Una furahi mwenyewe kula mke wa mtu sio?
 
.
 
Nitakuwa Wa mwisho kuamini hii story,
 
Kuna kazi nyingine zinaleta tunda hata usilotarajia mfano u-DJ/na mambo ya sounding
Ilikuwa kama ifuatavyo,

Mimi na mshkaji tulipata kibarua cha uDJ kwa bwana mmoja aliyekuwa ana miliki sound maarufu sana mji fulani,
Siku moja kukawa na mkutano wa mashahidi wa yehova(kumradhi) tukapeleka vyombo na kufunga sound yetu vyema kwaajili ya mkutano wao,
Baadae mkutano ulianza japo kulinyesha kiasi lakini injili ilichapwa na nyimbo za sifa ziliimbwa kwa kama ilivyotakiwa.
Huku na huku main DJ akakutanisha macho na mrembo mmoja mwenye rangi moja nzuri tu,signal ikashika na number akapewa baada ya mkutano.
Mkutano ulikuwa ni wa siku mbili kwahiyo kulikuwa na nafasi ya kuongea mawili matatu., Kazi ilikuwa nje kidogo ya mji kwa hiyo uvaaji wa DJs uliakisi lifestyle kwa enzi hizo
Main Dj akawa anaendeleza mawasiliano kama week mbili hivi wakapanga kuonana lakini kutokana na wingi wa kazi misiba,harusi,welcome 4m1, basi week ile iliyofuata ambayo ilikuwa weekend mrembo akasema anataka kuja na kwakuwa kazi zilipungua basi ikawa muda muafaka
Nukuu; (nakuja lakini nakuja na rafiki yangu siwezi kutoka mwenyewe) alisema mrembo
Baada ya kama masaa mawili wakawa wamefika venue. Bro DJ akacheza kiungo mchezeshaji akaniambia dogo zuia hii utajua mwenyewe
bro Dj alichukuwa wake kuelekea gheto kwake mimi nikabaki na yule shost nikamchapa zege na fanta,ikanyesha mvua kubwa kwelikweli
nikamwambia njoo hivi tkapumzike na kweli akakubali
Born town fasta nikalipia ulingo tukazama yeye anajua ni gheto maana hajawahi ingia gest bubu yule mtoto kwa alivyokuwa muoga. Basi sikuchelewesha sana nikalia shida zangu pale kishingo upande akakubali " basi sawa'' Ugumu ulikuwa hatujuani,ni mara ya kwanza kuonana lakini haikuwa kizuizi
Tunda lililiwa pale kimasihara na urefu wa game ulitegemea rafiki yake atarudishwa saa ngapi. baada ya hapo sijawahi mwona tena Angel
 

Aisee 😀 hahaha
 
TATEPA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…