Ulishika M1 milioni moja ukiwa na umri gani?

Ulishika M1 milioni moja ukiwa na umri gani?

Kwa hiyo ili kupata 1M inabidi kuuza ng'ombe 10,000

Kweli enzi hizo nazikumbuka
Halafu sio kama ndama za sasa
Ng’ombe 1m hata 150kg hafiki

Mkuu wakati huo 1m tulikuwa hatujui labda serikalini tu
Tulikuwa hatujafika hizo hesabu hata darasani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
hivi kuzishika au kuzimiliki? maana hata ma bank teler washika sana
 
sawa ngoja nifuge hawa kuku nikauze huenda ipo siku na mimi nitaimiliki
FB_IMG_16459534359463604.jpg
 
Nataka kujua kama una utaratibu wa kuweka akiba ulianza ukiwa na umri gani?
Hii itawasaidia vijana wanaotumia pesa vibaya kutambua umuhimu wa kuweka akiba wakati bado wana nguvu ili kupunguza wimbi la vijana wanaokata tamaa wakiwa na umri mdogo na kuishia kutumbukia kwenye wimbi la madawa ya kulevya na msongo wa mawazo unaopelekea mpaka kifo...
Mimi nikiwa na miaka 19 nilishika m1 ya kwanza kwenye maisha yangu na huu ndo ulikuwa mwanzo wa kuanza kuheshimu pesa. Malengo yangu ilikuwa nikifikisha miaka 30 niwe niwe nimeweka 100m...BADO NAPAMBANA kufikia malengo[emoji16][emoji16][emoji870]...
Kwa sasa Una umri gan mkuu?ili tuweze kupima hiyo 1 milioni uliyoshika ni ya mwaka gani?
 
27 mkuu nilishika nikiwa 19.
Basi Sawa mkuu.
Maana yake mwaka 2014 ulishika pesa hizo.
Je kwa sasa umefikisha million ngp?
Tuanzie hapo..
Ili tujipime na Sisi kwamba tumechelewa au tulishika pesa nyingi kuliko wewe kwa umri huo
 
Sisi ambao bado tunagombania maandazi asubuhi na madogo kwa bimkubwa na tupo above 30 tunakoment wapi?
 
Nikiwa na miaka 20 tayari nimechanga pesa na Nina Dola 3000 $ ndani mwaka 1998.
Nikiwa na miaka 21 nipo India nagombana na wahindi ktk kusaka noti..
 
Siku zote lazima Kuna anayekuzidi.

Muhimu Ni kujizungumzia wewe na wanaokuzunguka.

Hata pesa Ni "namba" hazina mwisho, kwahiyo usitegemee kuwa utapata jumla ya namba zote mpaka uridhike.
Ni sawa,hata Zimbabwe walikua na mamilioni..
Haibadilishi "thamani" yake ,tutake tusitake..


Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom