Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,666
- 53,436
Hapa hapa pm sio kuzuriPm 😂😂
Hapa hapa pm sio kuzuriPm 😂😂
Kuolewa means akazae watoto. Umeshajiuliza kama huyo binti nyonga zake zimekomaa vizuri kuweza kujifungua? Au ukishakojoa wewe hujali umeshamaliza kazi.Anaye determine swala la ndoa ni mwanaume, mwanamke yeye ni wa kuolewa tu atake asitake. Sasa waoaji wengi lazima wanajipanga na maisha pamoja na kwamba wamebalehe, maana huwezi kuoa ukaendelea kula ugali wa baba na mama, ukifanya hivyo wewe na mkeo mtakuwa treated sawa na wale wadogo zako, sawa?
Tuwekee nambaItume sasa
Hujawahi kusikia mume katelekeza mke?Tatizo lenu nyie ni viumbe dhaifu na nyege zikikunwa sivyo isivyo huwa mnatelekeza mume na kuhamia kwa new mkunaji.
Hapo ndipo pabaya kwenu
Kuolewa means akazae watoto. Umeshajiuliza kama huyo binti nyonga zake zimekomaa vizuri kuweza kujifungua? Au ukishakojoa wewe hujali umeshamaliza kazi.
Vipi kuhusu kutunza nyumba na mambo mengine ya kifamilia ataweza kuyamudu vizuri.
Naamini unao ndugu wa kike wenye umri wa miaka 14. Unavyowatazama wanaweza kuhimili mikiki ya ndoa na kutunza familia?
Kambi ya Fisi
Unapitia hayo maswahibu?Hujawahi kusikia mume katelekeza mke?
Umeshasema tumeumwa na nyege so kwanini nyie muwe free kutafuta solution ya kupunguza ila kwa mwanamke hatakiwi kufanya hivyo avumilie hata kama hakunwi vizuri.
Huoni Kwamba nyie ni wabinafsi
Nadiscuss mada kutokana na uchangiaji.Unapitia hayo maswahibu?
Naweza ndio kwani ni Mungu kama unavyoamini?Wewe unaweza muepuka mzungu
Jibu la nyumisi halijitosheleziKuolewa means akazae watoto. Umeshajiuliza kama huyo binti nyonga zake zimekomaa vizuri kuweza kujifungua? Au ukishakojoa wewe hujali umeshamaliza kazi.
Vipi kuhusu kutunza nyumba na mambo mengine ya kifamilia ataweza kuyamudu vizuri.
Naamini unao ndugu wa kike wenye umri wa miaka 14. Unavyowatazama wanaweza kuhimili mikiki ya ndoa na kutunza familia?
Kambi ya Fisi
Oooh ni wivu tu, inauma sana kugongewa mkeHuoni Kwamba nyie ni wabinafsi
Na hao ndio misukule ya CCMwengi wa vijana waliokuwa wanamaliza darasa la saba hasa vijijini option iliyokuwa inafuata ni kuoa na kuolewa na kukabidhiwa shamba la kulima na/au mifugo, umenipata?
kwani nipewa si nimenunua ..! au we umehongwa na wazungu?Cm unayotumia ya nani?
hahahah.....Sadaka tutoe wapi
Ila haiumi kugongewa mume. Inashangaza sanaOooh ni wivu tu, inauma sana kugongewa mke
Itategemea na moyo wa mke maana huwa kuna bi mkubwa na bi mdogo hao wote huwa hawagongewi mume so hakuna maumivuIla haiumi kugongewa mume. Inashangaza sana
WoiItategemea na moyo wa mke maana huwa kuna bi mkubwa na bi mdogo hao wote huwa hawagongewi mume so hakuna maumivu