rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,571
- 42,150
- Thread starter
- #33,661
Yaah we fail sometimes unaweza muomba muhudumu akuonee huruma upate hata nusu yakeNshaliwa zaidi ya mara 3
Kuna moja nmeingia nae kumbe yuko P, na nshalipa 35k. Kuna mmoja alikwama mlangoni, mie nlikua nshaingia kulipa, sijui alikutana na sura ipi wanajuana (she paid back anyway).
Pia, mara kadhaa nshalala peke yangu, maana wadau hawakutokea.
it's not a 100% success thing, ila ile ile 10% tunayoiweza ndo tunaileta humu.