four eyes
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 904
- 1,399
Umenichekesha sana aisee eti hivi sisi tumelala au hatujalalaUko wapi?
Home
Una fanya nini?
Nipo tu nasoma soma
Una kitabua cha Shigongo?
Kipi?
Kile ulichokuja nacho library siku ile?
OOOH kile cha stephanie nnacho ndio nakisoma hapa
AAAH jamani namimi nlikua nataka nkisome D
Njoo tusome wote kama unataka
Poa nakuja
BAADA YA NUSU SAA
Hodiiii
Pitaaa sukuma
mambo D
Poa tu niaje?
Fresh nambie
Karibu sana za kupotea
Nzuri we ndo umepotea bwanaa
Aaah mi nipo tu
unaangaliaga katuni na wewe?
Ndio nacheki sana tu ndio starehe yangu na vitabu
Hii katuni inaitwaje?
Sing
nsimulie basi ikoje koje
Nkamsimulia kidogo then nkamwacha akodoe macho (kashasahau kilichomleta ni kitabu)
Unakunywaga wine?
Ndio ila nimekunywa zamaniiiii,unataka kunipa?
Hapana nimekuuliza tu,niambie nikupe nini unywe huku ukiangalia movie
Nichagulie wewe bana chochote tu
Nkaenda nkafungua fridge nkatoka na Drostdy hof nkam miminia kwenye glass,nkampa (karibuu)
Asantee,sio chungu?
Hapana we onja utaiskia
OOH KUMBE TAMU mi nlijua chungu
HAMNA hiyo n tamu tu (basi nkaendelea na kitabu changu na yeye na movie ake)
BAADA YA NUSU SAA
namuuliza,umemaliza nikuongeze?
kimyaaa,kuangalia eti kashalala
vipi mama unaskia usingizi?
Yani nimechoka D
Twende ndani ukapumzike kidogo
Mi nkalale peke angu? labda tulale wote
Kichwa kikalia Alarm triiiiing (nkasema leo ndio leo)
Ok twende namimi ntalala kidogo,nimechoka kusoma
Tukafika kitandani tukajitupa tukalala (nimetulia kimya kama sio mimi hapo)
nkaona mtu anajisogeza sogeza kwangu si unajua ile wakina dada wanavyolala
Namimi kimya nkajifanya nakoroma
Akasogea tena na tena hadi tukagusana
Nikaona huu Uboya huuuuu,hivi sisi tumelala au hatujalala? (najiuliza kimoyo moyo)
Nikauchuna mtoto akajaaa uso ukaja karibu yangu tukawa tunapumuliana kama mabeberu
Mara lips zikasogeleana
Mara zikagusana romance ikaanza
Puruku puruku mtu KALIWA
baada ya kulana usingizi ukamuisha mwenzangu
Akaamka akananiambia alikua katumwa mahali
Nkamwambia poa mi nipo
Akatoka akasepa na Mwisho ikawa hivyo
Huyo alikua ni mpenzi wangu wa kwanza kabisa kumkula bila kumtongoza
Hatukuishia hapo tuliendelea tukaja achana mbele mbele huko