Ulishawahi kuwekewa pesa kwenye akaunti yako ya Benki bila kujua zimetoka wapi? Ulifanyaje?

Ni pesa za watu hizi mkuu. Mwenyewe hatimaye atapatikana tu. Pengine itabidi niende benki nikawaulize. Mungu ni mwema 🙏🏿
Kwa watu wa bank sishauri wanaweza kuzipiga,we angalia bank statement imetumwa toka wapi kisha subiri,kama mtu kaingiza kimakosa atazidai au kuzichukua
 
Kama kawaida watu wa jf na misifa kila mtu humu ana mamilion hana njaa, ana ajira ya kulipwa mamilion, ana gari ya maana, ana biashara kubwa, nyumba kali, matumiz home per day 50,000 nk ajabu wengne wanawafata watu pm wanaomba hela ya kula. Kama we jamaa eti una mchongo wa kulipwa mil 4.5 per month kuanzia mwakani aaahaahaaa sa hili umeliweka lanini mara una watu diaspora yote haya yann kwan uksema tu umeingziwa pesa lakn hujui zmetoka wp na umeulizia kwa watu unaowafahamu hujapata muhuska. Mara eti hazpti sku 3 umeweka pesa kwny akaunti yako.
 
Kwani mtu akijisifia hivyo Kuna shida Gani?

Kwamba unataka watu waseme Wana njaa ni maskini wa kutupwa ni wagonjwa na WA dhaifu?
 
Walipiga sana simu hao jamaa eti Kuna kiasi kimeingizwa hapo aliyekutumia unamjua nikasema ndio hapo wakati naongea nao nipo kwa wakala nafanya yangu toka hapo namba zao zote nilizilamba bloku
Kitu kama hiki sitokuja nimfanyie mtu aisee,maumivu niliyoyapataga ni makali sitokuja kusahau,,,nilituma pesa ki makosa na aliyepokea hakanikana hajaona pesa,

Ni Bora kurudisha pesa maana haujui zilikuwa na KAZI gani,
 
Options ni hizi,
●Ingia kwenye app ya bank yako uangalie statement, utajua zilitoka kwa nani.
●Nenda bank ukahakiki

Kuna jamaa yangu pia aliingizowa 600k akaiacha hapo mda sana, mwisho akaitumia maana hakukuwa na mwenye nayo.
 
Kitu kama hiki sitokuja nimfanyie mtu aisee,maumivu niliyoyapataga ni makali sitokuja kusahau,,,nilituma pesa ki makosa na aliyepokea hakanikana hajaona pesa,

Ni Bora kurudisha pesa maana haujui zilikuwa na KAZI gani,
Mtu mwenye hulka kipepari harudishi kitu , hulka ya kipepari ndio hulka ya kitajiri , kupanga ni kuchagua
 
Kitu kama hiki sitokuja nimfanyie mtu aisee,maumivu niliyoyapataga ni makali sitokuja kusahau,,,nilituma pesa ki makosa na aliyepokea hakanikana hajaona pesa,

Ni Bora kurudisha pesa maana haujui zilikuwa na KAZI gani,
NIliwahi kufanya muamala wa milioni 1 kimakosa na niliyemtumia alifanya kama ulvyosema nili umia sana aisee
 
Back
Top Bottom