Ulishika M1 milioni moja ukiwa na umri gani?

Ulishika M1 milioni moja ukiwa na umri gani?

Dah kumbe mimi nipo vizuri tu yani ishawai shika million 1 na laki1 ni kiwa na miaka 19 na miezi 2 tu sema niliwai sana maisha.
 
Dah mpaka leo bado sijwahi na nna miaka 22 natmiza 23 week ijayo nimewah kushika laki 9 tu ya kwangu kila nkikomaa nifikishe milioni napatwa na majanga natumia pesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nataka niivunje hii rekodi
kaza asee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikiwa na miaka 20 hope nakumbuka nikiwa chuo nikawapa wazazi ili mambo yakibuma nirudi home maana nimetanguliza kitu kama fadhila mapema

Baada ya chuo kuisha nilitaraji maisha magumu ila haikuwa ivyo sasa nimepita izo figure 8 kwenda mbele 🙏🙏🙏
 
18 nimeshika 1,100,000 za kwangu kipindi hicho naishi home ni hela ambayo nilikua nameki now niko na 29 siko home nimepanga nalipa kodi kila kitu najitegemea akiba haikui iko 3m ikipanda mpaka 5m na lengo langu ni kufikisha 10m za pamoja kisha nipige nazo picha ya ukumbusho lakini shuhuli yake sindogo

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaza kazaa tupo pamoja
 
Dah kumbe mimi nipo vizuri tu yani ishawai shika million 1 na laki1 ni kiwa na miaka 19 na miezi 2 tu sema niliwai sana maisha.
kama mimi nikiwa o level likizo najichanganya sana
 
Gigy mane aliishika mil 1 akiwa darasa la 3,
Sanchoka aliishika mil 1 akiwa 5
Irene uyowa aliishika mil 1 akiwa standad 4
Wopa aliishika mil akiwa yuko vidudu
Sepenga aliishika mil moja akiwa na mwaka 1

Baba Levo alishika mil 1 akiwa na miaka 29.5
Mimi sijawahi kushika mil 1 ya kwangu nina miaka 35.9
 
Gigy mane aliishika mil 1 akiwa darasa la 3,
Sanchoka aliishika mil 1 akiwa 5
Irene uyowa aliishika mil 1 akiwa standad 4
Wopa aliishika mil akiwa yuko vidudu
Sepenga aliishika mil moja akiwa na mwaka 1

Baba Levo alishika mil 1 akiwa na miaka 29.5
Mimi sijawahi kama mil 1 yakwangu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom