Ishu za woga🤣Nimefanya nini kakaake😅
Hahahaha😂Uweeh! Unafungua tu box hawa hapa!🙌🏾
Kwa hyo hata shemeji hapo home hutaki tena awepo mkuu,,siku ukiwa na stress.😀Binafsi nikiwa na huzuni inaniletea sonona sijui huwa ni kwanini najisikia hivi, kitu kikinikosesha raha kabisa nawaza sana mapigo ya moyo yanaenda kwa kasi kila nikifikiria upya!
Mbaya zaidi inanipelekea nakosa hamu ya kula, hata nikila naonja onja tu,napata homa ya ghafla, sijisikii kuongea na watu,sitaki mtu anipigie simu, sijisikii kwenda kazini na hata nikienda sijisikii kuongea na watu ni tumbo joto tu, nataka kukaa mwenyewe chumbani ata siku mbili hadi 3! Natamani chumba kisiwe na mwanga uwe wa mbali sana! Nakaa tu ndani na siwezi kufanya chochote! Sitamani kuoga, kula sebleni wala kupika japo itanilazimu sometimes😩
Hivi na nyie mnapitia hii hali mkiwa na stress au ni mimi tu?🥺

Niende nikapate tiba wapi?
Duh,mbona unamuonea jamaa aisee.nakumbuka nishawahi ishi na manzi mmoja miaka fulani..nikiwa hilo eneo kikazi,ilikuwa ni project kama ya mwaka mmoja..Huwa namfukuza mpaka nikae sawa😆
Duhh pole sana! Mbona kama ni mimi😅Duh,mbona unamuonea jamaa aisee.nakumbuka nishawahi ishi na manzi mmoja miaka fulani..nikiwa hilo eneo kikazi,ilikuwa ni project kama ya mwaka mmoja..
Yule manzi akaniambia usipange njoo tuishi hapa pamoja..na tukakubaliana ntakuwa nalipia kodi ya nyumba..
Aise yule msukuma wa misungwi alikuwa na hasira na gubu balaa..siku mkikosana anakutishia muachane na anatoa vitu vyangu nje.. baada ya muda anaanza tena kujutia.