Ulishawahi kutengwa na marafiki?

Umomi

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
677
Reaction score
994
Kuna jambo linatokea hapa naona kama marafiki wananitenga jamani nifanyeje? Maana yake sijui kosa langu mpaka kutengwa na washikaji ila nihisi ni kwa sababu nakunywa pombe sana
 
Ili Uache Kutengwa Haraka Sana Waone Wajumbe Wa Kyela, Kawe, Kigamboni
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kuna Jambo linatokea hapa naona Kama Marafiki wananitenga jmn nifanyeje. Make sjui kosa langu mpaka kutengwa na washikaji ila nihisi ni kwa sababu nakunywa pombe sana
Sasa mkuu unachelewa nini kuhamia kwa rafiki kubwa lao TBL.😏😏😏

Badilika huko na wewe...hata mimi nikiwa narafiki ambaye anafanya vitu ambayo haviko sawa na nimeshamkanya mara nyingi habadiliki...ni lazima nikufungie vioo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…