prumpeti
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 1,023
- 2,319
Nataka kujua kama una utaratibu wa kuweka akiba ulianza ukiwa na umri gani?
Hii itawasaidia vijana wanaotumia pesa vibaya kutambua umuhimu wa kuweka akiba wakati bado wana nguvu ili kupunguza wimbi la vijana wanaokata tamaa wakiwa na umri mdogo na kuishia kutumbukia kwenye wimbi la madawa ya kulevya na msongo wa mawazo unaopelekea mpaka kifo.
Mimi nikiwa na miaka 19 nilishika m1 ya kwanza kwenye maisha yangu na huu ndo ulikuwa mwanzo wa kuanza kuheshimu pesa.
Malengo yangu ilikuwa nikifikisha miaka 30 niwe niwe nimeweka 100m.
BADO NAPAMBANA kufikia malengo[emoji16][emoji16][emoji870].