G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,397
- 5,562
Kwa2,970/=kwa siku au
Mwezi hio mzee
Kwa2,970/=kwa siku au
[emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955]ulishika elfu 50 za kenya ukiwa na umri gani?? au tuseme ulishika usd 500 ukiwa na umri gani ???[emoji2219][emoji2219][emoji2219][emoji2219][emoji2219]Milioni ya kibongo ni jina tu...
Yaani ni elfu arobain na kitu za Kenya..
Au tuseme dola mia nne na ushee za kimarekani...[emoji26][emoji26]
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Mkuu bintiyo analipa(wowowo+rangi nzuri)?.Nasuburia mahari ya mtoto wangu [emoji23][emoji23]
Tulioanza kazi na degree zetu kwa mshahara wa TShs. 2,970/= kwa mwezi tunachangiaje.
Kwa Sasa Hiyo Ni Sawa Na 2.9m.Tulioanza kazi na degree zetu kwa mshahara wa TShs. 2,970/= kwa mwezi tunachangiaje.
Fala wewe😅18 ya wizi lakin
Siku zote lazima Kuna anayekuzidi.Milioni ya kibongo ni jina tu...
Yaani ni elfu arobain na kitu za Kenya..
Au tuseme dola mia nne na ushee za kimarekani...[emoji26][emoji26]
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Hio 50 imesimamia upande gan honey
Unachotaliwa kufanya, ukiona mtu anamiliki paso, basi mpe heshima yake.Tulioanza kazi na degree zetu kwa mshahara wa TShs. 2,970/= kwa mwezi tunachangiaje.
Hio 50 imesimamia upande gan honey