mahusiano, tambua kwamba yupo kwenye mgogoro wa kimapenzi na bwanake.
halafu tupo akina sisi ambao sio rahisi kutusoma, daily tunapost status za vibonzo na michezo hususani mpira wa miguu.
Dah alipost nini?? Vipi aliomba msamahaa !!vipi saiz anaishijeSame stori kazini kwangu, huyu mdada alipitia wakati mgumu sana, kazi hakuacha wala hakukosa kuja hata siku moja.
Me mbona siangaliiKila mtu anaangalia porn,
Kuna baadhi ya Mishe zinafanya tukutane a random quys wengi ,Sijaona chochote chaajabu so far inawezekana ni kwasababu nipo very limited na contact zangu!Binafsi napenda kupost misosi🍛🍲 ninayopika,bible quotes,nikiwa vacay🏖️🧳,nikipendeza🤳 au special occasions birthday etc
Hata ya menina ,sachi, ???Me mbona siangalii
HahahahaaaKuna demu alijisahau akapost papa yake.....tumbua limeumuka shaved baadae akafuta fasta ...sijui alikosea alikua anamtumia msela akaliweka status
Duh aisee ndio maana Corona haitoki inazidi kubadiri tu style kama kinyongaKuna hio moja kali kuna manzi alipost papa na tgo kwenye status huku akisema #hubby mknd umeanza kuzoea # wajuba wakascreenshot faster
Sio kwa mtizamo huo. Kuna mtu unakuta unamheahumu sana ila kuna kitu akaabdika ukaona hana maana kabisa. Mfano mtu kagombana na mume wake anaeka status sasa hii ni akili auKwanini ?? Inawezakana kuna utakaowapandisha thamani kupitia status
Status zinadanganya sana.Ukitaka kujua akili za mtu uliye na namba yake zipoje, ukiangalia Status yake tu utapata majibu
Ukitaka kujua akili za mtu uliye na namba yake zipoje, ukiangalia Status yake tu utapata majibu
You learned a lesson. Safi.kuna demu alikuw anaweka status za vijembe,kwa siku anaweka zaid ya picha 10 na vijembe juu,siku moja nikamwambia akajibu ameshazoea kama naona inshu nifute namba tu.kweli nilifanya ivo
baada ya week mbili alinitafuta kama masiara nikauliza nan akajitambulisha tu fresh.akanambia hivi kingkongtz we sumesomea course ya afya.kuna nafasi zimetoka kambini nitumie copy nimpelekee mkuu maana tunaelewana sana.
nilichukulia kawaida ,niliamua kumtumia.asa nikaosave tena namba yake,kama kawaida yake vijembe sana nikaamua kumute status zake.
baada ya usaili kupita huwez amin nilipata kaz ,kwenye usail tulikuw weng wao walihitaji 9 tuu.na matokeo yangu ata sio mazuri kivile ila demu alisababisha.
adi leo namheshimu na ujinga wake anaopostig namuita dada kanizid miaka 4
HAPO NDO HUWA NASHINDWA KUELEWA DUNIA IPOJE.tuishi tu peace na kila mtu ,tusichukulie serious sana
Sanch sikuona, ya menina pia niliona tu traakoHata ya menina ,sachi, ???
Ila kila MTU anaangalia porn
Watu wenye vijembe huwa wana msaada hasa taarifa muhimu. Kile ambacho unaona ni udaku kuna siku kwako inakuwa ni taarifa muhimu sana na anaileta bila kutumia nguvukuna demu alikuw anaweka status za vijembe,kwa siku anaweka zaid ya picha 10 na vijembe juu,siku moja nikamwambia akajibu ameshazoea kama naona inshu nifute namba tu.kweli nilifanya ivo
baada ya week mbili alinitafuta kama masiara nikauliza nan akajitambulisha tu fresh.akanambia hivi kingkongtz we sumesomea course ya afya.kuna nafasi zimetoka kambini nitumie copy nimpelekee mkuu maana tunaelewana sana.
nilichukulia kawaida ,niliamua kumtumia.asa nikaosave tena namba yake,kama kawaida yake vijembe sana nikaamua kumute status zake.
baada ya usaili kupita huwez amin nilipata kaz ,kwenye usail tulikuw weng wao walihitaji 9 tuu.na matokeo yangu ata sio mazuri kivile ila demu alisababisha.
adi leo namheshimu na ujinga wake anaopostig namuita dada kanizid miaka 4
HAPO NDO HUWA NASHINDWA KUELEWA DUNIA IPOJE.tuishi tu peace na kila mtu ,tusichukulie serious sana
Siku nyingine uwe unascreenshot ili utume na sisi wanachama tuone sio kuishia kuandika bila picha, leo nimekusamehe sitakutukanaKuna demu alijisahau akapost papa yake.....tumbua limeumuka shaved baadae akafuta fasta ...sijui alikosea alikua anamtumia msela akaliweka status
Mimi kama mtu simuelewi namueka upande tu....kuna ndugu yangu kabisa facebook alikuwa kuwa akipost mapicha ya wanawake yaani anashare nikaona huyu hayupo sawa nikaacha kumfollow tu kwa amani kimyakimya...kuna vitu siwezi kuvichukulia poa kama naona vinaenda against my nature!Kuna baadhi ya Mishe zinafanya tukutane a random quys wengi ,
so tunakutana pia na vitu /mambo random hiv hivo
Naitwa That Gentleman aka Food.
i love you too.
No commentKila mtu anaangalia porn