Ulishawahi kuwa addicted?

ohooo sasa wewe unaleta matusi kwenye biashara za watu! kumbe umekariri unadhani betting hadi uingie vibandani,wenzio wanabet online na maisha mengine yanaenda! tena ushike adabu yako wakikusikia wenye michezo yao utachezea vitasa..addiction za watu...kwako haramu kwa wenzio halaliii oooohooo endelea na fashioooon yako!tuache tutengeneze mpunga haha tena utuombe radhi....shubamitiiiii
Nipe mkeka wako wa Leo nitembelee nyota
 
Hukuwahi kuwa na addiction nyingine zaidi ya hii. Hivi penzi linaweza pia kuwa addiction!? Nauliza tu.

Nimejaribu sana kuwaza addiction niliyowahi kuwa nayo lakini namshukuru Mungu kwamba sijawahi kuwa na addiction yoyote ile maishani mwangu naomba hali hii Mungu anijalie iendelee.

Facebook kuna mchezo unaitwa Farmville, kuna wakati nilikuwa addicted kabisa, nilikuwa ninapanda mazao kuhakikisha baada ya masaa matatu yatakuwa ni ya kuvuna, nitaharakisha kila ninachofanya ili niwe free baada ya masaa matatu. Kuna wakati nilikuwa ninaamka katikati ya usingizi ili nivune mazao yasioze. Hapo ndipo nilipogundua nina tatizo, nilijitoa. Siku hizi FB ninakwenda kuchungulia tu.

Uliwezaje kuacha addiction yako?
 
ohooo sasa wewe unaleta matusi kwenye biashara za watu! kumbe umekariri unadhani betting hadi uingie vibandani,wenzio wanabet online na maisha mengine yanaenda! tena ushike adabu yako wakikusikia wenye michezo yao utachezea vitasa..addiction za watu...kwako haramu kwa wenzio halaliii oooohooo endelea na fashioooon yako!tuache tutengeneze mpunga haha tena utuombe radhi....shubamitiiiii
Hold on....
7a4e64c10383ebb6e51d27736b677064.jpg

Siku mojamoja uwe unanitag ukiweka mkeka tubet wote sawa eee
 
addicted na music especially good music ...
nikisikiliza tu music, hata kama nina shida gani huwa najihisi freeesh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom