Ww jamaa unataka sifa au umaarufu Wa kishamba, uzi Wa kuweka stori yako upo halafu unatuanzishia upuuzi huu. Pili stori lako na uongo hata hujishtukii
 
Kulaaleki kaka yangu anaoa baada ya hii corona na ni mchaga. Ngoja nimchunguze vizuri... Huenda anakuoa wewe
 
Naomba uzi huu ufutwe tafadhali mods! Nimeandika kuunga mkono juhudi kule jukwaa letu pendwa! Sjui umejianzishaj! Wadau naomba radhi Sana! Mkuu rikiboy, na Wadau wengine! Lengo langu ni kusapoti ule uzi, wetu! Mods tafadhali, kick this thread out! Disenable this thread pliz!
 
Big up sana,usimuliaji wako murua sana[emoji109]
 
Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat? Hii n masikhara OG, plz pita mliman city chukua chochote nakuja kulipa chap kwa haraka. BAHARIA wa kiwango cha Uchumi wa Kati. [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
 
Kama hukupiga 0715 ndio basi Tena! [emoji23]Patel alifaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…