Ilikuwa ni mwaka ule nilipokuwa JKT kwa mujibu wa sheria, Operation Nidhamu. Nilikuwa mchezaji mzuri sana wa mpira wa kikapu kiasi cha kuchaguliwa katika timu ya JKT ya kanda na kisha timu ya JKT taifa iliyoshiriki mashindano ya majeshi mwaka huo. Kwa mantiki hiyo, yale mafunzo na kwata sikuyapata kwani tulikuwa katika mazoezi na mashindano muda mwingi mbali ya kambi niliyopangiwa.

Baada ya kurudi kambini mwezi wa November kutoka katika mashindano ya Majeshi, tulipewa wiki mbili za kwenda kupumzika nyumbani. Niliporudi kambini baada ya likizo, nilipangiwa katika Kombania B 'Uzalishaji". Hii ni kombania ambayo wengi wao hawakupiga kwata kwani kombania hii ilijikita zaidi katika shughuli za uzalishaji.

Katika kombania hii nilikutana na marafiki zangu hivyo maisha yalikuwa mazuri mno. Nilikutana na binti mmoja ambaye alitokea kunipenda sana, yeye alitokea katika shule moja ya kijeshi ya wasichana (enzi hizo sijui kwa sasa) hapo Tabora. Mabweni ya wasichana (Yaliitwa Serengeti) yalikuwa mbali hivyo wakati mwingine ili wasichelewe kuamka wakati wa asubuhi walikuja tukalala wote! Kutoka na uchovu wa siku nzima ilikuwa sio rahisi kufanya tendo la ndoa kwani ile unalala tu utashtuka saa kumi unaamshwa na tarumbeta!

Hii siku ilikuwa ni Jpili siku ambayo mara nyingi kazi hazikuwa nyingi. Tukiwa tupo tunapiga story sehemu na huyo mdada, mara lilitokea gari/lori la jeshi yale makubwa sana (40 ft). Mara nyingi yalipokuwa yanakuja haya malori ama yalileta mizigo au kuja kuchukua. Nilipoliona hilo lori nilimwambia huyo dada twende zetu msituni tukakae huko vinginevyo tutakamatwa ili kushusha/kupakia mizigo. Kumbuka haikujalisha ni watu wangapi watapatikana kushusha/kupakia......watakaopatikana ni hao hao hata kama ni watano lazima mizigo ishushwe/ipakiwe.

Basi tukajichoma zetu msituni na huyu mdada huko tukafanya yetu kwa mara mara ya kwanza. Hakika nilienjoy penzi la huyu mdada. Tulikaa msituni zaidi ya masaa matano. Ile tumerudi tukakuta wenzetu wamegawiwa Green Vest na Kombati.....Sisi tukakosa. Huyu mdada sasa ni mwanasheria mzuri, kaolewa na anawatoto.

Dear J, I still cherish those good memories we shared together. You were such a loving and caring gal. Keep it up!
Naomba jina lake au namba na mimi nimpongeze kwa kukuridhisha, ila kuwa mkweli ulimtoa bikra ama alishatolewa na afande CHACHA?
 
JKT nijuavyo mm hawaruhusu Serengeti kulala kwenye maanga ya ngorogoro usiku bed check huwa zinafanyika kabisa..

Vest,pitshot, combat raba huwa vinakuja kwa idadi ya namba ya wazalendo na kila kombania inakuwa na mgao wao ambao OC coy au sir major coy huwa anausimamia na hata usipokuwepo mgao wako utaukuta tu. Japo utaupata kwa mbinde.

Ila sio kwamba napingana na ww kuwa hukula kimasihara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kulala ilikuwa inatokea mara kibao baaada ya DISKO. Hakukuwa na ukaguzi usiku japo ndani ya anga kulikuwepo na afande.
Enzi hizo kulikuwa na uhaba mkubwa sana wa vest, pitshot.....hivyo hiyo siku waligawiwa wale wote waliokuwepo! Watoro ilikula kwetu!
 
JKT nijuavyo mm hawaruhusu Serengeti kulala kwenye maanga ya ngorogoro usiku bed check huwa zinafanyika kabisa..

Vest,pitshot, combat raba huwa vinakuja kwa idadi ya namba ya wazalendo na kila kombania inakuwa na mgao wao ambao OC coy au sir major coy huwa anausimamia na hata usipokuwepo mgao wako utaukuta tu. Japo utaupata kwa mbinde.

Ila sio kwamba napingana na ww kuwa hukula kimasihara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda vikosi vinatofautiana maana sisi tulipewa hizo green vest za kijani, godoro, buti mestin na kitanda godown. Mnapangwa mstari unachukua kimoja unatoka unaunga tella unachukua kingine mpaka vikamilike mdundo sasa ni ule muda wa kuvibeba vyote kwa pamoja logwa sasa upewe kitanda cha banko hakina spring unapewa chaga za mabanzi huo mzigo ni balaa. Mafinga sitapasahau enzi za Mlay RIP. Lengo ni kuonyesha mtofautiano wa kambi na kambi kama mimi uzoefu ulivotofautiana na wa kwako. Ila hilo la mwanaume kuingia mahanga ya wanawake namaanisha serengeti mmmh nina wasiwasi. Ingekuwa mwanamke kuja mahanga ya wanaume wao wanakuja sana afu kibalbu ni kimoja ukiwa mwisho wa kona ni kama giza kuna mabaharia walikuwa wanakula mzigo tukiwa humohumo ndani hasa siku ja jumamosi watu wakienda disko.
 
Mimi nilipokuwa CHUO kikuu, KENYYATA UNIVERSITY Nairob, nikiwa nakaribia MWEZINI /hedhi mwili unakuwa na joto alafu hamu yaani, siku moja nikamuita kijana mmoja aje kunisaidia kufunga taa ya chumbani, alipoingia tu , nikamwambia avue viatu, akavua, akaingia, nikamshikia kiti apande juu , akapanda, alikuwa na flana na track-suti ya kitambaa kwahiyo dushe lake lilikuwa linaonekana limelalia upande wa kushoto[kama mnavyojua wanaume wengi madushe yao yamepinda] basi alipobadili taa, ila anashuka dushe lake likanigusa kifuani, nikalegea nikamvuta kitandani, akala mzigo akasepa, sasa hivi ni mtumishi wa TRA -Kilimanjaro, hatujawahi kukumbushiana tena
Hii nzuri kuliko. Nimekutamani ghafla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
obese-man-eating-fruit-salad-against-sky-picture-id84873082
 
Mimi nilipokuwa CHUO kikuu, KENYYATA UNIVERSITY Nairob, nikiwa nakaribia MWEZINI /hedhi mwili unakuwa na joto alafu hamu yaani, siku moja nikamuita kijana mmoja aje kunisaidia kufunga taa ya chumbani, alipoingia tu , nikamwambia avue viatu, akavua, akaingia, nikamshikia kiti apande juu , akapanda, alikuwa na flana na track-suti ya kitambaa kwahiyo dushe lake lilikuwa linaonekana limelalia upande wa kushoto[kama mnavyojua wanaume wengi madushe yao yamepinda] basi alipobadili taa, ila anashuka dushe lake likanigusa kifuani, nikalegea nikamvuta kitandani, akala mzigo akasepa, sasa hivi ni mtumishi wa TRA -Kilimanjaro, hatujawahi kukumbushiana tena
Vipi baharia alituwakilisha vizuri kwa shoo ya kibabe au ilikuwa chini ya kiwango?
 
Akasema anampenda sana Michael Scofield

Mimi nikamuambia hujui mbinu za Theodore yule T-Bag ni mkali kuliko Crew nzima akasema hamuelewi kabisa.

Nikamuambia siku ukipata muda njoo tuangalie Scene za Tbag tu. Akasema pia anampenda Sara nikamuambia nampenda Sara sanaa.

Siku moja akaja ile tunaanza kucheki tu mara Michael na Sara wanakiss hapo hapo Tunda likaliwa kimasihara na hakuna cha Tbag tukaanza kusuguana kila week.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda vikosi vinatofautiana maana sisi tulipewa hizo green vest za kijani, godoro, buti mestin na kitanda godown. Mnapangwa mstari unachukua kimoja unatoka unaunga tella unachukua kingine mpaka vikamilike mdundo sasa ni ule muda wa kuvibeba vyote kwa pamoja logwa sasa upewe kitanda cha banko hakina spring unapewa chaga za mabanzi huo mzigo ni balaa. Mafinga sitapasahau enzi za Mlay RIP. Lengo ni kuonyesha mtofautiano wa kambi na kambi kama mimi uzoefu ulivotofautiana na wa kwako. Ila hilo la mwanaume kuingia mahanga ya wanawake namaanisha serengeti mmmh nina wasiwasi. Ingekuwa mwanamke kuja mahanga ya wanaume wao wanakuja sana afu kibalbu ni kimoja ukiwa mwisho wa kona ni kama giza kuna mabaharia walikuwa wanakula mzigo tukiwa humohumo ndani hasa siku ja jumamosi watu wakienda disko.
Wanawake ndio walikuwa wanakuja kwenye mahanga ya wanaume. Katika kambi yetu hakukuwa na vitanda bali kulikuwa na magodoro ambayo yaliwekwa sakafuni. Mara baada ya kuwasili tulikaa muda mrefu tukitumia nguo za kiraia.
 
Huenda vikosi vinatofautiana maana sisi tulipewa hizo green vest za kijani, godoro, buti mestin na kitanda godown. Mnapangwa mstari unachukua kimoja unatoka unaunga tella unachukua kingine mpaka vikamilike mdundo sasa ni ule muda wa kuvibeba vyote kwa pamoja logwa sasa upewe kitanda cha banko hakina spring unapewa chaga za mabanzi huo mzigo ni balaa. Mafinga sitapasahau enzi za Mlay RIP. Lengo ni kuonyesha mtofautiano wa kambi na kambi kama mimi uzoefu ulivotofautiana na wa kwako. Ila hilo la mwanaume kuingia mahanga ya wanawake namaanisha serengeti mmmh nina wasiwasi. Ingekuwa mwanamke kuja mahanga ya wanaume wao wanakuja sana afu kibalbu ni kimoja ukiwa mwisho wa kona ni kama giza kuna mabaharia walikuwa wanakula mzigo tukiwa humohumo ndani hasa siku ja jumamosi watu wakienda disko.
Hilo la kuja Serengeti kwenye maanga ya wanaume walikuwa wanakuja mchana na sio usiku.. Kipindi hicho pale 841 kj mkimaliza six week Serengeti walikuwa wanakuja mchana tu na sio usiku..

Mkuu ulipiga intake gani mafinga? Hata mm nilipga mafinga.. Dah! Naikumbuka root ya chakula toka uwanja Wa RSM uelekeo ria get airport mnaingia barabara ya mufindi mnatokea kwa Balali mnaingia zahanat main gate madarasani mwamunyange hall

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fresh tu mkuu. We hukuwahi kutumia hall v kula kimasikhara

komesha korona
Hall 5 pale sikuwahi bahahatika kula mtu kimasihara, sema nilishawahi bahatika piga 'CHABO' la watu wakikulana kima sihara sihara.

Ilikuwa saa saba mchana nimejilaza deca ya juu, mara nasikia room mate mwenzangu anafungua kitasa cha mlango na funguo yake uku anaongea na sauti ya kike pale mlangoni, Nilikuwa macho mda ule ila nikajifanya nimelala.

Yule mchuchu kwa maongezi niliyokuwa nikiwasikia wakiongea alikuwa amekuja azima desa kwa jamaa, ila inaonekana jamaa akamwambia lipo juu hall 5 twende nikakupatie maana nikipanda juu siwezi shuka, nahisi ndo sababu yule mchuchu akaja na jamaa mpaka room yetu namba 1289.

Kufika jamaa akaanza Ku force king, yule mchuchu akaanza kumuita dany mi rafiki ako, rafiki ujue. Niache please
Bwana dany naye hakutaka kusikia kitu, anamwambia mtoto wa watu "naingiza kichwa tu yani kichwa tu hata dakika mbili hazizidi" yule mchuchu akawa anatoa ishara ya vidole kwamba kuna mtu juu, kuona vile mimi nikajifanya na koroma, dany akaamka akasema jamaa kalala mbona, yule mchuchu akaamka naye kuhakikisha kama Mimi nimelala, basi ndo nikazidi kukoroma kweli, lengo langu ni kuwala chabo tu na jamaa afanikishe kumkula mtoto wa watu kimasihara.

Niishie hapa mzee wa hall 5

Ila chabo nalo lina raha yake

Ova
 
Hahaa noma saaana. Hiyo ilikuwa floor ya pili?? Au kule juu kwenye upepo?

Sisi tulikuwa side rooms wapwa mpo mtu nne alafu bado sublets bado wale wahuni wanakuja na magodoro.

Vurugu vurugu tu
Hall 5 pale sikuwahi bahahatika kula mtu kimasihara, sema nilishawahi bahatika piga 'CHABO' la watu wakikulana kima sihara sihara.

Ilikuwa saa saba mchana nimejilaza deca ya juu, mara nasikia room mate mwenzangu anafungua kitasa cha mlango na funguo yake uku anaongea na sauti ya kike pale mlangoni, Nilikuwa macho mda ule ila nikajifanya nimelala.

Yule mchuchu kwa maongezi niliyokuwa nikiwasikia wakiongea alikuwa amekuja azima desa kwa jamaa, ila inaonekana jamaa akamwambia lipo juu hall 5 twende nikakupatie maana nikipanda juu siwezi shuka, nahisi ndo sababu yule mchuchu akaja na jamaa mpaka room yetu namba 1289.

Kufika jamaa akaanza Ku force king, yule mchuchu akaanza kumuita dany mi rafiki ako, rafiki ujue. Niache please
Bwana dany naye hakutaka kusikia kitu, anamwambia mtoto wa watu "naingiza kichwa tu yani kichwa tu hata dakika mbili hazizidi" yule mchuchu akawa anatoa ishara ya vidole kwamba kuna mtu juu, kuona vile mimj nikajifanya na koromaa, dany akaamka akasema jamaa kalala mbona, yule mchuchu akaamka naye kuhakikisha kama Mimi nimelala basi ndo nikazidi kukoroma kweli lengo langu ni wale chabo tu na jamaa afanikishe kumkula mtoto wa watu kimasihara.

Bora niangalie porn kuliko chabo😂😂. Mashine inaweza kupasuka
 
Hahaa noma saaana. Hiyo ilikuwa floor ya pili?? Au kule juu kwenye upepo?

Sisi tulikuwa side rooms wapwa mpo mtu nne alafu bado sublets bado wale wahuni wanakuja na magodoro.

Vurugu vurugu tu

komesha korona
Ilikuwa kama floor ya sita hivi.

Ilinikutaga mabibo hostel room mmoja tupo 12, hatakuvusha mchuchu huwezi, kila ukizunguka ukirudi lazima umkute mtu kaganda room tu.
 
Huenda vikosi vinatofautiana maana sisi tulipewa hizo green vest za kijani, godoro, buti mestin na kitanda godown. Mnapangwa mstari unachukua kimoja unatoka unaunga tella unachukua kingine mpaka vikamilike mdundo sasa ni ule muda wa kuvibeba vyote kwa pamoja logwa sasa upewe kitanda cha banko hakina spring unapewa chaga za mabanzi huo mzigo ni balaa. Mafinga sitapasahau enzi za Mlay RIP. Lengo ni kuonyesha mtofautiano wa kambi na kambi kama mimi uzoefu ulivotofautiana na wa kwako. Ila hilo la mwanaume kuingia mahanga ya wanawake namaanisha serengeti mmmh nina wasiwasi. Ingekuwa mwanamke kuja mahanga ya wanaume wao wanakuja sana afu kibalbu ni kimoja ukiwa mwisho wa kona ni kama giza kuna mabaharia walikuwa wanakula mzigo tukiwa humohumo ndani hasa siku ja jumamosi watu wakienda disko.
Natamani kuziona hizo green vest za kijani mkuujoke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa kama floor ya sita hivi.

Ilinikutaga mabibo hostel room mmoja tupo 12, hatakuvusha mchuchu huwezi, kila ukizunguka ukirudi lazima umkute mtu kaganda room tu.
Hao inabidi uwe unajua kubet saaana. Yan katika week kuna siku like saa tano au nne wote wanakuwa hawapo.

Ila ula usiombee uwe na baed msuli room. Hata wasipo attend lecture wanatoboa tuu.

komesha korona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom