Ivi vijana mnafikilia ata kujenga viwanda
Huwezi waza kujenga viwanda wakati mfumo wa elimu ni mbovu na huwezi waza kujenga viwanda wakati kilimo kipo wodini!!

Kuanza kuwaza viwanda wakati kilimo hakija simama ni kiherehere cha wanasiasa..

Sasa kufikiria viwanda bila kilimo na bila elimu ni kupoteza muda.
 
Daah,hizi show kikir kikir ...nazikubaligi sana...ila majuto baadae huja ..ndomu sikuvaa
 
[emoji16][emoji16] "Kaka asiyekula Biskuti"..
 
Prof Mrindoko ameupatia UProf wake Mahakamani, kwa Mujibu wake mwenyewe.

Wakati alipokuwa anatufundisha Communication skills aliwahi kukiri kuwa kuna watu walikuwa wanambania asipate huo UProfesa wake, ajabu na yeye alikuwa anawabania Wana class kwa kuwakamata na Supplementary 😂😂


Next time mdau tushtuane kwenye hizo Tour huenda na Mimi ikawa zamu yangu kula kimasihara 😂🙌
 
Mbunye za hivyo huwa na nafasi nzuri peponi
 
Dah hongera na pole kwake.

Tumetoka safari wiki kadhaa Ngorongoro, nadhani nyingine itakuwa kwenda Zanzibar miezi michache ijayo.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe aliupatia mahakamani 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…