Ulishawahi kupiganiwa na wasichana?

Nilikuwa sijaistukia hii ID ila nilipoona Ustaadh machale yakanicheza. Salimia mademu zako waliokuwa wanakugombania O level nasikia ulikuwa check bob wa kutupa na miondoko mikali mikali nasikia mademu hao wote bado unachepuka nao.

hahahahahah!!!! vipi ushalamba ban?
 
Sikuwahi kwakuwa niliheshimu na kuyapa thamani kila mahusiano
Acha kudanganya mkuu!!! Mbona hapa JF ni kinyume na unachoongea???Kule PM una mademu kibao!! Nimehack PM yako na ukiendelea kubisha natupia screenshot zako zote za SMS za PM hapa!
 
wakikutana
wakikupigania
ujue umeshindwa
Kucheza vizuri game yako!
 
Kumbe wewe ni me mkuu???
 
Nilikuwa sijaistukia hii ID ila nilipoona Ustaadh machale yakanicheza. Salimia mademu zako waliokuwa wanakugombania O level nasikia ulikuwa check bob wa kutupa na miondoko mikali mikali nasikia mademu hao wote bado unachepuka nao.

Hahaaa BAK bana.
 
Reactions: BAK

hahahahah!! huyu ustadh wangu namwelewa sana, sema ban yake inaisha soon lasivyo ningendamana. wale mademu wameolewa bana sahv halafu mi staki kuvuruga wake za watu nacheza na masingle girls tu.
 
Kuna MOD mmoja jina kapuni lol! na jinsia kapuni wanaelewana sana hivyo humpigia debe ale ban za masaa machache tu, sasa ngoja BAK afanye kosa miezi sita! Na hapo mie nilikuwa najibu mashambulizi baada ya kutusiwa.

Mwenzio amewekeza kila mahala, nawe fata nyayo zake utaona matokeo. ngoja niongee nae akupe maujanja. ukipigwa ban njo pm nikufariji. lol
 
Reactions: BAK
Lol! Eti nikipigwa ban nije pm unifariji Hahahahaha kuwekeza huko nilishachungulia nikaona hakufai kuwekeza nikaamua kusepa lol!

tatizo BAK umezidi upole, mpole sana. wapole lazma muonewe hakuna namna. hahaha. halafu acha uoga, nakufariji tu au unaogopa kutengenezewa list? lol
 
Reactions: BAK
Kuna MOD mmoja jina kapuni lol! na jinsia kapuni wanaelewana sana hivyo humpigia debe ale ban za masaa machache tu, sasa ngoja BAK afanye kosa miezi sita! Na hapo mie nilikuwa najibu mashambulizi baada ya kutusiwa.

Hmm BAK mod yupi huyo?

Mi mbona simjui...
 
hawa mashoga wawili, halima na glory walipigana na urafiki wao kuisha, nilikuwa natoka na glory huku shem wangu halima akinipenda pia, tukakubaliana tufanye yetu kisiri lakini glory akajua, nikaitwa ofisini nikawakataa wote
 
Hahahahahaha lol! Unajua watu wako wa karibu humu ambao mmeshibana kwa kila hali wakikutafuta kwa simu na kukwambia sikupenda ulichoandika na kukuomba uachane nao hao mazwazwa unakuwa huna jinsi ila kuwa mpole tu. Sasa Ninyo ukipigwa ban hapa hiyo access ya pm unaipata wapi!? Lol! Hujawahi kula ban weye!

tatizo BAK umezidi upole, mpole sana. wapole lazma muonewe hakuna namna. hahaha. halafu acha uoga, nakufariji tu au unaogopa kutengenezewa list? lol
 
hawa mashoga wawili, halima na glory walipigana na urafiki wao kuisha, nilikuwa natoka na glory huku shem wangu halima akinipenda pia, tukakubaliana tufanye yetu kisiri lakini glory akajua, nikaitwa ofisini nikawakataa wote
Brother, kumbe nawe humo hahahah
 
dah! kumbe ban noma sana, hebu nipe jina la mod mmoja nimtukane niexperience ladha ya ban.
 
Reactions: BAK
Shule nilikua mtaalam wa biology yaan ilikua kila swali unaloniuliza nukujibu kwa ufasaha mpaka wakaniita Xxx biology daah raha sana!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…