VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 8,145
- 12,740
Na bunduki zenye risasi za moto.. ndio amani gani hio?Mnahubiri amani huku mmeficha mapanga
Na bunduki zenye risasi za moto.. ndio amani gani hio?Mnahubiri amani huku mmeficha mapanga
tofautisha sifa za uwongo na sifa za uhalisia halafu punguza ujuaji kwan kuna mahali nmesema mtu ajseme yeye ni maskini au nn zaid nmesema mtu ajielekeze kwny hoja iliyomleta hapa mambo ya majivuno wkt mwngne kwa vitu visivyo na uhalisia haina maana kama imekuuma tafuta mume uolewe vitapoa.Kwani mtu akijisifia hivyo Kuna shida Gani?
Kwamba unataka watu waseme Wana njaa ni maskini wa kutupwa ni wagonjwa na WA dhaifu?
Kuna Mzee alitumiwa Laki 6 za matibabu zikatumwa kimakosa kwa Mzee mwingine.. yule Mzee alietumiwa akaenda kuzitoa chap alipopigiwa na kuambiwa hizo pesa zimetumwa kimakosa ni fedha za matibabu kwa usumbufu achukue hata 50,000 tu ya usumbufu atume 550,000 ili walipe gharama za matibabu hospital aliepigiwa simu akakata simu anapigiwa tena hapatikani na hakupatikana tena mpaka leo nadhani hata laini aliitupa..NIliwahi kufanya muamala wa milioni 1 kimakosa na niliyemtumia alifanya kama ulvyosema nili umia sana aisee
Hapo mwishoni umemalizia kishambenga kama mtoto wa kike !tofautisha sifa za uwongo na sifa za uhalisia halafu punguza ujuaji kwan kuna mahali nmesema mtu ajseme yeye ni maskini au nn zaid nmesema mtu ajielekeze kwny hoja iliyomleta hapa mambo ya majivuno wkt mwngne kwa vitu visivyo na uhalisia haina maana kama imekuuma tafuta mume uolewe vitapoa.
Exactly 💯 brotherNa tajiri Huwa haachi hata mia 😅
Matajiri Huwa natabia za kibepari , kunyonya kunyanga'anya na kupora, tofauti na hapo lazima uwe mganga njaa tu kama kundi kubwaExactly 💯 brother
Balaa sana aiseeKuna Mzee alitumiwa Laki 6 za matibabu zikatumwa kimakosa kwa Mzee mwingine.. yule Mzee alietumiwa akaenda kuzitoa chap alipopigiwa na kuambiwa hizo pesa zimetumwa kimakosa ni fedha za matibabu kwa usumbufu achukue hata 50,000 tu ya usumbufu atume 550,000 ili walipe gharama za matibabu hospital aliepigiwa simu akakata simu anapigiwa tena hapatikani na hakupatikana tena mpaka leo nadhani hata laini aliitupa..
Sasa tajiri la kigamboni vi laki 7 vinakutoa imani? Mbona napata mashaka na matajiri wa Jf?Katoe umenikumbusha Kuna mwana alijichanganya akarushaga laki 7 kwenye CRDB account yangu nili itoa ile pesa chapu
Una ita pesa vilaki haya nipe laki Moja hapo kama unayo sasa hiviSasa tajiri la kigamboni vi laki 7 vinakutoa imani? Mbona napata mashaka na matajiri wa Jf?
Haha mkuu laki siwezi kukosa ila sasa nikupe ya nini?Una ita pesa vilaki haya nipe laki Moja hapo kama unayo sasa hivi
Mkuu uko sahihi sana.. kwa sasa hivi hela ya namna hiyo asipokuwa makini anaweza kujikuta jela kwa kesi ya utakatishaji pesa. Hapo lazima aende benki achukue statement kuona aliyeweka. Na kama bado hatatambua aishirikishe benki. Inasikitisha sana kuona kuna watu wanamjaza ujinga kuwa azitumie hizo pesa bila kujiuliza.Kama wewe ni muislamu hiyo pesa ina masharti ya kufuata,kitu chochote au pesa kama umeokota unatakiwa uitangaze umtafute mwenyewe kama ulivyofanya kuulizia jamaa zako
Kama umefanya juhudi hiyo na hukumpata mwenyewe basi unasubir ndani ya mwaka mmoja,mwaka ukifika basi ni halali yako
😂😂😂😂😂😂Ni pesa za usajili zimetumwa na 5imba wanasajili wachezaji, nenda kaanze mazoezi!
Nia yako unataka niwe mkali au ni nini hasa?Maswali gani haya?Basi bana. Kama wiki kadhaa hivi iliingia meseji fupi lakini tamu ajabu. Ilikuwa imethibitishwa. Shilingi milioni sita (6,000,000) keshi zilikuwa zimeingia kwenye akaunti yangu ya benki. Nikasema labda ni matapeli wanataka kunizingua. Nikaenda kwenye akaunti. Nikakuta kweli mzigo upo umetulia. Sikuridhika. Nikaenda kuangalia kwenye ATM fizikale laivu kabisa. Nikakuta ni kweli.
Ajabu ni kwamba aliyetuma hizo pesa simfahamu na sikuwa na mchongo wo wote wa milioni sita niliokuwa nikiusikilizia. Nimeuliza kila mtu ninayemhisi mpaka watu wa diaspora huko lakini hakuna aliyenitumia hizo pesa. Kuna mahali nilipiga mchongo wa kuwa nalipwa kama milioni 4.5 hivi kwa mwezi kwa miaka 15-20 ijayo lakini mchongo huo hautakuwa active mpaka 2027. Niliwaandikia pia wakasema hawajatuma cho chote. Ni nani kakosea akatuma hizi pesa?
Mpaka ninapoandika hapa pesa hizo zipo zimetulia kwenye akaunti. Na mtumaji bado hajulikani. Wengine wanasema eti jamaa wanaotakatisha fedha siku hizi wana mtindo huo. Wanaweka pesa kwenye akaunti yako hasa ambayo iko dormant kidogo halafu baadaye wanakuja wanazihamisha.
Lakini akaunti yangu haiko dormant kivile maana haiwezi kupita siku mbili au tatu sijaitumia.
Nikizitumia hizi pesa nitakuwa nimekosea maana mpaka sasa zipo tu naziangalia? Kuna dogo anahitaji kimtaji cha kama milioni tatu hivi nataka nimpe.
Ungekuwa wewe ungefanyeje kwenye situation hii?
View attachment 3525498
Hapa hoja sio dhulma mkuu mbona unaenda kinyume na mada usiishi katika Imani sio Kila mtu ana amini kwenye Imani CiaoHaha mkuu laki siwezi kukosa ila sasa nikupe ya nini?
Back to the point ni kwamba laki 7 ni pesa ndogo ya kusema ni mdhulum mtu alieniwekea kimakosa.
😃😃😃Hapo ningeshatoa hela chap na nipo Kitambaa cheupe au Micasa na toto mbili tatu nimekamata viuno naushitua umasikini.
Mbuzi kashafia kwa muuza supu hapo.
Nenda omba bank statementBasi bana. Kama wiki kadhaa hivi iliingia meseji fupi lakini tamu ajabu. Ilikuwa imethibitishwa. Shilingi milioni sita (6,000,000) keshi zilikuwa zimeingia kwenye akaunti yangu ya benki. Nikasema labda ni matapeli wanataka kunizingua. Nikaenda kwenye akaunti. Nikakuta kweli mzigo upo umetulia. Sikuridhika. Nikaenda kuangalia kwenye ATM fizikale laivu kabisa. Nikakuta ni kweli.