Ulishika M1 milioni moja ukiwa na umri gani?

Ulishika M1 milioni moja ukiwa na umri gani?

1 million nikiwa na miaka 17
10 million nikiwa na miaka 20
100 million nikiwa na miaka 26 (japo by 23 nilikuwa nishaingiza japo si kwa pamoja)
500 million nikiwa na miaka 26 pia
 
1 million nikiwa na miaka 17
10 million nikiwa na miaka 20
100 million nikiwa na miaka 26 (japo by 23 nilikuwa nishaingiza japo si kwa pamoja)
500 million nikiwa na miaka 26 pia
[emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]
 
Nataka kujua kama una utaratibu wa kuweka akiba ulianza ukiwa na umri gani?
Hii itawasaidia vijana wanaotumia pesa vibaya kutambua umuhimu wa kuweka akiba wakati bado wana nguvu ili kupunguza wimbi la vijana wanaokata tamaa wakiwa na umri mdogo na kuishia kutumbukia kwenye wimbi la madawa ya kulevya na msongo wa mawazo unaopelekea mpaka kifo...
Mimi nikiwa na miaka 19 nilishika m1 ya kwanza kwenye maisha yangu na huu ndo ulikuwa mwanzo wa kuanza kuheshimu pesa. Malengo yangu ilikuwa nikifikisha miaka 30 niwe niwe nimeweka 100m...BADO NAPAMBANA kufikia malengo[emoji16][emoji16][emoji870]...
22
 
Millioni 1 nilianza kushika labda kwa kuhesabu hela. Mi nilianza kushika millioni 2 au 4 (sikumbuki vizuri) nikiwa na umri wa miaka 17. Miaka 18 nikashika millioni 10. Miaka 20 account yangu binafsi ilikuwa na millioni 12.

Ila tuelewane sikuzitafuta mwenyewe. Kipindi hicho nilikuwa nasoma hivyo ni hela kutoka kwa wazazi.
 
Back
Top Bottom