Ulishawahi kuwa addicted?

Mchele.....anaweza kukesha usiku mzxima anatizamas tv na kula mchele hapo ujue kwa siku anatafuna zasidi ya robo kilo! Miaka 24 sasa mwendo ule ule....
Ni mfariji ,kiburudisho,mwenzie atc
Popote anakwenda nao.....
 
I'm addicted na porn, aisee Mungu kaumba hii sehemu pendwa, nyie acheni tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
addicted na music especially good music ...
nikisikiliza tu music, hata kama nina shida gani huwa najihisi freeesh
Yaani uko kama mimi..nikiwa nafanya kazi yoyote huwa music lazima...Sometimes hadi Bafuni mkuu serious...
 
Mimi ni video games aisee,nakumbuka kipindi kile nilikuwa nasingizia ugonjwa ili nibaki nacheza game tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom